Ajali Ya Basi la New Force lililokuwa linatoka Mbeya Kuja Dar ( Hakuna Kulala ) Maeneo ya Kidai B baada ya Kugongana na Lori na Gari Ndogo
Abiria wako Salama Kuna Majeruhi Wadogo Tu
Iii imetokea leo 23/01/2024 asubuhi Mtoremko wa Iyovi
Pia soma: New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata...
Kuchukua video ama picha ya matukio ya ajali si jambo la kiungwana, lakini pia linakiuka haki ya faragha yao kulindwa na kuvunja sheria ya taarifa binafsi na faragha. Picha au video zinazochukuliwa zinaweza kuwa za kudhalilisha na kushusha utu wa watu waliohusika kwenye ajali hiyo.
Kwa upande...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamsaka Dereva aliyekuwa akiendesha Gari lenye namba za usajili T.428 DXD/T.860 BWM aina ya FAW mali ya Kampuni ya Cedars Investment Limited ya Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa majina ya Msafiri Mohamed @ Mwawila ambaye amekimbia muda mfupi baada ya...
JF be the first to know,
Hatimaye mafuta na maji vimeanza kujitenga na ukweli unawekwa wazi ingawa si rahisi Kwa media za Bongo kupata hizi taarifa, tunazipata wa ndani tuliopo kwenye Circe za Kibaharia.
Ukweli ni kwamba kuna Watanzania watu wakiongozwa na msela Mavi mmoja wa Mbagala anaitwa...
Watu watatu wamefariki na wengine kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyohusisha lori na gari ndogo aina ya Toyota Alphard iliyotokea katika Kijiji cha Mbwembwe, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.
Kamanda wa Polisi mkoani humo Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa amepata...
Mtunzi mashuhuri wa tamthilia ya Afrika Kusini, mtayarishaji na mtunzi Mbongeni Ngema amefariki katika ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 68, familia yake ilisema.
“Ngema alifariki katika ajali mbaya ya gari alipokuwa akirejea kutoka kwa mazishi aliyokuwa akihudhuria Lusikisiki huko Eastern...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limefanya ukaguzi wa mabasi ya abiria katika Stendi Kuu ya Mabasi kabla ya kuanza safari na kuwataka madereva kuzingatia Sheria, Kanuni, Alama na Michoro ya Usalama Barabarani ili kuepuka ajali.
Akizungumza Disemba 23, 2023...
Uturuki imetoa Hati ya Kimataifa ya kukamatwa kwa Mtoto wa Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, baada ya kudaiwa kumgonga msafirishaji wa pikipiki, ambaye alifariki baadaye.
Ripoti ya Polisi imesema Mohamed Hassan Sheikh Mohamud alipata ajali hiyo Mchana Jijini Istanbul aipokuwa akiendesha...
Watu wanne wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya gari dogo la abiria aina ya hiece lenye usajili namba T339 DBV lililokuwa lilitoka Izibya kwenda Bukoba mjini mkoani Kagera kupata ajali eneo la Kyetema.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera ACP Brasius Chatanda amesema kuwa ajali...
Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo.
Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake kwenye wilaya zaidi ya mia ishirini!
Mawaziri wananunuliwa V8 kila mwaka, V8 mpya Tsh. Mil. 500...
Kumetokea ajali ya lori la futi 40 katikati ya daraja kubwa na hatari la mto Kikafu tangu saa 4 usiku, raia wamejitolea kuleta winch ndogo na kufanikiwa kutoa kichwa cha lori lkn kontena limebaki barabarani na kufunga barabara 75%.
Magari toka Kenya, Manyara na Arusha yamekwama na yanayouokea...
Kwa utafiti wangu kiasi, kuna uelewa mdogo wa watumiaji wa vyombo vya usafiri wanapokaribia maeneo ambayo gari moshi hupita. Inawezekana baadhi yao hawana elimu ya mvutano wa vyombo vyao vinapokaribia gari moshi.
Lakini pia Taasisi zote zinazohusika ikiwemo jeshi la polisi usalama barabarani...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ametembelea eneo ambalo kumetokea ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Ally’s Star lenye namba T.178 DVB likitoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kugonga kichwa cha Treni katika makutano ya reli na barabara, nje kidogo ya Mji wa Manyoni Mkoani...
Ajali zinazotokea Mara kwa Mara Zikihusisha Njia za treni, Wengi wanatupia lawama wahanga lakini tunaacha kuongelea miundombinu ya njia ya Treni.
Tukiangalia nchi za wenzetu wanawekaga Taa au geti, pale ambapo treni inapita basi vitu hivyo vinakupa ishara ya tahadhari, tukijaKwetu hapa bongo...
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limethibitisha kutokea kwa ajali mbili za Ndege (muda tofauti) leo katika uwanja wa Ndege wa Kikoboga uliopo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi ambapo zaidi ya Watu 60 kwenye Ndege zote mbili wamenusurika.
TANAPA imesema Ndege ya kwanza ya Unity...
Ameandika Rais Samia Suluhu kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
"Nawapa pole wafiwa waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki katika ajali ya basi iliyotokea eneo la Mtama mkoani Lindi na kusababisha vifo vya watu 15. Mwenyezi Mungu awe faraja kwetu sote, awarehemu ndugu zetu hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.