Tamasha la mkesha wa uzinduzi AFCON: Nimefurahi hakuna Msanii hata mmoja kutoka Tanzania

Tamasha la mkesha wa uzinduzi AFCON: Nimefurahi hakuna Msanii hata mmoja kutoka Tanzania

Na hizo bar za makada zikijulikana pia kwisha habari yao, wateja wao watakuwa makada wenzao pekee
Kabisa na makada wenyewe ni wale daraja la mwisho kabisa hawa akina Lucas Mwashambwa ambao wana hela ya kununua maji tu, maana makada mafisadi ambao ndio wana hela hawajichanganyagi kwenye bar za uchochoroni hizi.
 
Back
Top Bottom