Nikiwa kama Mdau mkubwa wa mtandao wa Manunuzi ulianzishwa wa Nest badala wa ule wa Taneps wa awali, nikiri huu wa NEST ni majanga.
Nikweli mtandao wa Taneps ulikuwa unachangamoto zake lakini pia...
Mimi ni Mkazi wa Kaskazini Unguja, huku kwetu baadhi ya Watu ambao maeneo yetu yalichukuliwa kwa ajili ya uwekezaji wa Bandari ya Mafuta na Gesi hatujapata fidia.
Hadi kufikia leo hii Oktoba...
Nimekua nikiona mara kadhaa watu wakilalamika taarifa za mawasiliano yao kwa simu kuvuja, ikiwemo ya sauti, sms na mara nyingine hadi whatsapp.
Nimekua nikijiuliza sana kuwa ni rahisi kiasi gani...
OLAMS ya Bodi ya Mkopo haikubali kukamilisha kutuma maombi kwa njia ya mtandao.
Mwanafunzi amejaza kilakitu na ameambatanisha kila kitu lakini mfumo huo uko doro kabisa. Kiasi wametafutwa...
Precision Air wawajibike kwa kuwachelewesha abiria 'airport' bila maelezo yanayoeleweka, "tumekaa zaidi ya masaa matatu"
Abiria ambao tulikuwa na tiketi za kusafiri na ndege ya Precision Air...
Viongozi wanaohusika kusimamia watumishi wa UMMA jaribuni kuwatendea haki watumishi wenu, kupata barua ya uhamisho kutoka Wizara ya UTUMISHI imekuwa kero sana.
Taratibu za mtumishi kufuata ili...
Watu wa Shirika la Nyumba (NHC) Arusha mradi wa SAFARI CITY wanakera, tokea tulipe mwaka jana Oktoba hadi leo ni takriban mwaka sasa tunazungushwa kupewa viwanja vyetu na hati zetu hadi leo kwa...
Nimejiuliza sana kuhusu mazingira ya hivi vyoo, hata kama ndio tunatumia watu wengi, ndio washindwe kuweka mazingira vizuri kwa kiwango hiki?
Jionee mwenyewe, vyoo “vimekomaa na uchafu” humu...
Taa za kuongoza magari katika barabara kuu iliyopo eneo la friend's corner jijini hapa ambapo ni mita chache kutoka stand kubwa ya mabasi ya mikoani hazifanyi kazi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa...
Nimekuwa nikipita mara kwa mara hili eneo la Kona ya Nairobi hapa mitaa ya Arusha ninachokutana nacho ni kuwa taa hizi hazifanyi kazi, sijui kama kuna muda huwa zinawaka au ni mimi tu nashindwa...
Ni siku ya 3 sasa mfumo wa manunuzi wa serikali NeST unasumbua (haupatikani). Je hii ndio ile kuthibitisha kuwa Watanzania hakuna jambo tunaloliweza.?
Ikumbukwe kuwa mfumo huu unamilikiwa 100% na...
Naomba msaada ndugu zangu nimekuwa nikihitaji Kufanya marekebisho ya namba ya NIDA tangu mwaka Jana mwezi Novemba, katika ofisi Moja Bariadi requirements zote nilikamilisha mpaka malipo ya...
Kuna maeneo katika Jiji la Dar es Salaam unakutana na foleni lakini ukifuatilia kwa umakini kuna wakati unagundua kuna uzembe wa uwajibikaji na kukosekana kwa ubunifu kwa baadhi ya watendaji...
Kuna tatizo la maji katika jiji la Arusha eneo la Njiro tangu jana mchana mpaka leo. Sijui kama ni kwa eneo ambalo nafanyia kazi au na maeneo mengi ya jiji.
Hebu mamlaka husika ilifanyie kazi...
Kuna uzembe mno katika utoaji wa huduma, nishaenda pale zaidi ya mara tatu hakuna dawa unaambiwa ukanunue, sio dawa kama hazipo, nishawahi liamsha pale kutaka kupiga hadi simu kwenye mamlaka za...
Naomba mtusaidie kuhusu NHIF hasa kwa wanafunzi wa MUST. Muda wa kadi umeisha tarehe 8/10/2024, wanasema hawawezi kutoa control number hadi matokeo ya sup yatoke, sasa kwa hiki kipindi sisi wateja...
Kama umewahi kufika Dodoma utakubaliana na mm kuwa kuna kero ya nzi wengi sana kila sehemu hasa wanaouza vyakula na kwenye msongamano wa watu, nzi ni mdudu mchafu sana
Pia soma: Kwanini maeneo...
Ndugu wanajamii,
Nimechoshwa na uzembe unaofanywa na Idara ya Uhamiaji Tanzania hasa kwenye masuala ya utoaji wa huduma kwa wateja. Kwanza kabisa, hakuna namba maalum ya huduma kwa wateja ambayo...
Akina mama Morogoro waandamana na madumu matupu wakidai maji
Wataka Mama Samia awasaidie
Kiongozi wa maji asema hajui kama wana kero
Waziri wa maji upo na Wizara ya Maji mpo?
Pia soma
Waziri...
Wakuu kwema?
Leo ni siku ya tatu Mbezi Beach kwa Zena mtaa wa Mbezi Beach B hatuna maji.
Hakuna taarifa yoyote tuliyopewa juu ya mgao huu, mnafikiri tuko kwenye mazingira gani DAWASA?
Ni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.