Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Afrika kivyetu vyetu.
Huko Cameroon kuna vituko vinaendelea kwa timu yao ya taifa.
Kocha wa timu hiyo Marc Bris, aliyefukuzwa kazi na Samuel Etoo amegoma kuachia ngazi baada ya kusikika akisema kuwa yeye ameajiriwa na Wizara ya Michezo ya Cameroon na sio Etoo.
Akaenda mbali zaidi akatangaza majina yake ya AFCON.
Wakati hayo yakiendelea, Etoo kama Rais wa Shirikisho la Soka huko Cameroon, naye akatangaza kikosi chake cha AFCON chini ya kocha mpya David Pogou.
Kwahyo hali iliyopo kwasasa kuna vikosi viwili tofauti vya AFCON kwa Cameroon.
Eto’o ambaye alicheza vilabu vikubwa enzi zake kama Barcelona amekosa kabisa weledi.
Hiyo ndio Timu ya Taifa ya Cameroon