Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Abbas Tarimba, amesema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa za maendeleo, na kwamba mtu yeyote anayepuuza kazi nzuri iliyofanyika katika taifa hili anapaswa akapimwe akili. Ameyasema hayo leo, Novemba 2, 2026, Bungeni, Dodoma.