afcon

The CAF Africa Cup of Nations, officially CAN (French: Coupe d'Afrique des Nations), also referred to as AFCON, or Total Africa Cup of Nations after its headline sponsor, is the main international men's association football competition in Africa. It is sanctioned by the Confederation of African Football (CAF) and was first held in 1957. Since 1968 it has been held every two years, switching to odd-numbered years in 2013.
In the first edition in 1957 there were only three participating nations: Egypt, Sudan and Ethiopia. South Africa was originally scheduled to compete, but was disqualified due to the apartheid policies of the government then in power. Since then the tournament has grown greatly, making it necessary to hold a qualifying tournament. The number of participants in the final tournament reached 16 in 1998 (16 teams were to compete in 1996 but Nigeria withdrew, reducing the field to 15, and the same happened with Togo's withdrawal in 2010), and until 2017, the format had been unchanged, with the sixteen teams being drawn into four groups of four teams each, with the top two teams of each group advancing to a "knock-out" stage. On 20 July 2017, the Africa Cup of Nations was moved from January to June and expanded from 16 to 24 teams.Egypt is the most successful nation in the cup's history, winning the tournament a record of seven times (including when Egypt was known as the United Arab Republic between 1958 and 1961). Three different trophies have been awarded during the tournament's history, with Ghana and Cameroon winning the first two versions to keep after each of them won a tournament three times. The current trophy was first awarded in 2002 and with Egypt winning it indefinitely after winning their unprecedented third consecutive title in 2010.
In 2013, the tournament format was switched to being held in odd-numbered years so as not to clash with the FIFA World Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi iliyofuzu AFCON 2024 Jana nchini Algeria ni Taifa Stars au Rais Samia?

    Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba ( 7 ) hadi Kumi ( 10 ) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan? Leo GENTAMYCINE nawachana Live ( Mubashara ) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
  2. Hivi iliyofuzu AFCON 2024 Jana nchini Algeria ni Taifa Stars au Rais Samia?

    Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba (7) hadi Kumi (10) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan? Leo GENTAMYCINE nawachana Live (Mubashara) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
  3. Taifa Stars mmejua kutudhalilisha sisi Wachambuzi

    Kumbe Ng'ombe wa maskini hazai. Makala ndeefu tulizoandaa kuweka magazetini na mitandaoni tumelazimika Kuzifuta kimyakimya. Mpaka Sasa wengi tuko vitandani hatujaamka tunahisi tukitoka nje tunaonana na Kibu Denis akiwa kashikana mkono na Dickson Job wakituukiza "Mlisema hatufiki mbali hapa ni...
  4. Uganda ingefuzu AFCON 2024 ingeiwakilisha vyema EAC kuliko Tanzania inayoenda Kutia Aibu tu huko

    Na hapa wala tusidanganyane Lengo la Watanzania wengi lilikuwa ni Kucheza tu AFCON 2024 huko Ivory Coast ila Mioyoni mwao wanajua na wanakubali kuwa inaenda kuwa Kapu la Magoli kwa Timu ambazo itapangwa nazo Kundi Moja na Kutia Aibu. Kwa Mfumo wa Soka la Uganda, Vipaji vilivyopo na Commitment...
  5. Kufuzu kwa Taifa Stars AFCON ni Unabii mwingine wa Ushindi wa Rais Samia Mwaka 2025

    Nawakumbusha tuu ni katika Uongozi wa Rais Samia ndio Taifa hilimlimepata mafanikio makubwa sana kwenye sekta zote kuanzia uchumi na Biashara, Huduma za jamii Hadi Michezo. Hivi ndivyo Rais Samia atapeta na kupenya licha kuzushiwa chuki, Ubaguzi na upuuzi mwingine na Chadema. Kufuzu Kwa Taifa...
  6. Hata tukifuzu kwa mazingaombwe hatuna timu ya kupeleka AFCON 2023

    AFCON inatarajiwa kuanza huko Ivory Coast chini ya miezi 4 kutoka sasa. Unaenda kutafuta mechi ya ushindi lakini mategemeo yako ni kina Boko ambao hawajacheza mechi ya ushindani kitambo sana maana tayari wameonekana ni liability katika timu pamoja na kwamba kuna viongozi pale Simba wanamkingia...
  7. FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

    Algeria vinara wa Kundi F katika kufuzu kwajili ya AFCON watawaalika Tanzania (Taifa Stars) katika mchezo utakaofanyika katika dimba la Annaba huko Algeria. Taifa Stars yenye alama 7 inahitaji ushindi au sare ya aina yoyote ili iweze kufuzu huku Algeria ikikamilisha ratiba ikiwa na alama zake...
  8. Najua leo Taifa Stars inafuzu AFCON, ila ingefungwa na kutofuzu ningekuwa ni mwenye furaha kubwa

