ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,030 Reaction score 61,298 Mar 18, 2025 #1 Tokea safari za usiku zishamiri naona kwa sasa ajali zimepungua.unadhani ni kwanini?
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,007 Mar 18, 2025 #2 Kipindi kile asubuhi gari zinatoka zote ulikuwa mwendo wa ligi tu Atakaye wahi kufika analipwa nyingi Watu walikuwa wanabet kabisa
Kipindi kile asubuhi gari zinatoka zote ulikuwa mwendo wa ligi tu Atakaye wahi kufika analipwa nyingi Watu walikuwa wanabet kabisa
Mnama Platinum Member Joined Oct 13, 2010 Posts 3,544 Reaction score 3,828 Mar 18, 2025 #3 Kuna kaukweli maana imepunguza msongamano wa mabasi kuondoka kwa pamoja asubuhi na ligi zisizo za lazima, kila basi linatembea na ratiba yake.
Kuna kaukweli maana imepunguza msongamano wa mabasi kuondoka kwa pamoja asubuhi na ligi zisizo za lazima, kila basi linatembea na ratiba yake.