Nimeamua kuleta hili jambo mbele zako Waziri wa Elimu Prof Mkenda na TCU mtusaidie sisi tuliokuwa wahadhiri wa SAUT Tabora tulipwe haki zetu. Nimekuwa mhadhiri wa SAUT Tabora Kwa muda wa miaka...
Salaam!
Naomba kutoa hoja hii kuhusu barabara tajwa! Ina changamoto kubwa sana ya msongamano wa magari makubwa na madogo. Na hii inatokana na ufinyu wa barabara kutokana na mahitaji ya sasa...
Nssf ilikua na application ambapo mwanachama unawezo wa kuona taarifa za michango yako , Kama statement nk , Ila hivi karibuni wameitoa , sjajua kama play store bado ipo.
Kulikoni, kwa nini...
1. Majuzi nilipata msiba wa Kaka yangu hapo Muhimbili basi akapelekwa Mochwari.
2. Siku ya kutoa maiti kwa ajili ya ibada na Maziko (mhudumu anataka TSH 200,000) mbali na zile gharama ambazo...
Kabla ya nauli kupandishwa mwishoni mwa mwaka jana nauli ya daladala kutoka Kivule fremu 10 hadi Banana ilikuwa 500/=. Baada ya serikali kupandisha nauli toka 500/= kwenda 600/= daladala za huku...
Mimi ni mwanafunzi wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy nimemaliza toka Februari mwaka huu. Natamani sana kuomba chuo, pia natamani sana kuomba mkopo lakini mpaka sasa chuo kimetuangusha...
Kuna hii tabia ya kurudisha mabaki ya mteja kwenye chakula Kwa wafanyabiashara hasa wa maeneo ya kawaida japo huwa hatuoni ila utakutana nayo tu.
Juzi Kuna mtu kasema aliwahi shuhudia mama ntilie...
Mataa ya barabara ya Iringa - Morogoro ni mabovu, huwa muda mwingi yamezima na ni hatari. Vyombo vya usafiri vinapita kwa kuviziana. Magari, pikipiki na bajaj ajali nyingi zinatokea.
Mamlaka...
Takribani mwezi mmoja wakazi wa kata ya Kawe tunataabika na kero ya kukatika maji kiasi bila sababu yoyote ya msingi jambo linalotishia mlipuko wa magonjwa kama kuhara na kipindupindu kutokana na...
Habari ya leo wadau.
Salamu kwa Rais Samia.
Mimi ni Mwanachi wako mkazi wa Goba mwaka wa 12 huu. naleta malalamiko kuhusu njia ya Tegeta A iliyoungana na Kulangwa Nimeishi huku miaka mingi na...
Mimi ni Mkazi wa Kibaha kwa Mfipa, Kata ya Viziwa Ziwa, Kitongoji cha Sagale Kabimbini (Sauti ya Umma) Mkoani Pwani.
Ninajitokeza kuandika malalamiko kwa niaba ya Wananchi wenzangu zaidi ya 340...
Habari wana JF, kumekuwa na malalamiko ya watu wengi sana kuhusu system ya ajira portal na hata pale unapokuwa na changamoto fulani na kuhitaji msaada kutoka kwao kupitia "help desk" numbers...
Watoto mnawalazimisha kwenda mpaka Jumapili wasipokuja mnawachapa.
Jumamosi na Jumapili watoto wanaenda ibadani nyinyi mnawaza kufundisha tuu sijui akili zenu zikoje. Tafuteni kazi nyingine nje...
DAWASA leo katika mkutano na waandishi wa habari mmeulizwa kuhusu tatizo la kutoka maji ya bomba yakiwa machafu kwa baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. Hii inamaanisha nini kwa...
Nimelipa Elfu 2 kwenye N-CARD nimwekewa 1900Tsh eti kuna makato ya Tsh 100. Hii inatokea kwa wengine imekubalika pale ferry.
N-Card ni platform ya malipo ya serikali kwa faida ya serikali...
Hawa ni Watanzania wanaidai Kampuni ya Insurance Group of Tanzania, wiki iliyopita walitumia siku tatu kushinda na kulala katika ofisi za kampuni hiyo kutaka kulipwa madai yao wanayodai ofisi hiyo...
RITA Korogwe kuna shida kupata cheti cha kuzaliwa ulichoomba online na kuwa approved na kuthibitishwa kipo tayari, kukipata utazungushwa nenda rudi bila kujali unatoka mbali tena vijijini na...
Kumekuwa na vituo vingi vyenye askari barabara ya Kigamboni-Mkuranga na kila kituo askari wanadai kupatiwa shilingi elfu mbili. Mpaka siku inaisha tunakua tumepoteza kiwango kikubwa tu cha pesa...
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu...
Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini?
Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.