Sofia Benlemmane Ambaye ni raia wa Algeria amefurushwa toka Ivory Coast (deportation) baada ya kutoa maneno ya kashfa juu ya taifa hilo na wenyeji wake wa Afcon.
Sofia alinukuliwa akisema Ivory Coast ni taifa maskini ambalo bado linaishi kama zama za kale na akaongeza kuwa Algeria imeendelea...
Mwaka huu kumekuwepo na mjadala wa uraia pacha ila ilipokuja issue ya AFCON kuna baadhi wa wachezaji hata haifahamiki wametoka!!.
POINT: Kuna mchezaji anacheza team ya daraja la tano huko uingereza kuja kucheza kombe kubwa la mataifa ya Afrika.
Soma mwenyewe hapo 👇🏾
Na nisiwe mnafki naomba hili liwe fundisho kwa nia ya dhati kabisa natamani tujifunze kwa maumivu maana wagebga walisema kusikia kwa kenge ni mpaka apigwe na kitu kizito kichwani famu zimtoke masikioni, haya maamuzi yaliyofanyika ya kuleta wachezaji wengine hayana tofauti sana na ukenge.
Mechi...
Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu, hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu
Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi.
Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania ndio kikosi kibovu kuliko vyote vilivyocheza
UZALENDO NI PAMOJA NA KUKOSOA, SIYO KUSIFIA TU
Yaani nchi ndogo zimewaonesha wanaojiona miamba ya soka Afrika kuwa hakuna mwamba wa milele wote ni wachumba tu mbele ya underdog (team ndogo zisizo maarufu au kuonekana na uwezo wa soka).
Timu kubwa kama Misri, Ghana, Tunisia, Cameroon zimegaragazwa na underdogs kama Namibia, Guinea, Msumbiji...
"Leo inaanza match ya kwanza kwa kupokea kichapo kutoka Morocco."
Haya si maneno yangu ni maneno ya mdau mmoja ambaye alikuwa anaongea kwa kutabasamu kabisa akijinasibu kuwa yeye anashabikia Morocco.
"Litimu letu halina mori kabisa. Wacha lifungwe tu maana halijitambui. Lingeangalia wenzao...
Mnara wa Babeli?
Lissu anaonekana akiwa na furaha kubwa sana huko Ivory Coast akishangilia timu ya Msumbiji.
Lissu amegundua kwamba Mbowe anamuwekea mtego ili kumuonyesha kwamba aina ya siasa anazozitaka hazifanikiwagi, hasa Tanzania? Yaani anamuonyesha kwamba, si unataka siasa za maandamano...
Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku
Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo.
Upi utabiri wako wa mechi hiyo?
===========...
afcon
baada
bongo
goli
hamasa
hesabu
ivory coast
kamati
kichapo
kupiga
kutoka
kwanza
matapeli
morocco
mwarabu
pesa
tanzania
tayari
uzalendo
video
vidole
vipi
watanzania
zake
zao
Ukweli lazima usemwe na ukweli humuweka mtu huru.
Kocha wa taifa stars anajua uwezo wa wachezaji wa taifa stars, hivyo ameamua kusema ukweli...."kwamba kwa kikosi hiki, taifa stars haitoboi. Hivyo tumekuja kutalii na kuwapa changamoto wachezaji kwa manufaa ya baadaye".
Tujifunze kuwa wakweli...
Mahmoud El-Gohary na Stephen Keshi ndio watu pekee ambao waliwahi kutwaa ubingwa wa AFCON wakiwa kama Wachezaji, pia kwakuwa kama Makocha.
Mahmoud El-Gohary yeye alitwaa ubingwa kama mchezaji mwaka 1959, pia akatwaa kama kocha mwaka 1998, Mara zote mbili akiwa na timu ya taifa ya Misri...
Mechi chache zimepigwa, lakini kiukweli waliodhaniwa watatamba hali ni mbaya .
Misri tia maji tia maji huku Ghana ikiwa ulimi nje , mpaka sasa Ball Possession Ghana 30 % na wako nyuma kwa bao 1 , Cape Verde 70% ni dk ya 30 .
Ngoja tusubiri yatakayojiri .
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inaanza leo Januari 13 ambapo Wenyeji #IvoryCoast watamenyana na #GuineaBissau kwenye Uwanja wa Alassane Ouattara mjini Abidjan.
#Tanzania inayoshiriki Michuano hiyo ikiwa katika Kundi F pamoja na #DRCongo, #Morocco na #Zambia itatupa Karata yake...
Sandaland ndio inayoivalisha timu ya taifa. Wachezaji wetu ni vijana wenye akili timamu wanajua ni Brands zipi duniani zinatengeneza jezi Bora (prestigeous) na zipi zinatengeneza jezi hafifu (inferior) sokoni. Inafahamika kuwa Nike, Puma, adidas, umbro, nk ni kampuni bora kwa vifaa na jezi. Sisi...
Kuna barua mtandaoni inatembea ya kampuni ya Multichoice (DStv) kuhusu kutokuonyesha matangazo ya michuano ya Afcon mwaka huu ambayo itafanyika huko Ivory Coast baada ya kukosa haki za matangazo.
Kwa upande wa pili, AzamTv wametangaza kuonyesha mubashara mechi zote za Afcon yaani mwanzo mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.