Miongoni mwa changamoto nyingi zinazowakumba watumishi wa serikali ni mikopo almaarufu kama Kausha damu, ambapo inasemekana kua mikopo hiyo imekua changamoto kubwa sana kwa wafanyakazi wa serikali...
Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi haina udhibiti tena wa sarafu hii.
Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa...
Wengi hapa jukwaani natumaini tunafahamu chombo cha habari Mtandaoni cha Jambo TV, ni kati ya vyombo ambavyo vimekuwa vikifanya vyema kwa siku za hivi karibuni.
Pamoja na hivyo, lakini msimamizi...
Kumekuwepo na changamoto kubwa ya uchomaji wa taka kwenye soko la sabasaba jiji Dodoma, nyakati za usiku.
Taka hizo ambazo ni mabaki ya majani ya migomba na mabaki ya matunda kutoka soko la...
Ningekuwa mimi leo viss wa NIDA Kawe asingerudi ofisini tena kesho
Leo nimesikitika sana nikamkumbuka Magufuli mno
Ajabu sana kuona ofisi kubwa kama Kawe NIDA haina genereta
Huko huko ndani...
Miaka ya hivi karibuni elimu imekuwa ngumu sana kwa watoto sikuwahi shuhudia.
Haya mabadiliko ya watoto kwenda shule mpaka Jumapili wanasoma hadi usiku huu utaratibu ni nani aliyependekeza na...
Hii ni Kero Kubwa sana Wahusika ninaomba Serikali ya Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan iwachukulie hatua kali kuondosha aibu kubwa kama hii inayo fedhehesha Taifa letu. Wageni wakija na kuona...
Eneo la Vijibweni kumeongezeka migogoro ya ardhi kwa kuwa mwenyekiti wa Serikali anauza maeneo ya hifadhi ya barabara akishirikiana na kikundi cha wajanja.
Na kumekuwa na malalamiko mengi juu ya...
Katika nchi yetu kuna baadhi ya maeneo kupata huduma mbalimbali za msingi kama maji, umeme n k imekuwa kawaida sana, lakini hii hali imekuwa tofauti sana katika halmashauri ya Mbulu mji hasa...
Waziri, wakazi wa Kawawa Road na vitongoji vyake tunapitia changamoto kubwa sana ya kupata maji.
Pamoja na kuwa tupo chini ya mlima Kilimanjaro ambapo kuna vyanzo vingi vya maji lakini suala la...
Kuna mambo ya sintofahamu katika wilaya hii ya Mkuranga. Sehemu ya Stendi halmashauri inadai tulipe kodi ya pango kwa zaidi ya asilimia 10 tunayoipata kupita vibanda, pia wametoa mikataba ambayo...
Mimi ni mwalimu nimeajiriwa mwaka 2014.
Pamoja na kuwa ni mujibu wa sheria mtumishi kupanda daraja Kila baada ya miaka mitatu, sisi hatukupanda hata baada ya miaka 7, tulidhulumiwa madaraja...
Habari zenu wana Jamii Forums.
Niende kwenye mada moja kwa moja, nimekua kwenye wakati mgumu kimtazamo kutokana na mambo yanavyoenda kwenye Nchi yetu, na moja ya jambo ambalo limekua likinipa...
Kumekua na tabia ya idara za maji Tanzania, hasa MWANZA kutoa huduma ya maji saa nane au saa tisa za usiku.
Wananchi hawana maji siku 4 hadi siku 9, na siku mkiamua kuwapa maji basi ni usiku wa...
Hii inatokana kwamba mimi na wenzangu tumekuwa tukipewa ushirikiano mdogo sana hapa chuoni, kwamba mpaka sasa niko mwaka wa tatu na ninatalajia kuhitimu masomo mwaka huu wa masomo 2023/2024...
Naomba nifikishe changamoto ya wanafunzi wanaorudi masomoni baada ya kurejea chuoni.
Tunapitia magumu sana wakati wa kufanya usajili, kwani viongozi wengi hawawajibiki kabisa kutokana na kukosa...
Barabara za jijini Dodoma inaonekana hazifanyiwi ushafi wowote maana hata ukipita barabara ya lami vumbi lake ni sawa na alitepita barabara ya vumbi tu.
Najiuliza hizi uongozi wa jiji unashindwa...
Wanafunzi wa chuo Kikuu Dar Es Salaam wanaoishi COICT hostel wamekuwa wakilalamika juu ya msimamizi wao wa hostel kuwa amekuwa akitumia madaraka yake vibaya kwa kutoa kauli chafu na kutishia kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.