KWELI Threads

  • Article Article
Mfano matumizi ya majivu kuchanganya na maji ya uvuguvugu na kunywa masaa 2 kabla ya tendo pamoja na njia nyingine ni matumizi ya unga wa mbegu za papai, ni salama kiasi gani?
2 Reactions
0 Replies
4K Views
  • Article Article
Asubuhi ya leo, Februari 22, 2023, kumekuwepo taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikisema kuwa Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) limeufungia uwanja wa Mkapa kutokutumika kwa mwezi mmoja...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Article Article
Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linalokabili wanaume wengi duniani. Kwa mujibu wa tafiti, tatizo hili linazidi kuwa kubwa miaka ya hivi karibuni tofauti na zamani. Katika kutafuta...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Article Article
Miaka ya 2000s imekumba na mabadiliko mengi ya kiteknolojia ikiwemo uwepo wa safaru za kidigitali ambazo haiziwezi kudhibitiwa na mamlaka za serikali (Benki Kuu). Sarafu za kidigitali...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Article Article
Yapo madai ya kuwa dawa za asili kama ndulele, alovela na vitunguu swaumu ni dawa ambazo huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole. Aidha, wengine wanadai mafuta ya taa au maji ya betri pia huweza...
10 Reactions
9 Replies
11K Views
  • Article Article
Kipindi cha afya hai ya uzazi wa mwanamke hutawaliwa na mizunguko ya hedhi ya kila mwezi ambayo hukoma baada ya kupata ujauzito, muda mchache baada ya kujifungua na pia baaada ya kufikia umri wa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Article Article
Oicha hii inasambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi ya watu wanadai imepigwa nchini Tanzania, lakini kutokana na uwekezaji mkubwa ambao Serikali yetu imefanya mimi siamini kama ni kweli...
9 Reactions
34 Replies
6K Views
  • Article Article
MADAI Inadaiwa kuwa Tovuti ya Starlink inayomilikiwa na mfanyabiashara bilionea ambaye pia ni mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk imetangaza mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya...
21 Reactions
27 Replies
6K Views
  • Article Article
Asali ni chakula kinachotumika kama dawa ya magonjwa mengi. Hutibu vidonda, kikohozi, huondoa sumu mwilini, ni chanzo bora cha nishati pia hutumika kwa kazi nyingi za urembo. Ukipita mtandaoni...
5 Reactions
21 Replies
8K Views
  • Article Article
Kuna mijadala mingi inayosema kuwa Passport yetu ya Tanzania haikubaliki kama proof of ID je ni kweli?
6 Reactions
32 Replies
5K Views
  • Article Article
Wakati mwingine siku chache baada ya kushiriki ngono bila ya kutumia kinga unaweza kuhisi miwasho kwenye uume na hata maumivu kwenye njia ya mkojo. Mara nyingi wanaume huingiwa na wasiwasi...
6 Reactions
6 Replies
11K Views
  • Article Article
Kwa mujibu wa mdau mmoja, Disemba 12, 2019 aliona kwenye taarifa ya habari ya chombo kimoja wakitangaza kuwa familia moja imepoteza watoto wao wanne kwa kile kinachodaiwa kuwa walikula mihogo...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
  • Article Article
Kumekuwa na mazoea katika jamii mtoto anapoanza kuota meno huanza kuharisha na hivyo kuaminika kuwa meno yanasababisha mtoto kuharisha. Ukweli ni upi?
2 Reactions
2 Replies
5K Views
  • Article Article
Madai Shirika la utangazaji la BBC liliripoti kuwa nchi ya China ina mpango wa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia...
0 Reactions
0 Replies
490 Views
  • Article Article
0 Reactions
0 Replies
592 Views
  • Article Article
Nimekutana na hii babari kwamba Rais wa CAF bwana Dr.Motsepe anasema wanatarajia kuzindua Mashindano Mapya barani Africa yatakayojulikana kama Super League mwezi wa Agasti Nchini Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
  • Article Article
Mdau wa JamiiForums.com ameelezea wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa maambukizi ya ugonjwa wa UTI kwa wanawake. Anahoji inakuwaje sababu kubwa inayotajwa kuwa ni uchafu ipate mashiko kwa nyakati...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
  • Article Article
Habari zenu wakuu Hivi nmekua nikijiuliza sana ni hali ya hewa ndio inapelekea watu kuumwa sana sasahivi au ni nini?? Maana nmekua nikishuhudia watu wangi wakikohoa sana ambapo hali hii...
0 Reactions
0 Replies
398 Views
  • Article Article
Chanzo cha habari gazeti la the The Citizen la leo Machi 30, 2021. Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza. Hongereni Polisi kwa...
0 Reactions
0 Replies
447 Views
  • Article Article
Leo, Machi 15, 2021 Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Back
Top Bottom