Maliasili wako tayari kudhulumu uhai wa mtu kisa Mkaa, Mamlaka zichukue hatua stahiki kinachoendelea Tabora sio haki, sio utaratibu. Mtu yupo Main Road kabeba gunia moja la mkaa na magunia mengine...
Wakuu kwema,
Maji yamekuwa yakitoka machafu kwa muda sasa, sasa hivi hali inazidi kuwa mbaya, maji ni machafu sana mpaka yanatia mashaka kwenye usalama wake, mbali na kuwa machafu kama hivi yana...
Kumekuwa na ukiukwaji mkubwa na wa wazi wazi wa maelekezo yenu juu ya bei elekezi za nauli katika njia hizo.
Watoa huduma wanatoza bei wanazotaka wao na kuwabighudhi abiria wanaotaka kulipa nauli...
Kuna wafanyabiashara hasa wa Turiani (Madizini) Morogoro wanawauzia watu wasiojua bati za gauge 32, wakiwaambia ni 30 gauge.
Na hawataki urudishe mzigo hata ukigundua kuwa bati hizo ni fake...
Wadau,
Mwanza ni Jiji kubwa kwa wingi wa watu na rasmilimali lakini linakubwa na tatizo sugu na kubwa la mgao wa maji ambao haueleweki.
Mfano: Nyegezi maji kwa wiki baadhi ya mitaa wanapata...
Salaam!
Ni jumanne iliyo njema sana.
Moja Kwa moja kwenye mada.
Bodi ya Mikopo (HESLB) imekuwa ikiwaangamiza watumishi wa umma ambao waliwahi kuwa wanufaika wao walipoamua kujiendeleza kielimu...
Nina siku kadhaa nipo Geita lakini hii trend ya kukatika umeme isiyo na ratiba maalumu inatia shaka utendaji kazi wa watumishi walioko huko ofisini
Wenyeji mnaonaje?
Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana
Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua
Boti za Zanzibar na...
Wakusanya malipo ya maegesho (parking), kwa kuvamia kando ya barabara na kuanza kukusanya malipo wamekuwa kero sana na mara nyingi wamekuwa wakiona ufahari kusumbua wenye magari.
Hii hali ina...
Watumishi waliohama kada mbalimbali wanakutana na usumbufu hasa katika mfumo wa ESS katika kupangilia malengo ya utekelezaji na hivyo kuwa kikwazo katika utendaji kazi wao wa kila siku.
Kwa...
Naandika kwa mara ya nne.
TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Afya nchini Tanzania walipata ufadhili na World Bank (WB) kuajiri watumishi wa afya ajira mkataba wa miaka mitatu.
Wamejitahidi...
Hii sio sawa fremu zinajengwa kila sehemu kila kona, hivi wanaohusika na mipango miji wapo kweli? Mji mkubwa kama Dar es Salaam hili limekuwa kiboko, hivi matumizi ya ardhi yapo kweli?
Yaani...
Kuna tabia ya baadhi ya watu kuvamia maeneo ya wazi au barabarani wakifungua biashara na mwishowe wakishindwa kuendelea na biashara ndogondogo hupangisha maeneo hayo kwa kuchukua kodi kila mwezi...
Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo.
Usiku huu wa...
Sasa yapata wiki Mtaa wa Mwananchi hatupati maji hatuelewi kuna tatizo gani. Mhe. Waziri wa Maji fanya mabadiliko ya haraka katika Mamlaka ya Maji Jijini Mwanza(MWAUWASA) ili wananchi tuwe...
Mkuu wa police Tanzania,hawa askari wako wa kituo cha police Dumila,Morogoro weredi wa kazi umekuwa jiwe kwao.
Kwanza Dumila ni sehemu ambayo askari wake rushwa imetawala sana,dumila ni mji wenye...
Kwa muda sasa katika maeneo ya Tegeta Azania (Kwenye Nyaya za Umeme wa Zanzibar) pamekuwepo na shida ya maji. DAWASA hamjatoa taarifa yoyote. Ingependeza sana kama mnaweza kutoa taarifa nini...
Mtaani kwetu Ubungo, Makoka, DSM
Maeneo ya Kilimahewa kuna jirani amejenga nyumba ya kupangisha ambayo wanaishi wapangaji tu yeye anaishi mbali na hapo.
Sasa tatizo linaanza, choo cha hiyo...
Wakuu salam,
Wakazi wa Mbezi Beach hatuna maji ni siku ya tatu sasa, kuna nini?
Au kuna matengenezo yalitangazwa na yamenipita? Maana sijasikia popote, hata kama kuna matengenezo ndio siku tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.