Mimi ni mkazi wa kijiji cha Uhindi, kata ya Uyowa, wilaya ya Kaliua, mkoa wa Tabora, kero yangu ni kuwa hapa kijijini kuna mradi wa maji kwa ufadhili wa Benki ya Dunia.
Mradi huu kwa sasa...
Ma agent wa mabasi hasa yamikoani wanatoza abiria nauli ambazo ni kinyume na nauli elekezi.
Kwa mfano Nauli rasmi kutoka mkoani Gieta kwenda Kibondo (kigoma) kupitia nyakanazi ni Tshs. 17000/=...
Wasalaam.
Ni mwezi Sasa umepita tangu nilipoleta uzi hapa jukwaani unaosema
Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika.
Nilipewa ushauri mzuri Sana na Wana JF home of great great...
Wakuu kwema,
Nilikuja na uzi hapa baada ya kukosa maji karibu siku 5 bila taarifa yoyote, baada ya malalamiko kupelekwa Insta maji yakaanza kutoka, lakini toka yaanze kutoka presha ni ile ile...
Nina wadogo zangu wawili mmoja kahitimu SUA, mwingine T.I.A, hawa wote walilipa ada mwanzo, baadae walifanikiwa kulipiwa ada na Board ya mikopo.
Hivyo walipaswa kurejeshewa zile Ada walizo lipa...
MWAUWASA( Mwanza Nyamagana ) acheni wizi kubambikizia bili za Maji Wateja na urasimu kwenye mchakato wa kuunganishwa Huduma ya Maji. Inaumiza wananchi au mnataka wananchi waingie barabarani kama...
Kwa miezi ya karibuni bili za maji kwa wateja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) zimekuwa juu mno na hatujui ni sababu gani.
Mimi nafikiria gharama ya maji...
Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, haina hata kilometa ya lami, haina miradi yoyote ya maji. Imetelekezwa.
Wananchi waomba kuhamia nchi ingine. Mbunge hajasadia chochote.
Tunaandika ujumbe huu tukiwa na huzuni ya kiwango cha hali ya juu kutokana na yake tunayopitia, sisi ni wastaafu tuliokuwa Watumishi wa Umma ndani ya Wizara ya Ulinzi, tumefanya kazi kwa vipindi...
Sekta Binafsi, Makampuni binafsi baadhi hawaweki pesa za Wafanyakazi katika mifuko yao ya mafao na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lipo tu halichukui hatua zozote.
Sijui Maafisa...
Vijana wameenda kwenye Mahakama za Kanda wamefanya usaili, wengine wamesafiri kwa kutoa nauli zaidi ya shilingi elfu 30 kwenda tu. Kuna wengine walifikia lodge na wengine kwa ndugu. Baada ya...
Wapiga Debe, madereva bajaj na bodaboda wamekuwa wakijisaidia haja ndogo kwenye eneo la hifadhi ya barabara na mitaroni Barabara iendayo Stendi ya Mabasi Magufuli.
Ukipita hapo pananuka haja...
Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER.
USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa...
Kumekuwa na adhabu kali na kauli mbaya zinazotolewa na baadhi ya Walimu kwa watoto wetu pale ambapo mzazi hajatoa kiasi cha Tsh 2,000 kila wiki kwaajili ya masomo ya remidial na hatushirikishwi...
Waboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura Kigoma wanyimwa posho ya usafiribkiasi cha shilingi 90,000/= kwa kila mshiriki.
Wadau walihoji kabla ya kuanza kwa zoezi la uandikishaji juu ya...
Sisi Wakazi wa Kata ya Mabibo, Mtaa wa Kanuni hapa Dar es Salaam tuna changamoto ya kutokuwa na huduma ya maji kwa muda wa miezi miwili sasa.
Maji hayatoki kabisa huku kwetu na siku yakitoka ni...
Nimemaliza chuo kikuu cha st John's Dodoma (st.John’s university of Tanzania ) intake ya 2014/2017 fani ya maabara kwa ngazi ya stashahada(diploma in Medical laboratory ).
Licha ya kuwa nimepata...
Naishi madale Mbopo, maji yanayotoka kwenye mabomba maeneo haya ni machafu mno.
Naiomba mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (DAWASA) ichukue hatua.
Pia soma:
- DAWASA kwanini mmeshindwa...
Jamani, Tanesco, nalia na nyie! Mtatutoa roho nyie. Yaani mtu unanunua umeme wa shilingi elfu 20, unapewa umeme wa shilingi elfu 10? Hivi nyie mna matatizo gani?
Iko hivi, juzi umeme kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.