Tamasha la mkesha wa uzinduzi AFCON: Nimefurahi hakuna Msanii hata mmoja kutoka Tanzania

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,452
Reaction score
10,059
AFCON Kick Off Concert, ni tamasha la kuelekea mkesha wa Ufunguzi wa AFCON ambapo limepangwa kufanyika Jumamosi hii kuanzia Saa 12:00 Jioni mpaka Saa 6:00 Usiku huko Morocco

Wasanii rasmi ambao wamealikwa kupafomu tamasha hilo wapo, French Montana, Davido, Says Z, Douaa Lahyaoui na Lartiste.

Habari njema kwetu, ni kuwa hakuna Msanii kutoka Tanzania hata mmoja atakayetumbuiza kwenye tamasha hilo.

Huu ni ushindi mkubwa kwetu. Ukiguswa na thread hii sio mbaya ukabofya like kama ishara ya ushindi.

Ikumbukwe AFCON inaanza jumapili hii kwa mwenyeji Morocco kucheza na Comoro.
IMG_8770.jpeg
 
Wasanii wa bongo matamasha yao kwenye halaiki ya watu yataishia kwenye kampeni za CCM tu.

Stage kubwa kma Afcon wasahau kabisa, maana sasa hivi muziki wao unaenda kufa kabisa kimataifa, nyimbo zao zitasikilizwa kwenye bar tu tena zile ambazo zinamilikiwa na makada wa ccm.
 
AFCON Kick Off Concert, ni tamasha la kuelekea mkesha wa Ufunguzi wa AFCON ambapo limepangwa kufanyika Jumamosi hii kuanzia Saa 12:00 Jioni mpaka Saa 6:00 Usiku huko Morocco

Wasanii rasmi ambao wamealikwa kupafomu tamasha hilo wapo, French Montana, Davido, Says Z, Douaa Lahyaoui na Lartiste.

Habari njema kwetu, ni kuwa hakuna Msanii kutoka Tanzania hata mmoja atakayetumbuiza kwenye tamasha hilo.

Huu ni ushindi mkubwa kwetu. Ukiguswa na thread hii sio mbaya ukabofya like kama ishara ya ushindi.

Ikumbukwe AFCON inaanza jumapili hii kwa mwenyeji Morocco kucheza na Comoro.View attachment 3517407
Habari njema kwetu, ni kuwa hakuna Msanii kutoka Tanzania hata mmoja atakayetumbuiza kwenye tamasha hilo.💪🏿✌🏿😎
 
AFCON Kick Off Concert, ni tamasha la kuelekea mkesha wa Ufunguzi wa AFCON ambapo limepangwa kufanyika Jumamosi hii kuanzia Saa 12:00 Jioni mpaka Saa 6:00 Usiku huko Morocco

Wasanii rasmi ambao wamealikwa kupafomu tamasha hilo wapo, French Montana, Davido, Says Z, Douaa Lahyaoui na Lartiste.

Habari njema kwetu, ni kuwa hakuna Msanii kutoka Tanzania hata mmoja atakayetumbuiza kwenye tamasha hilo.

Huu ni ushindi mkubwa kwetu. Ukiguswa na thread hii sio mbaya ukabofya like kama ishara ya ushindi.

Ikumbukwe AFCON inaanza jumapili hii kwa mwenyeji Morocco kucheza na Comoro.View attachment 3517407
Good
 
Vitu vingine sio chuki au roho mbaya.Hivi kweli ulitegemea kuwaona pale?.Kuna watu wanasema sijui chuki au roho za kimaskini lakini ukweli ni kwamba namba nzuri ya wasanii wetu bado wana safari ndefu ya kuji-establish nje ya hii mipaka.Wana kelele wakiwa ndani lakini nje ya East Africa hawana ubora huo.
 
AFCON Kick Off Concert, ni tamasha la kuelekea mkesha wa Ufunguzi wa AFCON ambapo limepangwa kufanyika Jumamosi hii kuanzia Saa 12:00 Jioni mpaka Saa 6:00 Usiku huko Morocco

Wasanii rasmi ambao wamealikwa kupafomu tamasha hilo wapo, French Montana, Davido, Says Z, Douaa Lahyaoui na Lartiste.

Habari njema kwetu, ni kuwa hakuna Msanii kutoka Tanzania hata mmoja atakayetumbuiza kwenye tamasha hilo.

Huu ni ushindi mkubwa kwetu. Ukiguswa na thread hii sio mbaya ukabofya like kama ishara ya ushindi.

Ikumbukwe AFCON inaanza jumapili hii kwa mwenyeji Morocco kucheza na Comoro.View attachment 3517407
 
Hata kama wangeitwa wangeenda kuimba Nini!?,Au mnadhani Maofisa wa CAF hawajui waimbaji?

Yaani umuache msanii kama Davido ukachukue Domo kama Bakuli Diamond?

Teh teh teh teh teh teh teh teh!

AHSANTE CAF
 
Wasanii wa bongo matamasha yao kwenye halaiki ya watu yataishia kwenye kampeni za CCM tu.

Stage kubwa kma Afcon wasahau kabisa, maana sasa hivi muziki wao unaenda kufa kabisa kimataifa, nyimbo zao zitasikilizwa kwenye bar tu tena zile ambazo zinamilikiwa na makada wa ccm.
Watapafom 2027 na utatema mate kama mjamzito
 
Back
Top Bottom