Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo,
Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun
=====
Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya...
Maafisa Waandamizi wa Usafirishaji wamepata ajali Kwa kugonga gari Aina ya Range Rover Kondoa, tuchukue tahadhari kuwalinda maafisa hawa muhimu Kwa Uchumi wetu.
Produza Abbah ameeleza kuhusu taarifa za kifo cha mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea jana Novemba 11, 2023 kwa gari lililokuwa limeibeba crew ya Msanii Chino kugongana uso kwa uso na Lori la mafuta.
Abbah anaeleza aliyefariki ni Nabeel, Kaka wa Dancer @poshboy_yd ambaye yeye...
Chief Nyerere amefariki katika ajali ya boda boda, alikuwa abiria kwenye boda boda usiku wa kuamkia leo Jumamosi.
Ajali imetokea jana, amefariki leo.
Amefariki hospitali baada ya juhudi za kuokoa maisha yake kushindikana.
Ajali imetokea Shinyanga ambako Chief alikuwa anafanya kazi.
Hii ni...
Taarifa iliyotolewa na mwenyekiti UVCCM wilaya ya Mbeya mjini amesema waliopata ajali wanendelea vizuri hospitali ya rufaa mbeya. Alikuwa akielekea katika ziara Chunya.
wakukurupuka1
Watu watatu wa familia moja wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana mkoani Mtwara huku ikibanikia watatu hao ni familia moja waliokuwa wanakwenda kwenye maziko jijini Dar es Salaam.
Dereva aliyekuwa anaendesha gari iliyokuwa imebeba wanafamilia hao anadaiwa...
Habari zenu wana jf...leo nmependa kuja kitofauti kidogo, katika harakati za msoto hapa na pale nmeona wengi tunapitia changamoto nyingi mno lakini ukweli ni kwamba msaada wako ni WEWE MWENYEWE.
Katika safari ya maisha, tunakutana na changamoto za kila aina. Zipo nyakati tunazungukwa na giza...
Watu 32 wamefariki na wengine 63 kujeruhiwa leo, katika ajali iliyohusisha basi la abiria na magari kadhaa kugongana na baadhi kuwaka moto katika mkoa wa Beheira nchini Misri kwenye barabara ya Cairo-Alexandria, kilomita 131 kaskazini mwa mji mkuu Cairo.
Ripoti zianaeleza wengi waliofariki vifo...
Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari.
Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya...
Mimi sio mwenyeji sana wamabasi ya abiria.
Ninaomba kuuliza! Je kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78?
Je, basi hilo lilitokea mwanza je lilikaguliwa popote na polisi njiani?
Je, orodha ya waliofariki majina yao yako wapi?
Je, majina ya majeruhi 60 yako wapi?
RPC Tabora, OCD Nzega na...
Inafikirisha sana kusikia kila leo kumetokea ajali na vifo vya abiria vikiwa vingi sana hadi unajiuliza, je serikali inashirikiana na madereza pamoja na wamiliki wa mabasi kutengeneza ajali?
Je, mabasi haya kabla ya kusafiri/kuanza safari zinakaguliwa na chombo gani na kuruhusu waendelee na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kufuatia vifo vya watu 18 vilivyotokea katika ajali ya gari.
Ajali hiyo imetokea leo saa 5 asubuhi katika kata ya Uchama, tarafa ya Nyasa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uchunguzi wa kamati aliyoiunda umebaini moto uliotokea eneo la Mnadani, Kariakoo jijini Dar es Salaam sio ajali bali ni hujuma ndani ya wafanyabiashara wenyewe.
Baadhi ya kamera za CCTV zimebainisha haya ambapo wafanyabiashara wa awali...
Treni iliyokuwa ikitokea Kigoma kuelekea jijini Dar es Salaam imepata ajali mita chache kutokea stesheni ya mkoa wa Kigoma ambapo mabehewa matatu kati ya 14 yaliyokuwa yamebeba abiria yameacha njia katika eneo Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma.
Ilikuwa ni majira ya saa tatu...
Ajali za barabarani zimekuwa zikileta kilio kwenye familia zetu nyingi hapa Tanzania na kupoteza wapendwa wetu wengi.
Huu mwaka tuu nimepoteza marafiki na ndugu watatu kwa ajali tuu za barabarani na wote wameacha watoto na familia zinazowaangalia. Hii ni kwangu na ninajua kwa wastani wa nchi...
Kuna ajali mbaya imetokea Tunduma mkoani Songwe, ambapo watu watano hadi sasa wamepoteza Maisha.
Ajali imetokea maeneo ya Sogea kwenye mteremko wa Mlima Chengura.
Taarifa za awali zinadai Kati ya Watu waliopoteza maisha, Watatu ni Familia moja ambao ni Mama na watoto wake wawili mapacha...
Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe.
Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa...
Umoja wa Mataifa kupitia Shirika la Afya Duniani (WHO) umeeleza kuwa Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanachangia vifo vya watu Milioni 41 kila Mwaka Duniani sawa na 74% ya vifo Ulimwenguni.
Hayo yamebainishwa katika Kongamano la Mabalozi wa Usalama Barabarani lililofanyika kwenye Ukumbi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.