    Kwangu mimi Taifa Stars isiyo na Wachezaji wangu ninaowakubali akina Kapombe, Tshabalala, Feitoto, Kipa Kinda Ali Salim na yenye Wachezaji wabovu akina Mkude, Boko (Mfalme wa Miba Tanzania ) Mzize na Himid Mao Mkami ni batili. Hongereni Taifa Stars kwa kufuzu tena AFCON, ila binafsi kama...
  9. Uwanja wa Amaan Zanzibar wakaguliwa maandalizi ya AFCON 2027

    Timu ya Wakaguzi ya utayari wa nchi za Kenya Uganda na Tanzania kuhusu utayari wao wa kuwa wenyeji AFCON 2027, leo hii Julai 31, 2023 wapo Zanzibar ambapo wamekagua Uwanja wa Amaan, hospitali ya Mnazi Moja, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume pamoja na viwanja vingine vya mazoezi...
  10. FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

    Leo majira ya saa 10 alasiri Taifa stars itachuana na Niger katika mchezo wa kufuzu Afcon 2024. Tutakuwa mubashara kupitia uzi huu
  11. Kikosi cha Timu ya Taifa kufuzu AFCON Chatangazwa

    Chama cha soka nchini Tanzania kimeachia majina rasmi ya wachezaji wa Tanzania ambao watashiriki kwenye mechi za kuwania ushiriki wa mashindano ya AFCON 2023 dhidi ya Niger.
  12. Rais Samia Suluhu apokea andiko la ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa Mwenyeji wa AFCON 2027

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amepokea andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027, kutoka kwa Rais wa TFF Wallace Karia pamoja na Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Mei...
  13. Tanzania kuruhusiwa kuandaa AfCON?

    Vigezo hivi hapa
  14. Tanzania, Kenya, Uganda zaomba kuandaa AFCON 2027 kwa ushirikiano

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepokea maombi kutoka nchi sita zinazowania uenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 ikiwemo Tanzania. Jumla ya waombaji sita wamefanikiwa kuwasilisha maombi yao ambao ni Algeria, Botswana na Misri huku Kenya, Uganda na Tanzania...
  15. AFCON ndiyo ingepaswa kuwa African Super League

    Huwa nina mawazo wakati mwingine nakaa nayo muda mrefu hadi wakati sahihi wa kuyatoa. Niwie radhi kwa uzi mrefu kidogo. Katika miaka ambayo nimeangalia performances za timu za Africa katika Kombe la Dunia, nimekuwa najiuliza swali moja. Ingekuwaje timu za Afrika zingeunda mfumo wake wa kupata...
  16. Naliulizia beki la CHAN Mamadou, sio kwa ubaya lakini

    KLABU ya Yanga SC ilimsajili na kumtambulisha beki wa kati, Mamadou Doumbia (27) kutoka Stade Malien ya Mali. Hili lilikuwa beki la CHAN na majina mengine kibao. Baada ya hapo hata bench hakuonekana. Liko wapi beki la CHAN
  17. FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

    Majira ya Saa 2:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki, Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itashuka dimbani Benjamin Mkapa kuwaalika Uganda (The Cranes) katika mchezo wa nne wa kundi F kuelekea kufuzu Afcon mwaka 2023.. Taifa Stars yenye point 4 iliyopo nafasi ya pili nyuma ya vinara...
  18. Clatous Chama awa target ya kuchezewa rafu nyingi huko AFCON

    Sikupata wasaa wa kuangalia game ya marudiano ya Zambia vs Lesotho katika mashindano ya kutafuta kufuzu AFCON. Katika mechi hiyo Zambia walishinda 2-0. Katika mechi hiyo, kiungo wa Simba, Clatous Chama aliingia kipindi cha pili dakika ya 80 na kucheza kwa takribani dakika 10+. Takwimu...
  19. Rais Samia kununua kwa milioni 10 kila goli la Taifa Stars kufuzu AFCON

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila goli ambalo Taifa Stars itafunga katika michuano ya kufuzu fainali ya michuano ya AFCON inayoendelea. Taarifa iliyotolewa leo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa imesema Rais Samia ameahidi kuanza kutoa...
  20. Taifa Stars leo anafungwa na haifuzu Afcon

    Tukutane baada ya mechi Sis Kama timu Uganda tumejipanga vyema kuhakikisha tunashinda hii mechi yetu. Viva Uganda Timu sio kabila una haki ya kushangilia kile unachokipenda KATAA UTUMWA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…