Sio tu serikali inaweza kujua matatizo yote kupitia kwenye mitandao ya jamii ila nimekutana na huyu anajiita sheik zaid makubul kuhusu maada za kibaguzi na makabari.
Kwako waziri Doroth gwajima...
Wakuu, hivi Viongozi wa Kawe wanatuchukuliaje tunaotumia Kituo cha Daladala Kawe? Kituo halifanyiwi matengenezo yoyote wakati kila siku watoza ushuru wanachukua Tsh. 1,000 kwa kila Daladala...
Gaweni kikanda Tanzania bara ni pakubwa sana, mnategemea mtu kutoka Kagera aje Dar kwenye usaili? Mtu kutoka Mbeya huko aje Dar kwenye usaili? Tumieni hekima na busara gaweni kikanda wekeni usawa...
Ni juzi Waziri alitembelea na akatoa maamuzi mbalimbali cha kushangaza hadi sasa hakuna maji.
Watendaji wenu wanatuletea mambo ya mgawo wa maji siku moja kwa wiki Alhamisi cha ajqbu hiyo Alhamisi...
Nimekata tiketi ya bus ( Classic coach) siku tatu kabla ya safari kutoka Moro kwenda Mbeya. Tiketi inasema safari ni saa 12 asubuhi ila muda wa kuwasiri ni saa 11:30 asubuhi. Nimewasiri saa 11: 30...
Wahitimu wengi wanalia na mfumo wa kupata AVN kupitia NACTVET ili kuwawezesha kuomba masomo katika elimu ya juu.
Wahitimu wengi wanatia huruma kukoseshwa fursa ya kusoma kwakukosa AVN na sababu...
Mfano wa hivi karibuni Tanesco walijiamulia tu kupandisha makato ya kila mwezi kutoka 1500 mpkaka 2000 Bila kushirikisha wananchi.
Leo jambo kama lile lile linarudiwa na Azam tv kwa kutangaza...
Naomba utusaidie nikiwakilisha watanzania wengi wanaopata changamoto kama mimi juu ya huduma zinazotolewa na Mamlaka ya Usajili wa Vizazi na Vifo (RITA).
Mimi nimeomba uhakiki wa cheti cha mtoto...
Habari,
Mimi ni mhandisi ambaye niliajiriwa ajira za waalimu kwa tangazo la mwaka 2020 kwa niaba ya wenzangu wahandisi kutoka shule za ufundi tunapenda kutoa masikitiko yetu juu haki zetu kama...
Jana mheshimiwa Rais Samia amezindua rasmi Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ambayo Ina majukumu ya Kulinda na kutunza faragha za watu.
Sasa Kuna mtindo umezuka ambapo Online Creditors Wamekuwa...
Kumekuwa na zoezi la kuzuia wanafunzi kufanya mitihani ilhali wamemaliza ada huku wakidai yakuwa mitihani hiyo inabidi ilipiwe fedha ambayo haijaorodheshwa kwenye fomu na si halali kwani, matumizi...
Taa za boda zinazo badilikabadilika rangi zimekuwa kero na usumbufu kwa watembea kwa miguu na watumiaji wengine wa vyombo vya moto.
Likini pia taa hizo ni hatari sana kwa watu wenye tatizo la...
Kange ni mtaa unaokua kwa kasi sana mkoani Tanga, wilaya ya Tanga mjini. Miaka michache mbeleni, vitega uchumi vingi vitahamia Kange kutokana na idadi ya watu wanaohamia kuongezeka kwa haraka...
Hawa watu wanakusanya kila nyumba Elfu 2000/= kwa taka na Ulinzi lakini cha ajabu wakifika nyumba yenye wapangaji wanakusanya kila chumba 2,000/= swali langu kwa mamlaka husika je inakuwa ni haki...
Nimelipia gharama za kuunganishwa na umeme toka mwezi February mwaka huu.
Nimejisomba sana kwenda Tanesco kila leo mpaka sasa nimechoka.
Nilipohamia kwenye nyumba nimepata tabu sana mwanzoni...
Katika halmashauri ya jiji la Mwanza wilaya ya Nyamagana, kata ya Luchelele mtaa wa Silivini mji mdogo wa( Nyamalango) kumekuwa na tabia ya viongozi wa mazingira kutoshughulika na majukumu yao...
Hii ni Changamoto Kubwa Jamani na usiombe kulazwa ukayaona.
Lakini ukiachilia uchafu pia neti hizo ni ndogo.
Mfano kwa mama na mtoto wake mchanga neti mmeichomeka inawagusa Gusa na hiki kitu...
Kwamba hizo Smart Lock zitajifunga kama hujalipa kodi, maswali ni mengi kuliko majibu.
Hivi likijifunga na watoto wako ndani inakuaje majanga yakitojea mfano ya moto?
Network ikizingua control...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.