DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,315
- 2,742
Nawaombea sana ndugu zangu waislamu wa Afrika ya kaskazini mmoja aibuke na ushindi/kombe.
Morocco
Algeria
Egypt
Tunisia
Sudan
Senegal
Especially hao wa juu mmoja aibuke mshindi na wawakate midomo haters, maana kuna watu weusi hawawapendi waarabu, mara utasikia wanabebwa, mara wanajiangusha, mara wanapoteza muda, mara wanapewa penati.
Ukitaka kujua mwarabu hapendwi basi siku zikikutana Morocco na moja ya timu ya weusi au timu ya ulaya, kuna ambao baadhi wanambetia Morocco 🇲🇦 lakini moyoni wapo na weusi wenzao.
Mfano mwingine, wapo radhi kuishabikia ufaransa na kuitosa Morocco, Algeria au egypt kwakua ni waarabu, na wale ni wazungu mchanganyiko na weusi
In short hamkosi sababu kwao, na hii yote ni sababu ya UARABU/UISLAM WAO.
Msianze kusema ooh mimi ni mdini hapana, Nawachana LIVE mnaowachukia hawa ndugu zetu, japo kuna waislamu pia wapo wanaowachukia waarabu, nataka niwaambie tu Allah ametutaka tupendane na sio kuchukiana, na tusipende kufuata mkumbo wa upande wa pili, akimchukia ndugu yako basi nawe unamfuata na kuwa pamoja nao.
Mimi kama muislamu, Al hamdu liLlah sina chuki nao, na uislamu umekataza kuchukiana japo kuna WAISLAMU JINA sidhani kama watanielewa, ila ujumbe umewafikia, habari ndio hiyo. so nipo upande wa ndugu zetu wa KASKAZINI MWA AFRIKA.
Morocco 🇲🇦🇲🇦🇲🇦💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
Kwa mara nyingine narudia tupendane, na tusichukiane.
Mwisho Mpira ni haram.