Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Aisha Madoga, amesema anajutia uamuzi wake wa kuondoka CHADEMA, akieleza kuwa chama hicho kilichangia kwa kiasi kikubwa kujenga safari yake ya kisiasa.
Akizungumza na Jambo TV jijini Dodoma, Madoga ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Bi. Aisha Madoga, amesema kuwa endapo atapewa ridhaa na wananchi, atahakikisha anashughulikia tatizo la ajira kwa vijana kwa kuongeza tija na thamani ya mazao, ikiwemo zao la zabibu.
Akizungumza katika mikutano...
Umasikini tulionao ni wakujitakia
------------
Mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chma cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Aisha Madoga, amesema chama chake kitalinda wafanyabiashara kwa kufuta kodi zisizo na msingi ndani ya siku 100 za kwanza kikipewa dhamana ya kuongoza...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa chama hicho na Mwenyekiti wa CHAUMMA Mkoa wa Dodoma, Aisha Madoga, amerejesha fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo hilo leo Agosti 27, 2025.
Madoga na wagombea...
Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Aisha Madoga, amepokea fomu ya kutia nia ya kuwania ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kwa tiketi ya chama hicho.
Madoga amekabidhiwa fomu hiyo na wanachama wa CHAUMMA nyumbani kwake jijini Dodoma Agosti 04, 2025
Akizungumza mara...
"Kurugenzi ya Viongozi wawakilishi kwa maana ya Wabunge, wajumbe wa Baraza la Uwakilishi na madiwani na Kamati kuu imemteua Bwana Kayumbo Kabutali ambaye yeye ni Msomi wa Chuo Kikuu na ni Daktari wa mifugo Mbobevu, mwanasiasa wa muda mrefu, amefanya siasa kwenye kabla ya Chaumma akiwa kwenye...
Wakati kmpeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zikiwa zinaendelea kurindima nchini na vyama vilivyosimamisha wagombea vikiendelea kuomba ridhaa kwa wananchi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Dodoma kupitia kwa Mwenyekiti wake, Aisha Madoga kimeendelea kunadi wagombea katika...