afrika

  1. Jason Derulo, Diamond, Chley na Khalil wauwasha moto kwenye jukwaa Afrika Kusini!

    Katika tamasha la kipekee la DSTV Delicious Festival, wasanii nyota Diamond Platnumz, Chley, na Khalil walipiga show ya kali, wakitumbuiza pamoja na Jason Derulo. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Derulo kupanda jukwaani na kuimba kolabo yao mpya, "Komasava" remix na mashabiki kuonesha vibe kubwa.
  2. Ulaya Wana NATO Afrika tuna nini?

    Wazungu wanayo NATO inayowalinda dhidi ya mataifa mengine, je, Afrika tunalindwa na nini dhidi ya mataifa mengine duniani. Bara liko tayari kutawaliwa Tena.
  3. L

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Aimiminia Sifa Na Pongezi Tanzania kwa Kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani...
  4. CULTURE YA NCHINI MAREKANI ILIVYOITEKA AFRIKA KUPITIA MUZIKI TOKA ENZI HIZO..

    OLD MEMORIES OF BLACK HIP HOP CULTURE & ELEMENT IN AFRICA... WAY BACK 🔙 1980 - 2005 ... Historia ya Muziki wa Rap / Hip hop Duniani 🌎 inatueleza kuwa Asili ya Muziki wa Rap ni 🌍 Afrika. Wasanii Kutoka Taifa la marekani wanaofanya muziki aina Rap .. wengi hupenda/ tunapenda kuwaita...
  5. Tanzania yaongoza kwa Usalama Mtandaoni Afrika Mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara

    Tanzania imeshika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki, Kusini na Kati kwa usalama wa mtandaoni, kwa mujibu wa Ripoti ya Kielezo cha Usalama wa Mtandao ya mwaka 2024 (GCI). Tanzania imepata alama ya asilimia 100 katika nguzo zote tano za usalama wa mtandaoni, ambazo ni: kisheria, kiteknolojia...
  6. Siasa ni dude kubwa linaloisumbua Tanzania, Afrika kwa ujumla.

    Siasa ni utamaduni wa kiutawala ambao kawaida jamii imekubaliana kutumia namna au njia fulani kujiongoza/kujitawala ,Mfumo wa demokrasia ni moja wapo ya njia ambazo jamii za kiafrika zimelazimishwa kuzitumia katika kujitawala. Utamaduni huu umekuwa kaa la moto kwa viongozi wa kiserikali kwani...
  7. Tangu lini Mbwa Masikini wa Afrika 'akimbwekea' Mbwa Tajiri wa Ulaya na Marekani wanatishika au hata kupepesuka tu?

    Halafu ukute huyo Mbwa mwenyewe wa Afrika hana hata Afya na hajui Kukabiliana na Adui ila kutwa Kujitutumua tu.
  8. Israel itawapa makaazi takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza. Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa; Tunduma INYALA YAWAYA MAKWENJE DARAJANI SHAMWENNGO IMEZU MWASHOMA ITEWE NYASHISHI NGUDU kIBOSHO Na maneo...
  9. Nchi za Magharibi zapotosha ukweli wa ushirikiano wa China na Afrika katika sekta ya maliasili

    Bibi Jacquie anaishi katika kijiji cha Mayeba kilichoko misituni kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ingawa kijiji hicho kiko karibu na migodi maarufu ya KFM na TFM, ambayo ina madini ya Shaba na Cobalti yenye thamani kubwa, lakini wanakijiji walikuwa wanaishi maisha magumu...
  10. Mambo matatu yanayoangusha nchi nyingi za Afrika

    1. Less talent are in high position(ikimaanisha watu wenye uwezo mdogo wa kuwaza mambo makubwa kwa ushirikiano ndo wameshikilia nafasi nyeti) 2. Those who contribute a little are given a higher reward( ikimaanisha watu wanafanya kidogo ila wanataka waonekane kuwa bila wao tusingefika kokote ila...
  11. Wanawali wa Kizulu vifua wazi kwenye runinga ya Afrika Kusini 2024!

