Hii dunia ina vitu vya ajabu sana na vya kushangaza. Kuna historia baadhi unaweza unaweza kushangazwa nazo mojawapo ikiwa hii niliyopata kusimuliwa.
Msitu wa Nyumbanitu una historia nyingi za...
Miaka kadhaa nyuma niliwahi kusikia mwanamke mmoja nchini Uganda kajifungua watoto wawili (mapacha) wenye baba tofauti, hali hii ilinishangaza sana.
Hali kama hii iliripotiwa pia Septemba 9, 2022...
Kijana wa miaka 29 aliushangaza ulimwengu kwa kitendo cha kikatili kisichokuwa na chembe ya utu. Inadaiwa baada ya kumpindua na kumuua Rais aliyekuwa madarakani William Tolbert, Samuel Doe...
Magonjwa ya Zinaa ikiwemo kaswende yanachangia mtu kupata ugonjwa wa Afya ya akili ikiwemo Kupoteza Kumbukumbu, Msongo wa Mawazo na Mania.
UKIMWI pia unatajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa matatizo...
Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa...
Nianze kwa ku-declare interest kuwa mimi ni mzaliwa wa Mkoa wa Kagera Wilaya ya Missenyi. Katika makuzi yangu hasa baada ya kutoka nje ya mipaka ya mkoa wa Kagera, nimekuwa nikishambuliwa na...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza anuai mpya ya COVID-19 iitwayo EG.5 - iliyopewa jina lisilo rasmi "Eris" huku likishauri kila nchi kuchukua hatua mahsusi za kufuatilia uwepo wake...
Kizza Besigye na Yoweri Museveni walikuwa marafiki walioshibana wakati wa Vita ya Msituni Uganda kumuondoa Milton Obote miaka ya 1980, na Dkt. Besigye aliwahi kuwa daktari binafsi wa Museveni na...
Kuna kitu kinanichanganya sana juu ya haya maziwa mbadala (Formula), je ni kweli yapo sawa tu na ya mama? Yaani mtoto aliyetumia Formula na aliyenyonya kwa mama yake hakuna aliyemzidi mwenzake...
Kuna maeneo fulani nimepita ya mkoa wa dodoma wilayani huko; nimekuta kuna msururu mrefu sana wa vyombo vya moto kwenye moja ya petrol station. Nikajaribu kuuliza kuna shida gani hapa? Wenyeji...
Aloo, hawa mbu wa Ifakara mbona kama siwaelewi hivi? Nimeweka neti wako nje ila bado wanang'ata, hapo miguu haijagusa neti ni kama wanatumia wireless.
Nimeuliza wenyeji wakasema kuwa mbu hawa ni...
Licha ya kuwa Mazoezi husaidia kujenga na kulinda Afya, kuna masuala muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza mazoezi ikiwemo kuchagua eneo la kufanyia mazoezi ambalo litakuwa salama kimiundombinu na...
Graca Machel ni mwanamke anayetajwa kuwa na historia ya kuolewa na marais wa nchi mbili tofauti za Msumbiji na Afrika Kusini. Madai haya yanafafanua zaidi kuwa huyu ni mwanamke pekee aliyewahi...
Hoja ya Serikali ya Tanzania kufanya Makubaliano ya awali na kampuni ya DP World ya Dubai kwenye kuendeleza bandari ya Dar Es Salaam imezua mambo mengi yanayojadiliwa sana.
Mojawapo ya Mambo hayo...
Wakuu kinachosemwa juu ya sumu kwenye maharage mekundu ni kweli? Nimeona machapisho mtandaoni kuwa maharage mekundu ni hatari kwa afya zetu nikapata hofu ukizingatia maharage ndio mboga kuu kwetu...
Wakuu,
Tulikuwa tunapiga stori kijiweni wakasema kama huna kovu la ndui kwenye bega la mkono wa kulia basi ujue chanjo hiyo haijafanya kazi. Kwahiyo sisi ambao hatuna hilo kovu ndio inamaanisha...
Kuna wakati jengo la Burj Khalifa lilisambaa mtandaoni likiwa na bendera ya Tanzania na Picha ya Rais, lakini kwa siku za hivi karibuni nimeona tena mitandaoni kuna picha za bendera za majirani...
Nimekuwa nikisikia kutoka kwa watu mbalimbali kuwa pindi hutumiapo dawa zozote basi itakupaswa usitumie maziwa aina yoyote kwasababu matumizi ya maziwa hupunguza au kuondoa kabisa ufanisi wa dawa...
Salaam Wakuu,
Leo mtandaoni nimeona dokezo likidai Cleopa Msuya katika historia ya Utawala wa Nchi yetu amewahi kushikilia vyeo vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais kwa wakati mmoja.
Kuna ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.