Daktari alimshauri Hamza kutokuugusa mwili huo sababu hilo ni tukio la Mauaji.
Tayari wapelelezi walikua hapo wakiongozwa na Agent Daudi Mbaga aliyekua kiongozi wa wapelelezi hao, pia gari ya wagonjwa ilikua tayari imefika hapo ikiwa na Madaktari ambao nao walipewa taarifa kuwa Mtu...