Yaani Wafanyakazi wote wa LATRA ndiyo mna aina hii ya Ubongo mbovu uliowapelekea nyie kuja na Maamuzi haya ambayo GENTAMIYCINE sioni Aibu kuyaita ni ya Kipumbavu huku yakiwa yamejaa Chuki, Visasi, Wivu na Uonevu?
LATRA mbona hamyachukuli hatua Mabasi ya Tajiri Mkongwe wa Mkoani Morogoro ( na...
Kampuni iyo ambayo imemaliza mwezi uliopita kwa mabasi yake 12 kupata ajali na kuua abiria wengi Mwezi huu wa 7 pia wameanza kwa kasi ya ajali
Leo hatimaye wamepata ajali nyingine kitonga na chanzo kikuu ni mwendokasi
Serikali wamegoma kuifungia hii kampuni
Je wajua vyanzo vya AJALI barabarani? Abiria kuwa kimya bila kukemea au kutoa taarifa polisi dhidi ya makosa yafuatayo:
1: Dereva kuyapita magari ya mbele bila TAHADHARI.
2: Dereva kuendesha gari akiwa amelewa pombe au dawa za kulevya.
3: Dereva kuendesha chombo kwa mwendokasi.
4: Dereva...
Utafiti mpya umebaini kuwa zuio la muda wa kuwa nje ya usiku hadi alfajiri nchini Kenya, iliyotekelezwa mwezi Machi 2020 kwa lengo la kupunguza maambukizi ya COVID-19, ilisababisha bila kukusudia ongezeko la ajali za barabarani. Utafiti huo uliofanywa na watafiti kutoka taasisi mbalimbali...
UTANGULIZI
Tumekuwa tukishuhudia ajali nyingi nchini Tanzania zinazokea mara kwa mara ambapo kupitia ajali hizo wapendwa wetu huweza kupoteza maisha, wengine huweza kupata vilema vya kudumu. Jambo la kusikitisha wengi wetu hatuna elimu au uelewa wa kisheria kuhusu hatua zipi zichukuliwe na...
Boti hiyo ilikuwa ikiwasafirisha watu katika jimbo la Kwara kutoka kwenye harusi katika jimbo jirani la Niger wakati ilipoanguka, polisi wa jimbo hilo na ofisi ya gavana walisema, bila kutoa maelezo ya chanzo cha ajali
Zaidi ya watu 150 wamekufa maji kaskazini mwa Nigeria baada ya boti...
Kwanza nianze kwa kuwapa starter moja muhimu sana maana Watanzania tumeumbwa kukumbuka ya leo, ya jana tunayasahau kirahisi sana.
Mnakumbuka Rais Samia alitangaza kuifungua nchi na watu wote tukashangilia? Mnakumbuka alisema atakamilisha miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli na watu wote...
Watu wawili wanadhaniwa kufariki na mmoja kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha gari dogo aina ya Toyota Harrier lililogongana na lori aina ya Fuso eneo la Melela Mangae wilayani Mvomero mkoani Morogoro.
Ajali hiyo ni ya tatu ndani ya siku tatu mkoani hapo, ambapo juzi basi dogo aina ya...
Hii ni taarifa iliyoripotiwa na daktari wa MOI katika habari ya Saa 2:00 usiku huu. Kwa taarifa hii ni wazi kuwa taifa linapoteza nguvu kazi kubwa Sana.
Pia soma: Majeruhi ajali za bodaboda tishio, MOI hupokea wagonjwa 280 kwa mwezi
Gari la abiria lililokuwa linatoka Makumbusho kwenda Mbezi likiwa limeingia kwenye mtaro baada ya kudaiwa kusukumwa na roli eneo la Kimara Suka jijini Dar es Salaam jana.
Kwa mujibu wa watu walioshuhudia ajali hiyo, walisema baadhi ya abiria walijeruhiwa.
Credit: Nipashe
INDIA: WATU ZAIDI YA 300 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA TRENI
Taarifa za awali zinaeleza idadi ya waliopoteza maisha ni 288 huku wengine 850 wakijeruhiwa katika hiyo iliyotokea Jimbo la #Odisha, lakini kumekuwa na ongezeko la idadi ya waliofariki kwa kuwa zoezi la kutoa miili iliyonasa kwenye...
Ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (#THBUB) imesema kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Hassan Abdallah kilitokana na shambulio kali la kupanda kwa sukari na upungufu wa damu.
Kifo cha Nusura kilihusishwa na ajali ya gari iliyomhusu Dkt. Festo...
GENTAMYCINE ni Mtetezi Huru wa kila Kada za Watu na leo nimeamua Kutetea DalaDala za Ruti tajwa hapo juu kwa jinsi zinavyonyanyasika wakati wa Kugeuza zikifika Kawe mwisho eneo la Masai.
Kinachonisikitisha zaidi ni kuona aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla Kushindwa kulitatua...
Sergio Rico ambaye ni kipa namba 2 wa Paris St-Germain amepata majeraha makubwa katika ajali wakati akiendesha farasi Nchini Hispania alipoenda kwa ajili ya mapumziko.
Rico (29) alikuwa katika Mji wa Huelva na baada ya ajali hiyo iliyohusisha farasi kugongana alisafirishwa kwa helikopta...
Leo tarehe 21/05/2023 ni kumbukumbu ya ajali mbaya ya meli Buboka, ajali iliyosababisha pigo kubwa kubwa kwa watanzania waliopoteza na wapendwa wao kwenye ajali hiyo iliyotokea 21/05/1996. Tukio hili lilisababisha vifo vya watu zaidi ya 800 limeendelea kuwa kumbukumbu mbaya na yenye maumivu...
Maofisa nchini Colombia, wanasema watoto wanne waliotoweka tangu ndege kuanguka msituni, wamepatikana wakiwa hai zaidi ya wiki mbili baadaye.
Mama yao na watu wazima wengine, walifariki katika ajali hiyo. Shirika la Serikali la Ustawi wa Watoto (ICBF), lilisema limepata taarifa kutoka eneo hilo...
Daladala lenye safari ya kwenda Kigamboni limegonga Train hapa Kariakoo. Hali bado si nzuri. Uchunguzi wa Majeruhi au Vifo unaendelea. Ila wengi wapo katika hali ambazo si salama.
Ajali za barabarani nchini Tanzania zimekuwa ni janga ambalo limekosa ufumbuzi na linaloendelea kugharimu maisha ya watanzania wengi na kupoteza nguvu kazi ya Taifa.Licha ya kupoteza nguvu kazi ya Taifa lakini pia ajali hizi zimekuwa zikiwaacha watu na ulemavu wa maisha vilevile kuziacha familia...
Wakuu samahani..
Naomba mnisaidie ushauri.
Inaeza ikawa so mahala pake..
Niko chuo first year
Nachukua bachelor ya human resource
Ila sijapata mkopo
Me ni fresh toka advance.
Sasa nilikuwa nalipiwa kwa michango ya ndugu...ila naona kama inawawia vigumu.
Maana ada,chakula,malazi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.