Kuna hizi MITA tukiweka luku ya 10,000 tunapata units 28 badala ya 56, Hivi mlitumia vigezo gani kutuumiza hivi?
Bora mtupatie mita mpya Ili tununue umeme wa kutosha na wateja waongezeke...
Taasisi za Umma kama NACTVET Wamekuwa na tabia ya kupandisha bei za huduma bila sababu na hawatoi taarifa hivi karibuni.
NACTE wamepandisha huduma ya ACADEMIC TRANSCRIPT kutoka elfu 15 kwa...
Naandika kwa masikitiko makubwa sana Leo ikiwa ni siku ya tatu maji hayatoki .
Hakuna taarifa yoyote ya katazo la maji kwa wananchi wa kata ya Nyasubi Kahama.
Tumejaribu kutoa taarifa tunajibiwa...
Hii kitu inanikera sana na inaniacha na maswali mengi. Hii hasa ipo kwa magari ya Kawe pale karibu na kituo cha Jeshini, na njia ya kwenda Makumbusho kutokea Kinondoni Studio karibu na kituo cha...
UTANGULIZI
Mtaa wa Majengo mapya_Jeshini, unapatikana Mkoani Mbeya, wilaya ya Chunya, kata ya Matundasi, kitongoji cha Itumbi.
HISTORIA YA ENEO
Hili ni eneo ni mojawapo nchini ambalo...
Baadhi ya wanawake waliopata huduma ya kujifungua kwenye Zahanati ya Isevya iliyopo Manispaa ya Tabora wameiomba Serikali kujenga uzio mrefu kuzunguka zahanati hiyo ili kukomesha watu wasio na...
Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri.
Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo.
Kwenye kituo kuna...
Habari wanajamvi,
Kwa muda sasa Kuna mambo ya kitapeli hufanyika waziwazi bila matapeli hao kuchukuliwa hatua
Kwenye Kona mbalimbali ya jiji hili hususan karibu na maeneo ya stand kuu, Kuna watu...
Ni muda sasa wakazi wengi wa maeneo Ilala ikiwemo boma, Amana, Bungoni, Sharifu Shamba, Malapa na Buguruni Rozana tunateseka na kero ya wanaoendesha pikipiki zenye milio ya juu wakati wa usiku...
Ni siku tatu zilizopita nimelalamikia nida Kawe na uhuni nilioona.
1. Siku naenda kujiandikisha nilifika saa nne nkaitwa saa tisa kupigwa picha.
Unaweza hisi ni makusudi ama wewe pekeyako lakini...
Wadau, huku kwetu sinza A ni changamoto, siku haibadiliki bila umeme kukatika sio chini ya mara mbili, sasa hatuelewi ni mgao au ni uamuzi wa wenye nchi kutufanyia hivi.
TANESCO hatuwaoni wakija kuondoa hizi nguzo na kuziweka pembeni kupisha UJENZI wa barabara wamekaa kimya na hamna wakusema waje kutoa hata viongozi wenyewe hawaongei chochote.
Nini kinafanya...
Hawa watu wa vivukoni ni bora wafurushwe wote kuanzia anaesafisha vyoo hadi wasimamizi!! Hii ni total failure, vivuko vyote vimeharibiwa kimebaki kimoja mara kwa mara kinazimika njiani...
kumetokea vunja vunja barabarani kisiwani Zanzibar na kwa mujibu wa maelekezo ni kuwa manispaa walitakiwa waondoe vimeza vilivyopo nje tu ya maduka au katika maeneo ya umma.
Lakini wao kwa...
Nipo mkoa wa Rukwa wilaya ya Nkasi kijiji cha Korongwe. Leo asubuhi kumezuka taharuki kijijini hapa KORONGWE iliyotokana na kuwepo kwa watu wanaojitambulisha kuwa ni maafisa biashara kutoka...
Katika Sheria za Benki Kuu ya Tanzania ambaye ndie Regulator wa Microfinance zote na kwa ufahamu wangu mpaka wafanyabiashara wanaokopesha vifaa vya kielekroniki kama simu janja, kompyuta mpakato...
Kwa Tanzania sio ajabu kuacha salio kwenye mtandao labda Vodacom (imenitokea)salio la muda wa maongezi baaye ukajikuta salio limepungua au kukatwa.
Ni nadra uweke salio labda 1000 usijiunge baada...
Habarini wanajukwaa,
Jamani naomba kufahamu kuhusu hii mitandao ya smu. Nimekuwa nikiweka Salio katika mtandao X mfululizo,
jana asubuhi nimeweka salio kwa rusha nikaunga vizuri, jioni wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.