Jana nilikuwa nafanya mawasiliano na rafiki yangu aliyempeleka mama yake hospitali ya MKOA MOROGORO.
Aliyoniambia nilishangaa na kusikitisha sana
Kwanza mama alikuwa anaumwa tumbo ameharisha...
Habari wakuu!
Jiji la Mbeya ni moja ya miji unayokuwa kwa kasi sana, hongereni wana Mbeya ila shida ni dala dala kushindwa kufika mwisho wa safari.
Hapa namaanisha kufaurisha abiria kisa...
Wadau tujuzwe hili kwa ufafanuzi.
Nini shida kwa watumishi wa umma, waliohamishwa na Katibu Mkuu, TAMISEMI kwenda HALMASHAURI zingine, hasa walimu kuto hamishwa mishahara tangu walipohama Kati ya...
Kumekuwa na changamoto katika mfumo wa chuo unaopelekea wanafunzi kushindwa kulipa ada ili waweze kufanya mitihani kwa wakati leo tarehe 8 Julai majira ya saa 7 usiku wanafunzi wapo ofisi za...
Wakazi wa mwanza, wilaya ya nyamagana kata ya Buhongwa maji yamekuwa ni changamoto sana, tuna wiki ya pili hatuna maji na kila mara hii hali hujirudia rudia.
Tushalifikisha mpaka kwa mwenyekiti...
Maeneo ya Kinzudi
Utupaji wa takataka kwenye makazi ya Watu umekithiri kwa kisingizio cha kuziba makorongo ambacho ni kinyume na uhifadhi wa mazingira.
Walianza kwenye viwanja vilivyo...
Waalimu UDOM wanalazimisha wanafunzi kutoa hela ya mahafali. Mahafali yenyewe siyo ya lazima tunajua mahafali ya chuo ndo ipo November na siyo lazima nifanye.
Lakini baadhi ya walimu Wana taka...
TANESCO walikanusha suala la makato kuongezeka kutoka elfu 1500 kwenda elfu 2000 ila ukweli
Changamoto Imekuwa kubwa mno, mimi nimekatwa elfu 6000 nimenunua umeme wa 10500 nimekatwa deni elfu sita...
Nashangazwa sana na utendaji wa Tanesco, nilikuwa nakaa Dodoma umeme ulikuwa haukatiki ovyo ila maisha ya kule ni gharama sana nikamua nihamie Vikindu Vianzi kupata unafuu wa maisha na...
Habari za Asubui wana JF,
Naomba kuleta mada kwenu kuhusu haya mashirika ya kigeni yanayojiita ya kusaidia binadamu (humanitarian) au kujiita mashirika ya kimataifa yasiokuwa ya kiserikali...
Mimi ni Mtumishi wa Serikali, nilikuwa mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo (HESLB) wakati nikisoma Chuo Kikuu!
Baada ya kuhitimu na kufanikiwa kupata kazi, nikaamua kulipa mkopo wote niliokuwa...
Viongozi wilaya ya Siha fuatilieni wananchi wanateseka toka tarehe 26/06/2024 magari ya abiria aina ya Noah na Hiece (daladala) wamepandisha nauli kiholela, ambapo kutoka Boman' ombe mpaka Sanya...
Mtaa wa Tegeta kwa Ndevu stendi barabara ya kuelekea machinjioni kuna bomba la DAWASA limepasuka tangu mwaka jana, bomba hilo linamwaga maji na kuhatarisha afya usalama hewa wa biashara
======...
Nimesindikiza mgeni hivi karibuni akielekea Ughaibuni.
Kabla sijampeleka airport nilifanya kupima begi lake uzito ili kuhakiki isitokee kupunguza mizigo panga pangua na begi lilikua na KG30...
Hivi jamani, sisi wabongo watu wa ajabu sana? hivi ni kwa kuwa hatuelewi majukumu yetu?hivi ni kwa sababu sisi ni wavivu, hivi sisi hatujui kwa nini tumeshika ofisi zetu.hatujui wajibu wetu? Hivi...
Nimepiga simu Tanesco, wamesema mita yangu ilikuwa inadaiwa 18,000 kwa mwaka wa fedha ulioisha(2023/24) hivyo wamekata pesa hiyo niliponunua umeme leo.
Nikawauliza mbona wamekuwa wakinikata kila...
Nikiwa kama mjasiriamali nimejikuta nipo kwe uhitaji wa mkopo kutoka Benki ambayo ninaitumia kwa ajili ya kufanya miamala yangu ya kibiashara na hata kuhifadhi fedha kwa muda mrefu.
Isivyo bahati...
Unasababaisha mchafuko wa hali ya hewa ambao pia ni usumbufu, kero na kichefuchefu kwa wengine..
Sio kwasababu ya uchafu wa viatu vyako, uchafu wa miguu au soksi, inaweza kuwa ni tatizo la asili...
Kero yangu ni kuhusu tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa dollar badala ya shilingi kama alivyoagiza. Mfano Ankara za kulipia leseni za tume ya Madini za dollar 1,000...
Sisi wakazi wa Mbezi Beach kwa Komba mtaa wa Alesika Road jirani na Ofisi za Airtel tunateseka kwa kulazimika kukesha pamoja na waumini wa kanisa la Angels Ministry ambao wapo kushoto kwetu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.