Vituko AFCON: Timu ya Cameroon yaita vikosi viwili tofauti, kimoja cha kocha aliyetimuliwa, kingine kaita Etoo kama Rais wa Shirikisho

Vituko AFCON: Timu ya Cameroon yaita vikosi viwili tofauti, kimoja cha kocha aliyetimuliwa, kingine kaita Etoo kama Rais wa Shirikisho

Etoo ni tafsiri halisi ya Ngozi nyeusi iliyoishi ulaya na aikujifunza chochote kwenye uendeshaji wa mpira

Hakuna tofaiti ya watu ya mwanasiasa na mtu wa mpira kuuongoza mpira
Etoo anafanya mambo kipuuzi kabisa ni aibu kwa hadhi yake kufanya vile
 
Etoo kakosa nn arudizake ulaya kuliko kujifedhehesha shule nimuhimu sana kosa vyote
 
Huyu Etoo ingekua bongo wizara ya michezo akina Msigwa pamoja na Ccm yao wasingemwacha.. Tungeamka tu asubuhi clip za damu mitandaoni ile design ya akina Mdude na Polepole.
Na FIFA isingewaacha
 
Cameroon kuna ugomvi wa ki mamlaka ya mpira baina ya wizara ya michezo na Shirikisho la mpira

Yani kwa Tz kuwe na mgongano kati ya wizara ya michezo na TFF ndio kinacho endelea Cameroon
Kwanini iwe Afrika tu?! kila baya na la maajabu Afrika, utawala mbovu Afrika, siasa mbovu Afrika, majanga ya njaa Afrika, wasomi makanjanja Afrika, Etoo angeyamaliza haya kwa kukaa pembeni abakie na heshima yake na kujikita kwenye kuzalisha wakina Etoo wa baadae.
 
Sijaona huko kukosa weledi kwa etoo. Maana kama kocha amegona kusikiliza maamuzi ya taasis inayoendesha mpira Sasa hapo etoo anakosaje weledi. Na umesema Kuna kocha mpya.
Majukumu ya kuita wachezaji timu ya taifa ni ya nani?

Ukipata jibu utaelewa maana ya kukosa weledi.
 
Engineer Hersi anahitajika sana Cameroun kuokoa jahazi
 
Kwanini iwe Afrika tu?! kila baya na la maajabu Afrika, utawala mbovu Afrika, siasa mbovu Afrika, majanga ya njaa Afrika, wasomi makanjanja Afrika, Etoo angeyamaliza haya kwa kukaa pembeni abakie na heshima yake na kujikita kwenye kuzalisha wakina Etoo wa baadae.
Afrika ina laana
 
Etoo ni mjuaji, hili ndio linawacost waafrika wengi. Wanaopata nafasi za maamuzi wengi ni wajuaji, kama Karia.. hawaambiliki wao ndio Kila kitu, inawezekana vipi ???
 
Back
Top Bottom