Ofisi za NIDA katika wilaya ya Nachingwea zina matatizo na usumbufu mwingi sana, kuna watu wamepeleka form toka mwaka jana mwezi wa nane lakini cha kushangaza mpaka leo hawajapata namba zao na...
MWANAFUNZI ALIYEPATA AJALI UWANJA WA TAIFA ATELEKEZWA BILA MSAADA WA UVCCM ..!
Mwanafunzi Emmanuel Jackson Malima mwenye umri wa miaka 17 anayesoma kidato cha nne (Form IV) Shule ya sekondari ya...
Taasisi ya North Mara community trust fund. Iliyopo wilayani Tarime kuna mambo yanayoendelea yasiyo ya haki hasa kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali walio chini ya mpango wa maendeleo endelevu...
Nisikuchoshe usinichoshe..! Wasalaam.
Mimi ni mkazi wa maeneo ya Buza ambaye katika harakati zangu kila siku usafiri wangu ni daladala kutoka Buza kwenda mjini kujitafutia mkate wa kila siku...
TABIA NA MAKUZI
Kuna hii tabia ambayo sio nzuri kwenye daladala. Kuna hawa wadada wakiingia na watoto wao wadogo wanataka kupishwa kwenye seat ila siku wakiwa na pesa za kuwalipia hao watoto wao...
Leo au toka jana serikali haina mtandao. Malipo ya ada vyuoni kupitia control number ni shida siku nzima mtandao hauko hewani.
Kule CRDB napo ni shida hakuna mtandao. Nimelipa kitu flani...
Sisi wakazi wa Matuga, Kibaha Vijijini tuna changamoto ya kusumbuliwa na Maafisa wa Halmashauri ya Kibaha Mji, wapo katika mchakato wa kutupora ardhi yetu kiasi cha kutumia Askari Polisi na Mgambo...
Leo asubuhi eneo la Nyerere square baada ya konda na dereva kutudanganya kuwa watapitia General Hospital. Huyo dada hapo pembeni na kaka wagonjwa, mimi nilikuwa naelekea Majengo na konda akaanza...
Mifereji ya Kawe stendi inatoa harufu mbaya sana, na ukizingatia kuna biashara zinafanyika zikiwemo biashara ya kuuza chakula.
Harufu inayosambaa katika eneo hilo ni takribani siku 5 sasa, na...
Bado kuna shida kubwa sana ya madereva wa daladala kugeuzia njiani na kufaulisha abiria kwenye gari nyingine.
Imekuwa kero na usumbufu mkubwa sana hasa kwa daladala zinazotokea Mipango kuelekea...
Mimi ni mkazi wa Kawe, Dar es Salaam, nina imani Nchi yetu kwenye Sheria za ardhi kuna maeneo specific kwaajili ya ujenzi wa Makanisa na Misikiti, kwa habari za Misikiti wanajitahidi sana na...
Wafanyakazi WA PSSSF Musoma hawatimizi wajibu wao haswa kwa wastafuu, mama mzazi amekosa pension yake kwa kutokuja kuhakikiwa wanapigiwa simu mwezi mzima wanasema wanakuja ila hawaji, ukiendelea...
OR TAMISEMI, Dodoma kuna nini, naomba kujuzwa wadau. Mimi ni mmojawapo wa watumishi niliopata uhamisho toka kwa Katibu Mkuu TAMISEMI, nikihamia HALMASHAURI nyingine. Cha kushangaza, tangu kuripoti...
Mimi ni mdau kutokoa wilaya ya Busega mkoani Simiyu. Hali ya Ugawaji wa namba za NIDA imekuwa sio nzuri ambapo kwa mwezi sasa namba hazitoki toka tarehe 10/06/2024.
Kila ukienda unaambiwa kuna...
Unakuta baada ya mwalimu kufaulisha vizuri, wanaona kuingia naye mkataba itawagharimu anatafutiwa sababu anafukuzwa na kuajiri walimu wapya ambao ni vigumu kujua kile kinachoendelea kwenye shule...
Wakazi wa mtaa Mwarakani wanakumbana na changamoto ya maji kwani hudumu hiyo haijafikishwa kwenye makazi yao licha ya kuhangaika kusogeza huduma hiyo bila mafanikio kwenye maeneo yao.
Mamlaka...
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya vyuo kufanyisha wanafunzi mitihani kwa mfumo wa online(Google) na mfumo unakuwa na changamoto nyingi kama vile muda unaowekwa unakiwa hautoshi,unakuta maswali 50 ya...
Habari,
Kituo cha Kibamba wahudumu pale ni kero kubwa wana majibu ovyo, imeshakuwa kero kubwa itafikia hatua wananchi watajichukulia sheria mkononi.
Pia Dada anayekatisha tiketi ukidai Tsh 50...
Foleni mlimani City ni kero.
Kila asubuhi Traffic huongoza magari upande hasa yanayotokea Goba/UDSM kupita na kusababisha foleni kubwa kwa magari yanayotoka Ubungo.
Foleni unaweza kukaa mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.