Wizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu, upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo. Naomba wakubwa lifuatilieni...
Wadau tusaidieni tuko mkoani tunataka kupiga simu NHIF, walitupatia namba ya msaada 199 ila tukipiga hiyo namba ya msaada haipatikani kabisa. Watusaidie hata namba nyingine basi ya msaada kama...
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga, tafadhali fanyeni busara kuziondoa kamera ambazo zimefungwa chooni.
Sio busara, sio ustaarabu, ni kuingilia faragha za watu. Chooni ni eneo...
Bodi ya Wahandisi inakera sana, inachelewesha vyeti kwa makusudi, mtu amekamilisha kila takwa la registration, lakini unakuta hadi miezi 3 hadi 6 cheti bado hakijachapishwa.
Ukiuliza unaambiwa...
Kumekuwa na kero ya kukosa utulivu nyakati za usiku baada ya uwepo wa sehemu hii ya biashara kwani sehemu hii ipo karibu na hospital na makazi ya watu na kusababisha watu kushindwa kulala wakiwemo...
Tangu kuanzishwa na kufunguliwa kwa mfumo wa watumishi portal ess.utumishi.go.tz na kuunza kutumika rasmi mnamo tarehe mosi ya mwezi september.
Ukiwa na lengo la kupokea na kushughulikia maombi...
TANESCO KIBONDO NI KERO
Leo ni siku ya 3 sasa, hawa TANESCO wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wanakata umeme kwa zaidi ya saa 12 bila taarifa yoyote.
Je, ni mgao umeanza tena tujue?
TANESCO
Jana nilikuwa naongea na moja ya wananchi washio Arusha.
Ktk kupiga stori za hapa na pale aliniambia visa na matukio ambayo mimi binafsi yamenitisha na kuniumiza kichwa.
Usalama wa Wananchi...
Kata ya Ruzinga wilaya ya Missenyi Mkoa wa Kagera kuna mradi wa maji haujawahi kamilika toka mwaka 2012 hadi watu washachoka kulalamika maana ukijaribu kufuatilia taarifa zinasema mradi...
Kuna kero ya mfumo wa Gesi kuvuja katika eneo la darajani Ubungo Interchange (Fly-over) ambapo mkondo wa bomba la gesi umepita imekuwa kero kwa wanafunzi hasa wa Chuo cha Maji na wafanyabiashara...
Wakuu habarini!
Leo mchana nilikuwa Kariakoo, sasa kilichonishtua ni kuona mitaa mingi imefungwa watu wanaabudu barabarani.
Mbaya zaidi hakuna ishara yeyote utaiona kwamba mtaa husiku umefungwa...
Bodi ya wahandisi ina matatizo makubwa, wanachelewesha kuchapisha vyeti kwa makusudi nadhani kwa sababu zao binafsi, sasa kama mhandisi tayari umeshaandikishwa ukaandika ripoti na bodi ikakaa na...
Leo hii nimeamua, kushika kalamu kuandika hili kwamba wafanyabiashara wadogowadogo waliopo Mbezi wanapata kadhia sana kwenye kufanya shughuli zao za kila siku, ila wenye taabu kubwa ni...
Naandika Tatizo hili nikilia maana ni mwaka na zaidi sasa wazazi wangu wanateseka na maji. Ukiangalia tupo karibu ya vyanzo vya maji alafu watu wachache wanafaidi sisi wa hali ya chini tunateseka...
Kwanini wafanyabiashara wa stendi ya Magufuli Mbezi wameachiwa kufanya biashara zao kwa kuzurura ndani ya stendi na kupanga biashara kila mahali wakati kuna majengo ya kufanyia biashara? Kuna...
Dar ndo jiji kubwa Tanzania ukifanya research utagundua availability ya maji Dar Ina range 60%--70% mfano Ubungo na Kimara maji yanatoka mara mbili Kwa wiki tena Kwa mda mchache yanakata mwezi...
Medical Council of Tanganyika (MCT) wamekuwa hawatoi msaada unaoitajika kwa madaktari especially swala la leseni kwamba ukishalipia ni aidha uifate Dodoma ama usubirie kwa muda wao wanaoutaka wao...
Inasikitisha sana kwa wakuu wa wilaya na mapolisi kuvamia guest usiku, na kuwadhalilisha wateja waliolala kama vibaka. Ifahamike kwamba gesti ni biashara kama zilivyo biashara zingine...
Serikali imeshindwa kulinda na kufuata Sheria na kanuni zake kama zinavyotaka...
Mfano, kuna Baraza la taifa la usimamizi na uhifadhi mazingira kazi yake kubwa kulinda na kusimamia Sheria ya...
Baadhi ya wafanyabiashara Morogoro tunadai hela TEMESA za kuwasambazia bidhaa kwaajili ya magari yao toka 2022 mpaka Leo hawajatulipa, tumeshatuma barua za kuulizia kwanini wanachelewa lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.