Wenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo.
Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail).
Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo...
Wakuu kwema? Niende moja kwa moja kwenye mada.
Barabara hii mbali na kuwa ni kero kwa watembea kwa miguu lakini pia ni hatari sana kwa usalama wao.
Kwanza hakuna njia kwaajili ya watembea kwa miguu, halafu maajabu ni kwamba kuna vivuko kwaajili ya watembea kwa miguu. Sasa unaweka vivuko...
Kwa habari zilizotufikia ni kuwa gari ya usafirishaji abiria ya kampuni ya Shabiby Line, imegonga lori la kontena kwa nyuma na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Arusha TPF-Net katika kuelekea siku ya wanawake Duniani, leo Machi 7, 2024 wamefanya ibada maalumu kwa ajili ya kuwaombea Askari Polisi wanandoa (Konstebo Noah Simfukwe na Agness Martin) waliofariki Dunia kwa ajali ya gari siku mbili baada ya kufunga ndoa...
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imethibitisha kisa cha kugongana kwa ndege ya abiria ya kampuni ya Safarilink na ndege ya mazoezi.
Uchunguzi umeanza kubaini chanzo cha ajili hiyo.
‘’Uchunguzi umeanza kupitia mashirika mbalimbali ukiongozwa na Idara ya Uchunguzi wa Ajali za Anga na...
Sina mambo mengi
Hali ni ngumu, kila siku unasikia misiba huku na kule.
Nazungumzia hii misiba ya bodaboda, serikali iko kimya kama hamna kinachoendelea.
Je, serikali haina taarifa ya misiba hii ya bodaboda au haijali kwakuwa wahanga ni familia maskini?
Kwa watu wanaosafiri kwa magari mara kwa mara watakubaliana na mimi kuwa, madereva wa Malori ni kati ya madereva walio iva kimafunzo pengine kuliko kundi lingine lolote barabarani.
Huwa wapo makini, waangalifu, na hawafanyi maamuzi ya hovyo hovyo kama hawa wengine wanao tusafirisha.
TATIZO...
Bado nazidi kukazia maneno ya nabii lema kuhusu hawa bodaboda.
Sijui wanachuki gani na wenye magari wawe wamekosea au wajakosea wao ujiona ni watu special sana.
wamechoma bus la saibaba huko tanga.
Hii nimoja ya bodaboda kufanya matukio haya hata kusababisha mauaji kama ikitokea ajali inayohusu...
February 5, 2020
Kilosa, Tanzania
Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha
Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia...
Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure
Dkt Godwin Mollel amesema hayo leo Februari, 25, 2024 alipowajulia hali majeruhi wa ajali hiyo iliyohusisha magari manne...
Chadema Tanzania , kimekuwa Chama cha kwanza cha Kisiasa nchini Tanzania kutoa salamu za Rambirambi kwa waliopata ajali huko Ngaramtoni , Arusha .
Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba Watu 25 wamefariki , huku kukiwa na majeruhi kadhaa
Watu 15 wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari kubwa aina ya Scania kufeli breki na kwenda kuparamia magari mengine katika eneo la Kibaoni Ngaramtoni Wilayani Arumeru Mkoani Arusha.
Ombeni Kirusha ambaye ni Shuhuda wa tukio hilo amesema “Kilichotokea ni ajali, nilikuwa na gari...
Hili ni moja kati ya matukio mengi ya ajali zinazowakumba madereva Bodaboda kwenye majukumu yao ya kila siku.
Unahisi ni nani wa kulaumiwa kwenye hili tukio?
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amewasihi Watanzania kuwa na desturi ya kuzungumza mazuri ya mtu akiwa bado yupo hai badala ya kusubiri afariki.
Makonda ameyasema hayo kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na kueleza kuwa baadhi ya watu hawakuwahi kwenda kumuona...
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba...
Rais wa zamani wa Chile, Sebastián Piñera aliyehudumu kwa mihula miwili na Mfanyabiashara Bilionea, amefariki katika ajali ya helikopta akiwa na umri wa miaka 74.
Watu wengine watatu waliokuwa ndani ya ndege hiyo walinusurika ilipoanguka katika ziwa karibu na mji wa kusini wa Lago Ranco...
Dereva wa Gari lenye namba za usajili STL 8852 akiwa kwenye hali ya ulevi amesababisha ajali kwa kumgonga Dereva wa Pikipiki.
ANGALIA HAPA VIDEO
Nini maoni yako?
Written By Mjanja M1 ✍️
Salam wana jukwaa,
Una hii kero nimeipata siku nyingi ila sikuwa na msukumo wa kuileta humu mpaka ilipokutana na mtu wangu wa karibu, haya magari ya ndugu zetu wa tanesco yale ya emergency huwa hawajui ni muda gani waendeshe kana kwamba kuna dharula.
Hii inapelekea gari lile kuendeshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.