Bodi ya mkopo kuna changamoto katika mfumo wake wa maombi ya mkopo(OLAMS) haufunguki kabsa. Sasa sijui watu husika wameshaiona changamoto hii maana muda ni mali na deadline ikifika wanapita...
Hii shule ni kati ya shule zenye heshima kubwa kwa mkoa wa Iringa na viunga vyake, lakini siku za hivi karibuni imekua ni shule ya ajabu kuwahi kutoa, wizara ya Elimu, tamisemi mko wapi? Hizi...
Mimi ni mkazi wa Nyasaka, kata ya kawekamo, wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza.
Kero yangu kubwa ni wimbi la kelele zilizopitiliza kwenye makazi ya watu zinatoka kwenye nyumba za ibada, sehemu za...
Serikali ilinzisha Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System – PEPMIS lengo likiwa ni kurahisisha utendaji kazi na kuweka uwazi kwa kuwa inajulikana wazi suala la Urasimu...
Mwaka 2019 chuo chetu kilipata janga la kuungua moto na Vyeti vyetu wanafunzi wahitimu 43 vikaungua, Tangu wakati huo tumepata usumbufu wa kutopata vyeti vyetu kutoka Chuo na NACTVET huku wote...
Wakulima wa Kijiji cha Luganga Kata ya Ilolo Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwaondoa wanyama pori, Viboko na Tembo ambao wanaingia katika eneo la mazao...
Kituo cha Skanska maeneo ya Barabara ya Bagamoyo kuanzia mtaa wa Mashimoni hadi kuelekea Mtongani, hali ya mazingira ni mbaya mno, na afya za wananchi ziko hatarini.
Mifumo ya maji ni mibovu...
Mke wangu ana changamoto ya kutofautiana majina kati ya kitambulisho cha NIDA na vyeti vyake vya kitaaluma.
Nimejaribu kufuatilia vigezo vinavyohitajika Ili kufanya marekebisho, nikakuta pamoja...
Habari gani wadau? Kama mnakumbuka, siku za nyuma kidogo kuna mdau alitoa dokezo kuhusu afisa elimu sekondari Kilwa kudhulumu sitahiki za walimu kama vile malipo ya likizo, malipo ya uhamisho na...
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Msangano wilaya ya Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji wakidai kuwa wamekuwa wakitumia maji pamoja na...
Hii ni Hali ya Miji wa Moshi Manispaa, Mkoani Kilimanjaro.
Hii Hali kwa kweli imeanza kujirudia. Wananchi , wameshuhudia maeneo mengi hasa ya masoko na baadhi ya mitaa ya Kata za pembezoni uchafu...
YAH: MALALAMIKO KUHUSU ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
Mhe. Waziri wa Afya,
Katibu Mkuu wa Afya,
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF...
NI takribani wiki mbili sasa kituo cha Tiba Upanga hakitoi huduma za Bima ya afya kwa sababu zisizoeleweka. Wagonjwa tunafika na hatupewi huduma. Tukipiga NHIF 199 tunaambiwa twende vituo vingine...
Ni jambo la kusikitisha kwa reli ya kimataifa kama hii ambayo inadaiwa kutumia viwango vya kimataifa kuziba njia za wakazi wa Makulu na kusababisha watu kuhama kwa muda kwani hakuna njia ya...
Ndugu DAWASA na Waziri wa maji,
Ninaandika kueleza hasira yangu kuhusu tatizo linaloendelea la ukosefu wa maji katika baadhi ya maeneo ya Tabata Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa hatujawa na maji, na...
HATARI YA MAGONJWA YA MILIPUKO TEGETA CHASIMBA
Wakazi wa Tegeta Chasimba wanaomba msaada wa kuondolewa takataka ili kuepukana na hatari ya magonjwa ya milipuko. Mkandarasi wa taka hajaonekana...
Naombeni mtusaidie kupaza sauti au kutafuta ukweli kuhusu bima ya afya inayotolewa na NSSF kuna ukiritimba unaifanywa na baadhi ya wamiliki wa hospitali wakishirikiana na wakuu wa makampuni...
Kuna huu mfumo wa ESS (Employee Self Service Portal) unaotumiwa na Watumishi wa Umma Nchini, ni moj ya mifumo ambayo imepunguza usumbufu mkubwa na kurahisisha mambo mengi yanayohusu utendaji wa...
Habari wadau poleni na utekelezaji wa majukumu ya Kila siku katika harakati za kulijenga taifa
Kero yangu ya leo inatoka kwa mamlaka inayohusika na usajili wa vizazi na vifo Tanzania RITA
RITA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.