Ijumaa ya juzi niliamua nitoke kidogo angalau nikapate mbili tatu za baridi.
Nikiwa maeneo ya kujivinjari, huku napambana na mitungi yangu, mara akatokea lishangazi la makamo. Akaomba tukae naye pale mezani, kwa sababu nilikuwa mwenyewe nikamkubalia.
Akaagiza raundi, tukawa tunaendelea kunywa...