Tamasha la mkesha wa uzinduzi AFCON: Nimefurahi hakuna Msanii hata mmoja kutoka Tanzania

Tamasha la mkesha wa uzinduzi AFCON: Nimefurahi hakuna Msanii hata mmoja kutoka Tanzania

Chuki tu,

Mi nikajua utaomba Ney wamitego awepo pale, au hata yeye mwenyewe hajawahi kuota hii.

tuache chuki, mziki mzuri utapendwa tu, na usipoimba mziki mzuri hata uwe sapoted na marais au Lisu utachukiwa tu.
 
Acha kujipa umihimu, ujue nini wewe ngumbaru
 
Hawa wasanii wetu hapa bongo huwa tunawapaisha tu ila kimataifa bado sana, hata huko Afcon huwa wanapewa nafasi kwa sababu za Simba na Yanga na support ya wabongo tu mitandaoni.
Ukweli mchungu sana huu kuukubali
 
AFCON Kick Off Concert, ni tamasha la kuelekea mkesha wa Ufunguzi wa AFCON ambapo limepangwa kufanyika Jumamosi hii kuanzia Saa 12:00 Jioni mpaka Saa 6:00 Usiku huko Morocco

Wasanii rasmi ambao wamealikwa kupafomu tamasha hilo wapo, French Montana, Davido, Says Z, Douaa Lahyaoui na Lartiste.

Habari njema kwetu, ni kuwa hakuna Msanii kutoka Tanzania hata mmoja atakayetumbuiza kwenye tamasha hilo.

Huu ni ushindi mkubwa kwetu. Ukiguswa na thread hii sio mbaya ukabofya like kama ishara ya ushindi.

Ikumbukwe AFCON inaanza jumapili hii kwa mwenyeji Morocco kucheza na Comoro.View attachment 3517407
Rabaika kwanini lakini
 
Back
Top Bottom