Watumishi wa Afya akiwemo Daktari Mbobevu, Maafisa Wauguzi na Wateknolojia wa Maabara wanaidai Hospital ya Rufaa Peramiho iliyopo mkoani Ruvuma mishahara yao ya mwezi Septemba.
Kama chombo cha...
Hizi taa za kuongoze magari zilizopo maeneo ya Kituo cha Magari cha Nata hapa Mwanza ni changamoto kubwa, hazifanyi kazi na zimekuwa zikisababisha foleni zisizo na sababu.
Eneo hilo limekuwa...
Mfumo wa Ajira Portal wa Secretariat ya Ajira ambao unapatikana katika tovuti ya Public Service Recruitment Secretariat | PSRS una changamoto kadhaa ambazo zimekuwa kikwazo kwa sisi Watumiaji...
Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma inapaswa kuweka alama za ufaulu (passmark) kabla ya mitihani kufanyika. Hiki kimekuwa kilio cha watanzania wengi sana .
Sekretarieti ya ajira katika...
Ikiwa Leo ni siku ya nne, najaribu kuingia kwenye system ya "NACTVET" Kuomba "AVN NUMBER" lakini sifanikiwi licha ya kuwa nimejisajili, ila system haijanipa nafasi ya kutengeneza password, na hata...
Mimi ni mtumiaji wa huduma za internet za kulipia kwa mwezi,watoa huduma wengi wamekuwa si wakweli na mara nyingi hawatoi kile wanachokiahidi kwa wateja.
Mimi ni mhanga wa halotel wiki nzima...
Mhe Rais TRA Arusha wameblock baadhi ya machines za EFD za wafanyabiashara hapa Arusha, sijajua ni Arusha tu au Tanzania zima.
Halafu ili wafungue kuna rushwa kubwa wanadai yaani kwa ujumla hili...
Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na changamoto ya mtandao wa Halotel hasa internet na mawasiliano ya kawaida, lakini kibaya zaidi kampuni haitoi ushirikiano kwa wateja wake na ukiangalia kila mteja...
Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye...
Salaam
Leo katika pita pita zangu ndio nikaona jiko yale sijui ma oven makubwa wanapikikia keki.
Yaani hadi kichefu chefu, anayepika mchafu, jiko halijaoshwa kama mwezi hv, hapo anapopikia watu...
Hapana shaka afya za wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, zipo hatarini. Hii ni kutokana na kuuziwa matunda yanayookotwa katika Dampo hili ambalo wenyeji wa maeneo husika ya Kata ya Vikindu, Mkuranga...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, Kata ya Mafisa Manispaaa ya Morogoro huku kwetu kuna Dampo ambalo halitunzwi vizuri na uchafu wake umekuwa ukisambaa maeneo tofauti hali ambayo inaweza...
Hostel ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam tawi la Ubungo kuna matatizo mengi yanawakumba wanafunzi.
Moja kati ya matatizo hayo ni upatikanaji wa maji. Hostel ya Ubungo licha ya kukaa zaidi wanafunzi...
Airtel kuna kitu wanaendelea kuwafanyia Wateja wao kwenye hizi router zao za 5G siyo kizuri.
Wanakwambia kuwa internet ni unlimited ila ukitumia kwa siku 20 internet wanaishusha speed, mfano mimi...
Habari za wakati huu? Mimi ni mdau wa JamiiForums lakin pia ni mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), campus ya Dar
Kuna kero inanisumbua sana kwa uongozi wa IFM, hadi sasa hivi chuo...
Alfajiri ya leo niliamka mapema sana nilikua na mdogo wangu anasafiro sasa nikampeleka Stendi kuu ya mabasi Tabora ili aweze kusafiri.
Nilichoona sikuamini macho yangu, maana nimekanyaga Bahasha...
Natokea wilaya ya Chato kata ya Bwanga mkoa wa Geita.
Kuna kitu kinaniuma sana kila mwaka MWENGE wa Uhuru ukikaribia kupita kuna kuwa na michango ambayo wanakuwa wanaombwa akina mama Wanaouza...
Nimetafakari sana hizi foleni za kuweka gas naona kama kuna hujuma za wauza mafuta, iweje mpaka sasa tuwe na vituo vitatu tu.
Sio kwamba upatikanaji wa gas kwa wingi unaathiri uuzwaji wa mafuta!?
Sisi wakazi wa Chanika Taliani kuelekea PSSSF, barabara zetu zimekuwa mbovu sana.
Mkandarasi alikuja na kuchakachua kupitisha grader kwa juu tu, ametimua vumbi na kukimbia badala ya kutengeneza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.