IGP WAMBURA, sisi wakazi wa mtaa wa Isere Kinondoni tunaleta malalamiko yetu kwako yahusuyo vijana wa kihuni kufanya maskani za kuvuta bangi na unga kwenye mtaa wetu.
Vijana hawa Wala siyo wakazi...
Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo.
Mashirika na taasisi karibu zote za...
Kwanza nimpongeze sana mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa jitihada zake za kusaidia wananchi;
Naamini na hili lipo kwenye mpango kazi wake ila kwa kuchangia tu;
Kuna vipande vitatu vya Barabara VIFUPI...
Wahusika kama ilikuwa muda bado wa kujenga mliona haja gani kukwangua barabara na kuicha hivo wiki ya 4 sasa. Mnatupa kero sana na vumbi na foleni isiyo na sababu.
Kipande hiki tokea mzunguko wa...
Salamu Wakuu.
Niende moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda.
Hili suala la Redio na Tv na kamari sasa ishakua kero yaani unakuta kipindi cha Redio au kipindi cha Televisheni...
Habari wanafamilia wa JF,
Niende moja kwa moja kwenye hoja:
Kumekuwa na shida ya makusudi ya upatikani wa Maji katika eneo la Ubungo Kibangu na maeneo jirani kama Riverside.
Hapo awali maji...
Hili jambo linalosikitisha sana,maji hayatoki zaidi ya mwezi sasa, wakazi wa eneo la Ubungo Kibangu tunanunua dumu la maji elf moja kwa fresh na yenye chumvi Tshs 200-500.
Imekuwa ni kawaida kwa...
Habarini wanajamvi natumaini mpo salama.
Kuna hii ishu ya NHIF kuwahi kukatisha muda wa subscription ya BIMA za wanafunzi wa chuo cha UDSM ambapo BIMA zilitakiwa ziishe mwezi wa 11 badala yake...
Kumekuwepo na changamoto kwa wahitimu kukataliwa kutuma maombi ya ajira kwa kupitia ajira portal.
Swali je wahitimu hawa wametelekezwa katika ajira au hawana vigezo, tumaomba ufafanuzi kutoka...
Kila mvua kubwa inaponyesha kumekuwa na changamoto ya kufurika kwa vyoo lakini pia chemba kuzbuka na kumwaga maji machafu sokoni. Hii inatokana na chemba kuelekezwa mto mirongo.
Hivyo mto ikiwa...
VIFUSI VYA BARABARA VYAGEUKA KERO.
Vifusi vilivyowekwa kwa muda mrefu bila kusambazwa katika barabara ya Sogea Machinjioni vimegeuka kero na usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo na kuiomba...
Huu ndio uhujumu uchumi, Wakurugenzi wa TANAPA wana magari ya kifahari lakini hakuna vyoo kwa ajili ya watalii hivyo kuchafua hadhi ya utalii nchini, hii ni AKILI ya kujenga nchi kweli. ?
Wakazi wa Kimara yote wilayani Ubungo mkoa wa Dar es Salaam hawana huduma ya maji tangu siku ya Alhamisi,hali inayozua sintofahamu kwani imekuwa ni kawaida kukatika kwa maji kila mwisho wa wiki wa...
Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya.
Kitu ambacho nimegundua kwa muda mrefu ,huu uwanja ni mchafu sana kwa kweli hasa sehemu...
Usafiri wa pikipiki umekuwa msaada mkubwa sana kwa watu wa kada zote kwa ajili ya kuharakisha safari nyingi za kuingia na kutoka maeneo ya mjini na unasaidia sana kurahisisha shughuli za kiuchumi...
Dodoma ni moja ya Jiji chafu nchini, uchafu umezagaa hasa maeneo ya Mjini ambapo kuna Mkuu Wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa, then kuna hali hii ya Uchafuzi wa Mazingira tena ni urefu wa kilometa mbili...
Kama nitakosea nisahihishwe, niliwahi kumsikia Kitila Mkumbo enzi hizo Katibu wa Wizara akisema maji yaliyopo ni mengi kuliko uhitaji wake kwa watu wa DSM.
Kwa sababu mabomba yamefikia wachache...
Mimi ni bodaboda ambaye kwa namna moja ama nyingine nimekutana na mikasa ya aina mbalimbali barabarani kama ajali, kuibiwa pamoja na kadhia ya kukamatwa na Askari wa Usalama barabarani kwa makosa...
Kwa waliowahi kutumia barabara ya Arusha Babati watakuwa mashahidi. Eneo mzani ulipo ni mteremkoni na kuna kona mlalo hivi.
Sijajua kulikuwa na ulazima gani umbali wa Arusha babati kuwa na vituo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.