Mimi ni mwanafunzi nimemaliza Diploma katika chuo cha CBE, changamoto yangu kubwa hawataki kupeleka matokeo yangu NACTE ili niweze kuapply AVN namba niweze kuendelea na degree.
Nimejaribu kwenda...
Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (Kahama/Lugera/Mnazi mmoja). Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa...
Habarini.
Zimepita siku kama tano tumekosa maji ya DAWASA huku kwetu, jana usiku yalivoanza kutoka angalau hapa home tumepata ahueni. Kisima ni muhimu kwakweli.
Aisee maji yananuka, sijui huko...
Kuanzia mwezi Julai mwanzoni mpaka sasa manispaa inayohusika na maeneo ya Makumbusho wanatoza gharama kubwa kwa ajili ya matangazo wanayobandika wafanyabiashra kwenye milango yao ya maduka bila ya...
Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma iangalie vizuri mfumo wa Ajira Portal unatutesa tunashindwa kutuma maombi, kila ukijaza taarifa hazifiki asilimia 70 na pia hakuna mfumo wa kubadili...
Sisi wafanyabiashara wa Soko Kuu Mafinga tunaomba kufikisha kero yetu kwa Mamlaka za Juu akiwemo Waziri wa Viwanda na Biashara, Waziri wa Fedha na Rais Samia na kero hiyo ni kupuuzwa kwa madai...
Ukifika kivuko Cha Busisi mkoani Mwanza unakuta tangazo kuwa kuna changamoto ya chenji ya Sh mia, ukichungulia mezani kuna silver za mia Tano na mia mbili, nauli ya kuvuka ni TSH 400 kwa mtu mzima...
Mbali na kwamba tuna elimu Bure lakini sasahivi Shule za Msingi kuna utitiri wa Michango (Tozo) mfano mzuri ni Shule ya Msingi Mapinga iliyoko Bagamoyo, kata ya Mapinga. Kuna utitiri wa Michango...
Mawasiliano ofisi za umma ni changamoto sijui kama Rais analijua hili. Simu zao hazipatikani kabisa na kama zinapatikana hazipokelewi wala hawajibu emails. Hili ni gonjwa sugu ofisi za umma karibu...
Kuna bar moja inaitwa Flamingo ipo Salasala DSM katika ya makazi ya watu inapiga mziki mkubwa usiku kucha. Inatuletea usumbufu majirani unakuwa na kelele za bar ujakaa sawa kuna kelele za makanisa...
Zoezi la uhakiki wa taarifa bank ya NMB ni kero kwakweli, foleni ni ndefu kila branch, watendaji hawajipanga, inchukua hadi dk 20 kwa mtu mmoja kuhudumiwa na wahudumu kwa kila branch ni mmoja...
Habari, mfumo wa ajira portal umekua kero kwa watumiaji kwani endapo kuna kosa basi mfumo hauna optiona ya kufuta kosa hilo (hasa kipengele cha accademic qualification) pia ukiwapigia simu...
Jamani wakuu mimi ni mhitimu wa diploma nahitaji kuendelea kusoma bachelor lakini siwezi kuendelea bila kupata AVN kutoka NACTEVET.
Tangu mwezi wa 7 nimelipia sh 15,000/= ili kupata lakini mpaka...
Sisi wanufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo (HESLB) tuliomaliza deni na bodi tunaonewa na HESLB kwenye kipengele cha kuingia kwenye mfumo wa Account ya loan board ili kuweza kuona tathimini ya...
Habari za asubuhi ndugu zangu,hii ipoje kivuko kipindi cha mwenda zake kilikuwa ni 24 hrs kwa sasa imekuwa tofauti toka 7 usiku tupo jam Busisi eti hadi kuche ile kauli kuwa kazi iendelee ina...
Stendi ya Mbezi Magufuli leo siku ya pili hakuna huduma ya maji, hali si hali kwani abiria wanapata tabu, na watu wanaofanya shughuli zao humu ndani na nje ya stendi kadhalika.
Hali imekuwa mbaya...
Kama sheria inavyotamka kila mwenye gari kubwa iwe ni bus au lori anatakiwa awe amelipia gharama ya Latra. Kwa uchungu kabisa kulipia Latra kumekuwa na changamoto kubwa sana. Mfano unatakiwa...
Katika kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama barabarani 2024.
Tuitumia wiki hii kuwalinda watu wanaotembea kwa miguu katika njia maalumu zilizotengenezwa kwa ajili ya wao kutembea kwa uhuru...
Ni Mwendo wa takribani kilomita 16 nilipoianza safari mimi na abiria wenzangu kutoka mjini Mwanza kwenda Igombe, Kata ya Bugogwa, iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza...
Nimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali.
Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.