Kuna kanisa limejengwa chini ya dirisha langu. Usiku na mchana, linapiga kwaya kwa kutumia mabomba katika ibada zao. Wao hawajali kama watu wanalala au wako macho; wanashikilia ibada yao kuwa...
Habari za usiku wakubwa.
Naomba Tanroads kwa kushirikiana na NSSF waangalie namna nzuri kwa wakazi wa darajani wakati wa kuvuka barabara kwenda upande wa pili baada ya kushuka kwenye daladala...
Vyoo vya matumizi ya umma hasa kwa ajili ya kukojoa katika bar nyingi na migahawa ya bus za abiria Tanzania vina changamoto nyingi sana upande wa sinki za kukojolea.
Kuna mahali bar kubwa au...
Kuna kazi kubwa ya kufanya kwa Mwigulu na team nzima ya BOT hizi App zinaendeshwa kwa kanuni ipi au sheria ipi?
Wanatoa wapi kibali cha kukopesha na kutumia taarifa za watu hata wasiohusika na...
Anandika Khamis Kagasheki.
Ninaona usumbufu wa kufunga barabara na kusimamisha magari unazidi kuwa mkubwa. Ukiuliza unajibiwa "msafara." Tatizo hili limekuwa likiongezeka lakini kwa sasa limekuwa...
Hakuna kitu kinakera watu kama kupita sehemu na kukutana na harufu kali ya maji machafu, iwe kwenye shimo, mtaro au darajani.
Hapa Mwanza, Mamlaka ya Maji Taka mmekuwa na utamaduni mbaya sana wa...
UDOM chuo chetu kizuri sana ila kina waajiriwa wahuni sana wasiojali wateja wao.
Watu wameshikiliwa matokeo yao na hawadaiwi hata mia, Utaratibu wa chuo unajulikana huwezi kuingia chumba cha...
Maji hayatoki, pia wakala wa huduma za nishati na umeme vijijini hawatoi majibu ya kueleweka kuhusu wananchi ambao bado hawajapata huduma ya umeme, walifanya survey mwezi Machi mpaka sasa Septemba...
Kama mkazi wa mtaa wa Msisiri A, nyuma ya Mahakama ya Kinondoni, nimesikitishwa mno kuona idadi kubwa ya vijana wadogo wakijihusisha na uvutaji wa bangi maeneo ya wazi. Wanavuta bila hofu, bila...
Hawa NBC BANK watakuja kuua watu kwa Pressure. Jana nmeenda ATM kutoa pesa natoa pesa haitok kuangalia salio naambiwa nina negative 652,520,7644. Kumbe miitandao imesheki.
Afu eti imagine kwa...
Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili...
Leo nimeshangaa pale nilipoegesha gari Terminal 2 kwa saa 72 na kudaiwa 75,000 za maegesho na kuambiwa kuwa “Long term parking” inahesabiwa ukiegesha Terminal III.
Kwanza, kaka aliyekuwa pale...
Nikiwa mkazi wa mwanza na mdau wa bank ya NMB sijaridhishwa na zoezi linaloendelea la kuboresha taarifa za wateja wa bank hii.
Tangu mwezi wa 7 bank ya NMB katika matawi yake ya Mwanza imekua...
Wakuu
Huku Mbweni Mpiji maeneo ya Ungindoni wakiwa na sherehe zao za vigodoro ni kero kubwa, wanakesha usiku kucha na mziki ni mkubwa kiasi kwamba ni changamoto hata kupata usingizi. Mbali na...
Sijui hata cha kusema!
Lakini masikitiko yangu matokeo ya ufungaji wa taa za barabari Kilwa road na Chang'ombe road yanaenda kuibua kero kubwa ya msongamano wa magari kuliko ilivyo hata hivi...
Nina suala ambalo ninaona limewanyanyasa Watanzania wengi ingawa kwangu lilinitokea mwaka 2016. Watanzania wamekuwa wakitumia mtandao mbalimbali ya simu ikiwemo vodacom, halotel, tigo na...
Mimi ni mdau mzuri wa mwendokasi kutoka Kibaha Stendi hadi mjini Posta, nimesikitishwa sana kuona huduma hii kusitishwa bila notisi wala matangazo rasmi (huenda yalikwepo ila mimi sijayaona).
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.