Ni ngumu sana kupenya kwenye vikosi vya timu za taifa kwenda kucheza michuano mikubwa barani afrika, ubora pekee wa mchezaji husika ndio umpelekea kocha kumjumuisha mchezaji kwenye kikosi chake Cha mapambano!
Kwa Tanzania ni klabu moja pekee iliyofanikiwa kupeleka wachezaji wengi kwenye timu za...
Sasa ni rasmi goli la Pacome Zouzoua dhidi ya Al Ahly limechaguliwa kuwa goli bora la Juma (week) la Total Energies CAF Champions League.
Sasa nimeelewa kwanini jezi ya Yanga imetumika kwenye video ya wimbo rasmi wa AFCON 2023 badala ya jezi za Taifa Stars.
Yanga imekuwa maarufu Sana viunga...
USHAURI TU
Nimeeona leo vijana wa Karume Boys wa un 15 waliyotoboa uganda na kutwaa ubingwa
Ukiacha kucheza kwa jihadi vijana walikuwa wakisikiaaa karumeee wengine wanaaita boys wakawa kama wehu uwanjani uganda waliona hii vita isiwe taabu twende matuta
Matutaa Karume Boys mabingwa congs sana...
Mawaziri wa Michezo wa Tanzania, Kenya na Uganda wamekutana na timu ya wataalamu kutoka nchi hizo kuweka mikakati ya pamoja kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2027, leo Novemba 7, 2023 Mjini Mombasa nchini Kenya
Kwa upande wa Tanzania kikao hicho kimehudhuriwa na...
Majirani zetu Wakenya na Waganda kupitia mitandao ya kijamii wapongeza namna Tanzania ilivyoandaa sherehe za ufunguzi wa African Football League na kushauri Tanzania ipewe sherehe za ufunguzi na mechi ya fainali katika mashindano ya Afcon 2027 ambayo kwa pamoja itaandaliwa Tanzania, Kenya na Uganda.
Ogopa matapeli, Diamond Platnumz (shabiki damu wa Yanga)ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF aliimba kwenye AFCON Gabon 2017.
Tunaweka kumbukumbu sawa ili kuondoa upotoshaji wowote unaoweza kuja kufanyika.
Nimefikiri Kwa kina sana na kuona Tanzania inaweza kupata faida kadhaa kutokana na kuandaa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON):
1. Kukuza Uchumi wetu: Kuandaa AFCON kunaweza kusababisha kuongezeka kwa utalii, maendeleo ya miundombinu, na fursa za ajira, zinazoweza kuinua uchumi wa Tanzania even...
1. Morocco
2. DR Congo
3. Zambia
Kwanini?
Ni Timu ambazo zinacheza Mpira wa Kuvutia, wa Kisasa na kuna Vipaji vikubwa na Vingi.
Pia ni Timu ambazo Makocha wake hawafichi Vikosi vya Wachezaji wao kwa Wananchi ili Visijadiliwe na Visikosolewe na Wadau.
Lakini pia ni Timu ambazo hazitumiki na...
Ni Mwendawazimu ( Mentally Retarded ) na Mpumbavu ( dame Fool ) ndiyo ataamini na atathubutu kusema na kujipa Moyo kuwa Tanzania iliyoko Kundi F huko AFCON 2024 nchini Ivory Coast itaweza kufanya vyema mbele ya Wababe na Wazoefu tukuka wa Soka Afrika akina Morocco, Congo DR na Zambia.
Rais...
Wanamichezo kama mnavyofahamu leo ndo inafanzika droo ya upangaji wa makundi ya michuano ya AFCON karibuni tupeane update ya zoezi hilo.
---
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepangwa Kundi F katika Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) 2023 itakayofanyika Januari 13 hadi Februari 11, 2024...
Naishauri serikali ijenge viwanja hivi haraka iwezekanavyo, kwa ajili ya kugombania michezo ya AFCON 2027. Kenya wanajenga viwanja vyao vizuri sana na kuna uwezekano michezo mingi ikachezwa kule kama hatutachangamka. Dodoma wajenge uwanja hata wa watu 30,000 tu, na Arusha 30,000. tukimaliza...
Pongezi kwenu JWTZ kuwa na maeneo mengi makubwa hapa Tanzania.
Maeneo mengi yapo strategically kama mtayatumia kama fursa ya kukuza uchumi wa Jeshi letu la wananchi.
Pale Nyegezi kona katikati ya jiji la Mwanza mna kiwanja local ambacho huwa mashindano mbalimbali ya michezo huwa yanafanyika...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema haikuwa kazi rahisi kwa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kushinda zabuni ya kuandaa Fainali za Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027).
Dkt. Ndumbaro amesema hayo Septemba 29, 2023 jijini Dar es Salaam...
TANZANIA TUJIANDAE KIMKAKATI UWENYEJI WA AFCON 2027.
Tarehe 27 Septemba 2023 Shirikisho la Mpira Barani Afrika CAF katika kikao chake kilichoketi Nchini Misri ,wamezitangaza nchi za Afrika mashariki Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji wa mashindano ya Mataifa ya Afrka ya Mpira wa Miguu...
Halafu GENTAMYCINE nikiwa Kutwa naidharau Media ya Tanzania mnaona nakosea au siijui jinsi ilivyo rotten Professionally.
Hivi kweli kama tayari nchi Tatu za Uganda, Kenya na Tanzania zimefanikiwa kwa pamoja kuandaa Mashindano ya AFCON ya mwaka 2027 kuna haja logically media ya Tanzania kuhoji...
Kenya Uganda na Tanzania zimepewa nafasi ya kuandaa kwa pamoja fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2027 baada ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) kutangaza kuwa ombi lao pa pamoja limeshinda dhidi ya maombi ya Algeria, Misri na Botswana ambazo nazo ziliomba.
Kwa kawaida utaratibu...
Zaweza kuwa ni nchi zitakazofanikisha sana mashindano haya. CAF wasione haya wayalete tu huku kwenye mzuka wa mpira. Ufunguzi iwe Tanzania na ufungaji pia iwe Tanzania.
Dua zenu tafadhari.
=====
Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya...
Mengi yanasemwa kuhusu matokeo ya mechi ya Tanzania vs Algeria iliyoisha kwa suluhu na kuipeleka Tanzania AFCON 2023 huku Uganda ikikosa nafasi hiyo. Nimechukua kama lisaa kufuatilia nini kinasemwa huko nje na nakileta kwenu muone jinsi wanavyotuchafua na kutuona kama hatukuwa na uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.