Abbas Tarimba, wewe uko tayari mtoto wako afe badala ya mtoto wa boss wako?

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,898
Reaction score
40,547
"Mtu anatolea mfano mtoto kipenzi wa rais et akitobolewa macho itakuwaje? Huu ni utovu mkubwa wa nidhamu anajua uchungu wa kulea kweli? Nashauri chama changu kimuite kamati ya maadili achukuliwe hatua hatuwezi kuwa na mtu ana kadi ya chama halafu anatusumbua"_kauli ya mbunge wa jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba.

Kwa maneno hayo Abbas unamaanisha Uhai wa Abdul uliyemuita "Mtoto Kipenzi" ni wa thamani kuliko Uhai wa watoto wa Watanzania wengine? Je wewe binafsi uko tayari kupoteza Mtoto wako badala ya Huyo Mtoto Kipenzi? Unataka watu waone Uhai wa Abdul ni Bora kuliko Uhai wa Mzee Kibao, Mdude, Soka, Chori na wengine waliopotezwa nchini? Yaani mama zào waridhike na vifo vya watoto wao Kwa vile "Mtoto wa Taifa" yeye hajadhulika?

Mbunge unafikia hatua ya kuthaminisha Uhai wa Watanzania Kwa madaraja?
Kinondoni mmetukosea Sana.
 
Attachments

  • IMG-20250527-WA0006.jpg
    IMG-20250527-WA0006.jpg
    73.9 KB · Views: 38
Kama mnakumbuka vizuri katika ligi yetu ya tanzania tim ya simba haikua vizuri katika msimu wa mwaka juzi, katuni moja ilichorwa ikimuonyesha simba yupo kwenye mteremko akiangalia nyuma anakotoka, Akaulizwa na mtani wake Mtani unakwenda wapi? Akajibu hata mimi sijielewi, natiririka hata sijui nakwenda wapi. sasa ndio huyu mh. yeye anatiririka tu hata hajui anachochangia kama kile kikatuni cha simba. Ubunge sio lelemama
 
"Mtu anatolea mfano mtoto kipenzi wa rais et akitobolewa macho itakuwaje? Huu ni utovu mkubwa wa nidhamu anajua uchungu wa kulea kweli? Nashauri chama changu kimuite kamati ya maadili achukuliwe hatua hatuwezi kuwa na mtu ana kadi ya chama halafu anatusumbua"_kauli ya mbunge wa jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba.

Kwa maneno hayo Abbas unamaanisha Uhai wa Abdul uliyemuita "Mtoto Kipenzi" ni wa thamani kuliko Uhai wa watoto wa Watanzania wengine? Je wewe binafsi uko tayari kupoteza Mtoto wako badala ya Huyo Mtoto Kipenzi? Unataka watu waone Uhai wa Abdul ni Bora kuliko Uhai wa Mzee Kibao, Mdude, Soka, Chori na wengine waliopotezwa nchini? Yaani mama zào waridhike na vifo vya watoto wao Kwa vile "Mtoto wa Taifa" yeye hajadhulika?

Mbunge unafikia hatua ya kuthaminisha Uhai wa Watanzania Kwa madaraja?
Kinondoni mmetukosea Sana.
Uko sahihi. Wabunge kama Tarimba ni wa kuwanyima kura. Lkn utashangaa wanampe.
 
Ingekuwa kura za Watanzania zinaheshimiwa mjinga kama huyu asingekuwa Bungeni. Ni vile tu wanaingia mjengoni kwa wizi.

Ndiyo sababu hata sisi wana ccm tunaunga mkono kauli mbiu ya "NO REFORMS NO ELECTION "
Mko sahihi Sana.
 
Back
Top Bottom