KERO Threads

Anonymous
KERO
Walimu wakifuatilia kwa maafisa wa idara ya Elimu wanaambiwa hela zipo tutawaingizia kwenye akaunti lakini mpaka sasa ukimya umetawala na hatima ya malipo hayo haijulikani. Hali hii imekuwa...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Hali ya WAKAZI ya Airport ni Mbaya. Mkandarasi wa SGR wameweka uzio wa fensi ya Makali hivyo kuvuka kwenda airport wananchi hawawezi. Barabara ya juu hawajamaliza lakini hata njia ambazo ndio...
0 Reactions
16 Replies
393 Views
Wakuu salama? Hii imekuwa kero sugu hospitalini hasa upande wa serikali. Mgonjwa unaenda na shida zako dokta anakupa miadi ya kurudi siku fulani, au unanga appointment kwaajili ya mgonjwa wako na...
1 Reactions
20 Replies
410 Views
Anonymous
KERO
Tembo wamekuwa changamoto kubwa sana kwa Wilaya hiyo kuhatarisha maisha ya watu. Hivi sasa ni takibani mwaka wa tatu, tembo wamekuwa changamoto kwao wakisababisha upotevu wa maisha kwa watu kila...
0 Reactions
4 Replies
330 Views
Anonymous
KERO
Kuna mchezo mchafu unafanyika kwenye branch ya Mbagala Zakhiem upande wa Lipa kwa simu, HQ wanasema ni bure kupata number ya Lipa kwa simu ila ukifika kwenye hii branch Wanatoza 10,000 kwa ajili...
0 Reactions
2 Replies
311 Views
Maeneo ya Kazegunga, Msimba, Kasaka hawana maji zaidi ya wiki. Watu hutumia maji ya visima ambayo si salama kwa afya ya binadamu. Ziwa liko km 10 tu lakini maji hayatoki. Wahusika wachukue hatua...
0 Reactions
3 Replies
236 Views
Anonymous
KERO
Tabia hiyo inatajwa kuwa endelevu kwa vyama hivyo kutolipa kwa wakati pesa za wauza mazao hao. Minada inapigwa kila wiki ndani ya wilaya hiyo lakini malipo ya pesa katika mnada husika hazilipwi...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Anonymous
KERO
Hakuna chuo ambacho walimu ni Mungu watu kama Tabora Polytechnic college kuna madudu mengi yanafanyika hapa hasa kwenye ngazi ya Famasi Diploma mfano kuna mwalimu style yake aisee hapana inabidi...
1 Reactions
8 Replies
714 Views
Kwa jinsi hii DART ilivyokuwa inapigiwa promo enzi mradi unaanza, na hali halisi ya sasa ya uendeshaji wake, ni dunia mbili tofauti. Kuna kipindi mradi ulivyokuwa unafunguliwa na Hayati Magufuli...
5 Reactions
14 Replies
732 Views
Uongozi wa Dodoma Jiji unadai eneo hilo tunaloishi wakazi wa Kata ya Ipala Jijini Dodoma ni mali ya Serikali, wanataka kutuhamisha kwa njia ambayo tunaona siyo sahihi. Wakati wakitaka kutuhamisha...
0 Reactions
3 Replies
859 Views
Anonymous
KERO
Kwanini kipindi chote raia wanajenga Nssf isiwastopishe? Mmeacha mpaka watu wamemaliza ujenzi na kuamia katika makazi yao alafu leo hii nyumba zote zimewekwa X-Bomoa! Muda wote mlikuwa wapi...
0 Reactions
13 Replies
793 Views
Anonymous
KERO
DIWANI KATA BAKOBA ANALAZIMISHA KUBADILISHA MATUMIZI YA FEDHA UJENZI WA SOKO LA DAGAA. Diwani wa kata ya Bakoba Manispaa ya Bukoba Ndg, Shaban analazimisha kuhamishwa kwa fedha Tsh Mil 28...
0 Reactions
1 Replies
305 Views
Anonymous
KERO
Sisi Wakazi wa Kibamba, Mtaa wa Matembezi tuna kero, hadi kufikia jana Juni 10, 2024 ilikuwa ni zaidi ya Saa 24 zimepita tangu tulipowekewa vifusi barabarani bila kusambazwa. Suala hilo limekuwa...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Habari wakuu Tangu kuanza kwa mfumo wa utumishi portal,ambao umekua na lengo kuu la kupunguza paper work na kupunguza urasimu katika shughuli mbalimbali ikiwepo uhamisho wa watumishi. Pamoja na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni hakika. Tunetoka kwenye mvua kubwa, mifereji ya Jiji la Dar na vijito bado vinatirisha maji. Wananchi wachota hayo maji kwa matumizi Yao ya kila siku. Bila haya maji, Jiji la Dar liko...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Ulikuja ukaagiza maji yawepo, maagizo yalitupwa kapuni. Waziri hawa watendaji wanatusababishia ubakaji kwa watoto na kinamama wakihangaika kutafuta maji. Tusaidie
1 Reactions
15 Replies
638 Views
Habarini wadau. Naongea kwa masikitiko makubwa hela za likizo mpaka sasa wilaya nyang'hwale mkoa wa geita mambo ni kimya . Hivi nyie maafsa mnaohusika mbona hamna huruma jamani tumefunga...
2 Reactions
23 Replies
751 Views
Anonymous
KERO
Kuna huu mtindo wa Tarura jiji la Mbeya hasa pale wanapofanya marekebisho ya barabara mbovu zile za ndani, huwa wanaweka kibao cha kuonesha barabara imefungwa (kwa watumiaji wa vyombo vya moto)...
0 Reactions
2 Replies
358 Views
Anonymous
KERO
Usafiri wa Mabasi ya Newala, Mtwara ni changamoto sana na ni shida ya mda mrefu sana. Wafanyabiashara wa mabasi wanafanya biashara kwa kubahatisha; service hazifanyiki vzur na kwa wakati hali...
5 Reactions
20 Replies
980 Views
Mji wa Same ni mdogo sana ila inashangaza ndani ya wiki tatu zilizopita zimeibiwa TV nyingi sana, je, zinakwenda wapi? Au zinauzwa wapi? Maeneo ya Sterling na Stesheni kwa mfano zimeibiwa TV nne...
7 Reactions
63 Replies
2K Views
Back
Top Bottom