    Silalamiki wala! After all, I am a man of culture 😉. Calling all other men of culture to congregate and appreciate nature’s magnificent creation. Kumbe katika jina la utamaduni ni sawa kuonyesha matiti ya wasichana huko Afrika Kusini. https://youtu.be/39m3Yq3jjD8?si=9brlOIxPSAG0g5iX
  12. Takwimu: Hii hapa klabu kubwa Afrika Masharii na kati (CECAFA)

    Yafuatayo ni mafanikio ya Al Hilal ya sudan kwenye CAF CHAMPIONS LEAGUE. Kama kuna mtu timu yake ina mafanikio zaidi ya haya basi alete hapa 1966 - Semi-finals 1987 - Finalist 1988 - Quarter-finals 1990 - Quarter-finals 1992 - Finalist 2007 - Semi-finals 2009 - Semi-finals 2011 - Semi-finals...
  13. Kikosi cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya CBE SA. Klabu Bingwa Afrika hiki hapa

    Yanga SC leo ipo uwanjani huko Nchini Ethopia kuchezo mchezo wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya CBE SA ya huko huko Ethopia. Mchezo huu utapigwa mishale ya saa 15:00 Alasiri Kikosi ambacho natarajia kukiona kikianza leo ni kama ifuatavyo -Dirra -Yao -Bakari Nondo -Job -Bacca -Aucho -Pacome -Aziz...
  14. Mara nyingi vita huwa ni mbinu ya kumrejesha nyuma adui yako

    Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya. Kawaida kila taasisi...
  15. Nchi za Afrika zimeipokea Demokrasia kwa hofu ya kuogopa kuumizwa kiuchumi na kisiasa. Demokrasia ni silaha ya kikoloni

    AFRO Centric view Ni mtazamo wa kupinga unyonyaji, ukatili na uharibifu wa tamaduni za kiafrika ambapo umetolewa na wanazuoni wengi akiwemo Water Rodney, Prof Lumumba na Mandela. Kimsingi hakuna jambo jema katika dunia kama kuitunza tamaduni, ikiwa hutafanikiwa kuilinda tamaduni yako maana...
  16. Nchi zinazoendelea hasa Afrika kwa wakati huu tuliopo hakuna ukosefu wa nafasi za kazi (ajira) tatizo lililopo ni serikali hazina pesa ya kuajiri

    Kwa hali ilivyo hasa katika sekta ya elimu, afya, ulinzi na TEHAMA kuna uhaba mkubwa sana wa mtumishi. Kwa nchi za Afrika hauwezi kusema kuna ukosefu wa ajira, hapana, changamoto iliyopo ni serikali hazina pesa ya kutosha kuajiri, baadhi ya sekta hasa nilizoorodhesa hapo juu kuna uhitaji mkubwa...
  17. Kwa 'Dua Shtakia Mungu' itakayosomwa Afrika Mashariki huenda kuna Chama Kikakosa Mgombea Urais wake katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
  18. L

    Hoja ya “China inamwaga pesa kwa Afrika” yanaonesha wivu wa nchi za magharibi

    Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika ulimalizika mjini Beijing wiki iliyopita, ambapo wakuu zaidi ya 50 wa nchi au serikali za Afrika walihudhuria mkutano huo, na kuonyesha kuwa nchi za Afrika zinaupa umuhimu mkubwa mkutano huo na matarajio makubwa ya kuendeleza...
  19. Hotuba ya Biteko, ufunguzi wa Jukwaa la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki na Uzinduzi wa Mfumo wa NEST

    HOTUBA YA MHE. DKT. DOTO BITEKO, NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI, AKIMWAKILISHA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA JUKWAA LA 16 LA UNUNUZI WA UMMA LA AFRIKA MASHARIKI NA UZINDUZI WA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA UNUNUZI WA UMMA (NEST), TAREHE 9 SEPTEMBA 2024...
  20. Mfumo wa vyama vingi ni mfumo uliofeli kwa Nchi za Afrika na haukuja kuisadia Afrika, Tuuboreshe kabla hali haijawa mbaya

    Mwalimu nyerere aliwahi sema kwamba Demokrasia inabidi iendane na sehemu husika akiwa na maana Nchi moja inaweza tofautiana na nchi nyingine mfumo wake wa Demokrasia. Marekani wana Demokrasia yao ,wameamua kuvipa nguvu vyama ili kusaidia vyombo vya usalama kufanya kazi yake au vetting kwa ajili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…