Nimepokea hivi karibuni voice note kutoka kwa Mtanzania anayeishi Afrika Kusini. Sauti hiyo ya Dudula Master ambaye ni mhamasishaji mkubwa wa Xhenophobia ametoa onyo dhidi ya wageni wote kuondoka...
Salaam ndugu zangu,
Nimekutana na mijadala kwenye mitandao mbalimbali ikidai bwana Omari Mapuri aliyeteuliwa jana 29/06/2023 amewahi kushika cheo cha uenezi ndani ya CCM huku wengine wakidai...
Mkoa wa Iringa umekumbwa na sintofahamu kubwa baada ya kuenea kwa taarifa zinazodai kuwa baadhi ya Vijiji vya kwenye Mkoa huo vimevamiwa na Simba wanaokula mifugo na kushambulia watu.
Baadhi ya...
Tanzania imeingia mkataba na Falme za Kiarabu kuzalisha Umeme jadilifu megawatt 2000.
Kukamilika kwa miradi hii kutapelekea Bei ya Umeme kupungua sana.
Maji ya nazi (Madafu) ni kinywaji maarufu sana mtaani. Ni maji hanayopatikana kwenye nazi changa (Cocos nucifera) ambayo hubadilika kuwa tui baada ya kukomaa kwa nazi.
Kumekuwepo na madai kuwa...
Hivi malaria inaweza kusababisha kuona mauza uza na kuota ndoto za ajabu?
Yaani ndoto za kutisha na kuwa na wasiwasi uliopitiliza
Pia mauza uza hasa ya kukabwa shingo, chumba kuwaka moto n.k...
Hivi ni kweli kuwa teknolojia ya electroneurone inaweza kupangiliwa kwa vifaa maalumu ili kumfanya mtu kuhisi amewahi kuwa sehemu hiyo kabla, na watu wale wale huku akizungumza maneno yaleyale...
Naomba kufahamishwa ukweli, nimekuwa nasikia mitaani kuwa ulaji wa mboga za majani aina ya Kabichi siyo mzuri kwa afya kwa watu wenye ugonjwa wa Goita.
Mimi kama mdau wa mboga za majani huwa...
Ushiriki wa mazoezi ni jambo muhimu kwa afya. Husaidia kuongeza utimamu wa mwili pamoja na kuupa kinga ya kutosha dhidi ya magonjwa, hasa yale yasiyoambukizwa kama kisukari, shinikizo kubwa la...
Taarifa ya kusikitisha kidogo kutoka Kata ya Mwana-Mutombo Kijiji cha Mwasinasi Tarafa ya Nkololo Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu, Diwani kwa jina la Rambo Kidiga anatuhumiwa kuozesha wanafunzi...
Mdau wa JamiiForums ametoa hoja yake kuwa watu wanaokula dagaa hupata faida kubwa zaidi kuliko wale wanaokula samaki wakubwa.
Amedai kuwa tofauti na samaki wakubwa, mtu anayekula dagaa anakula...
Mdau mmoja wa JamiiForums ameelezea kuwa watu wanaokunywa pombe kupita kiasi (Ulevi uliopindukia) wakiacha ghafla matumizi ya pombe wanaweza kufa.
Mdau huyu anaeleza kuwa pombe hupunguza...
Zipo taarifa zinadai kuwa Jeshi la Tanzania katika wilaya ya Nangade, Cabo Delgado waliingia kwenye mtego wa Magaidi katika kijiji cha Vondanhar, eneo la Palma. Aidha inadaiwa Jeshi la Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.