Kulingana usaili unaoendelea wa idara ya Afya kupitia PSPR mikoani.
Kumekuwa na hali isiyo ya uwazi katika kutenda haki ili kupata wasailiwa wenye vigezo vya kuajiriwa.
Kwanza katika mchakato...
Trafiki ametushusha Abiria wote kwenye daladala, hajatupa usafiri mwingine kisa gari inadaiwa na Konda kamwambia “Hii trip ya kwanza, nitakuungia baadaye”
Huyu Askari namba zake za kifuani ni...
Kuna mtu anaitwa Pius hapa Canada Bonyokwa amekuwa akiwafanyia vitendo vya kikatili watu tofauti tofauti
Hwa anawakamata bodaboda na kuwachukulia pesa kwa nguvu. Anachojivunia yeye kuwa ni mgambo...
Ukipata barabara ya Kilwa kuanzia Central police hadi mbagala zimewekwa taa Hivi karibuni, hizi taa zimeweka kila baada ya kila baada ya meta 50-100, zinasababisha foleni kubwa sana, mbaya zaidi...
Kuna shimo barabarani kwenda Masaki eneo la fitness na lake oil na mbele yake kuna tuta. Inakuwa changamoto kwa watumiaji wa barabara hii hasa magari yakikutana kupishana ni changamoto.
Kero
Tafadhari husika na kichwa tajwa hapo juu,
Mie ni mdau wa huduma za kifedha kutoka kwa makampuni mengi yanayotoa huduma hizo kila siku na ninafanya biashara.
Naomba kufikisha/ kusema/...
Matapel kila siku wanapiga simu na kudai ni watoa huduma kwa wateja na ukiwasanukia wanatukana sana matusi mabaya na ya nguoni, kama umekaa na watu wako au familia yako inakuwa ni aibu na inaleta...
Waiting haina seats za kutosha abiria wanalazimika kusimama for 2 hours, tickets printing area kuna uhaba wa wafanyakazi.
Tunaomba waongeze viti sehemu ya abiri kwa sababu kusumama for 2 hours...
Habari,
Tunaomba mtusaidie kupaza sauti kwenye uonevu unaoendelea kwenye ajira sekretarieti ya Utumishi kwa Umma.
Ajira zilizotolewa zimeshaanza kufanyiwa usahili ila kuna changamoto mbalimbali...
Tatizo la wafanyabiashara kupanga bidhaa zao chini kwenye maeneo ya Kariakoo limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara, hususan nyakati za mchana. Eneo la watembea kwa miguu limevamiwa na...
Hili sijui ni la Waziri wa Afya ama mazingira ama wote wawili?
Kuna uchafuzi mkubwa sana kwenye barabara za Dar es Salaam pamoja na mifereji na mitaro yake unaofanywa na makampuni yaliyopewa...
Wakazi wa Kijiji cha Lipwidi katika halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakiwaomba viongozi wao ngazi ya kata na wilaya kuwasaidia kutatua changamoto ya...
Sisi Wafanyakazi wa Ujenzi wa SGR kwa hapa Lot 1 ambayo inahusisha Dar – Moro baada ya kulalamika kuhusu Mkandarasi Mkuu, Yapi Merkezi kuwaondoa watu kazini kwa gia ya likizo huku wakiwa...
Habari wana jukwaa,
Naomba kutoa pongezi nyingi kwa Serikali kuturahisishia huduma kiganjani kupitia mfumo wa ESS kwa watumishi wa umma
Kero yangu ni kuwa katika kipengele cha e-mkopo taasisi...
Jana Machi 26, 2024 nikiwa kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kivukoni, kulikuwa na nyomi la hatari mida ya jioni, mabasi mengi yalikuwa yamepaki pembeni na machache yaliyokuja hayakukidhi haja ya...
Well and good tunashukuru Serikali kwa kuanzisha huduma hii hakika inaleta unafuu na kukuza uchumi wetu as well kuipa sifa nchi yetu.
Ingawa kuna changamoto kidogo ya baadhi ya wahudumu kutokua...
Hivi kama shirika ambalo liko chini ya naibu waziri mkuu iko hivi nani ataogopwa nchi hiii. Nilitaka kulipia kuunganishiwa umeme, nikajisajili, kufanyiwa survey na mwishowe nikatumiwa control...
Huku Bariadi kata ya Muamatondo hasa kijiji cha Mwasinasi umeme umekuwa kero toka wakati wa mgao hadi kuwashwa kwa mitambo ya Bwawa la mwl Nyerere. Yaani kwa siku wanakata hata zaidi ya mara saba...
Naripoti kutoka Morogoro manispaa:
Kumekuwa na changamoto kwa wakazi wa manispaa ya Morogoro kutozwa ushuru wa maegesho ya magari na watu wa halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kinyume na...
Habari wakuu,
Mimi nina eneo langu kibaha ,maeneo ya serikali ya mtaa viziwaziwa shuleni,, Ukubwa wa eneo ni nusu hekta..
Shida niliyonayo ni kwamba ,,nimekuta TANESCO KIBAHA wamepitisha wire...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.