Vodacom mmekuwa wezi na matapeli, mnachukua pesa za watu kwenye M-pesa na muda wa maongezi kitapeli.
Mara nyingi nimevumilia inatosha. Hii laini kama sijachoma moto basi sitatumia tena...
TANESCO wilaya ya Arumeru mkoani Arusha kuna tatizo gani tangia jana. Jana umeme ulikatika zaidi ya mara 10, usiku ukakatika tena mara kadhaa, asubuhi hii umekatika tena, mbona hamna taarifa kuna...
Sms zinazotumwa kutoka kwa watu wasiojulikana zimekuwa ni kero kubwa sana na wakati mwingine zinawapa wananchi wasiwasi kuwa huenda taarifa zao binafsi zinazohifadhiwa kwenye simu ya mkononi...
Habari Wana jamvi hivi ni kwanini tukitaka kuomba Ajira za Serikalini tunahitajika ku-certify vyeti vyetu vya elimu kwa wanasheria au mahakamani?
Je, mamlaka za Ajira hazitambui vyuo tulivyosoma...
Mitandao ya simu inavuka mipaka sasa. Suala la internet tunayonunua haiwezekani tupangiwe MB za whatsap na za internet ya kawaida pindi tunaponunua bando.
Kwanini kama umenunua GB2 za internet...
Serikali ikiwa kwenye jitihada nzito za kuhakikisha NISHATI UMEME inapatikana vijijini kote lakini huku hali ni tofauti.
Kata ya Gilya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, taasisi za Serikali kama...
Kuna changamoto ambazo hatuzielewi sisi kama wananchi kuhusu ukusanyaji wa Kodi ya jengo kupitia "Luku", na Mimi naomba kupata ufafanuzi Kwa msaada pia wa wananchi wengine, yaani mimi nimekuwa...
Nimejaribu kununua umeme Leo wa TSH 5000 naambiwa nadaiwa deni kubwa kuzidi hiyo pesa siwezi pewa tokeni
Na mwezi uliopita nimenunua wamekata pesa yao ya jengo 1500.
Nimepiga huduma kwa wateja...
Baada ya SGR ya Tanzania kuanza safari zake kuanzia Dar mpaka Morogoro, licha ya ubora wa treni zetu, reli na vituo.
Wadau kadhaa wamelalamikia mapungufu kadhaa, wengi wakilalamikia mfumo mbaya...
Habarini ndugu zangu,
Kwa masikitiko makubwa naomba kutoa ushauri juu ya uendeshaji wa huduma za afya nchini kwetu hasa kwa wagonjwa waliolazwa ambao hali zao sio nzuri.
Ni wiki sasa nimempoteza...
Mimi ni Mkazi wa Mbutu Kigamboni kwa namba ya Wanambutu.
Changamoto ya Mbutu ni Barabara ya kutoka Dege kwenda Mkwajuni mpaka kwenye Machimbo ya Vifusi.
Kwanza naomba niwafahamishe yafuatayo...
Nikiwa katika pitapita zangu za kusafiri mwishoni mwa mwaka huu wa 2023 nikajikuta mikoa ya kaskazini, nikatua Stendi kuu ya mabasi ya mikoani pale Moshi mjini na hapo nikakutana na mambo ya...
Siku hizi kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya maafisa biashara wa Halmashauri kwenda kwenye nyumba za kulaza wageni wakisema ni ukaguzi wa mchana. Hivi ikitokea mteja kaacha hata begi akatoka akiwa...
Jamani sisi watu wa Mwanza wilaya ya nyamagana kata ya Buhongwa na vitongoji vyake vya Sahwa, Bulale nk. maji ni pasua kichwa. Hakuna Maji na hata yakitoka ni mara moja kwa week ama mara tano kwa...
Nimerudi kazini umeme hamna,
Watoto wanasema mafundi wa TANESCO walikuja kufungua nyaya kwenye nyumba ya jirani (tunashea nguzo) kisha wakaziacha chini kama hivi kwenye picha.
Wakasepa zao ...
Serikali tunaomba itusaidie MUHAS!
Sisi wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tunaomba serikali au wizara husika iajiri wakufunzi wa kutufundisha maana...
Habari wanajukwaa!!
Kero yangu ni jinsi mazingira ya vitongoji vinavyokizunguka chuo kikuu cha Mzumbe vilivyo vichafu, inakera kweli, unabaki kujiuliza ustaarabu wa mtanzania uko wapi?! Au hadi...
Juzi nimejaribu kujaza taarifa za wazazi ili waweze kupata bima ya afya lakini nilirudishwa kwa sababu zifuatazo:
Majina ya mama anatumia majina ya baba baada ya kufunga Ndoa.
Majina ya Baba...
Kesho nilikuwa na safari ya moro nikaona niwachek niulize Ratiba zao nikauliza Treni ya kwanza inatoka saa ngapi nikaambiwa ni saa 12 kamili asubuhi, muda wa kuripoti ni saa 11 na kama huna tiketi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.