ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. RingaRinga

    Tetesi: Ajali ya basi la Kimotco linalofanya safari kati ya Arusha - Mwanza

    Nimetumiwa ujumbe na mtu anayedai amesafiri na binti yangu leo na gari imepata ajali maeneo ya Babati na kwamba majeruhi wamepelekwa hospitali ya Dareda. Nampigia simu mhusika hapokei tena, Mwenye taarifa zaidi?
  2. wakukurupuka1

    Basi la kampuni ya Kiazi kitamu lapata ajali

    Basi la Kampuni la KIAZI KITAMU lenye Namba ya Usajiri T 889 DKL linalofanya safari zake Kutoka Mwanza kwenda Arusha limepata ajali na kudondoka eneo la Misungwi Mkoani Mwanza Leo alfajiri ya 23/03/2023. Taarifa za Vifo bado hatujapokea zaidi ni majeruhi ya wahanga wa ajali hiyo.
  3. BARD AI

    Ripoti nyingine ajali ya Precision yatoka, yaonesha mambo 8

    Ripoti ya pili ya ajali ya Ndege ya Precision Air imetoka na kubainisha mambo nane yaliyochangia ndege hiyo kuanguka katika Ziwa Victoria, Bukoba, Mkoa wa Kagera. Ndege hiyo ya Precision Air iliyotoka Dar es Salaam kwenda Bukoba ilitokea Novemba 6, 2022 ambapo ilikuwa na watu 43 kati yao, 39...
  4. Hismastersvoice

    Nionavyo lengo la wiki ya usalama barabarani ni kuuza stika, anayeamini kupungua kwa ajali anieleze ni kwa vipi

    Kila mwaka polisi huandaa wiki ya usalama barabarani lakini hali ilivyo barabarani ni ileile ya siku zote zaidi ya kuuziwa stika ambazo hazipunguzi ajali! Vurugu za bodaboda na daladala ziko vilevile na pacha wao ajali. Mimi naona lengo si kudhibiti ajali kwa kuwakumbusha madereva juu ya...
  5. SALOK

    IGP Wambura ameshindwa kudhibiti ajali barabarani, asaidiwe!

    Katika kipindi kifupi cha Uhudumu wa huyu IGP mpya, pengine changamoto kubwa aliyokumbana nayo katika utendaji wake ni kukithiri kwa matukio ya ajali za barabarani. Matukio haya yamekwenda sambamba na upotevu wa roho za watanzania, nguvu kazi ya Taifa. Inasikitisha sana. Licha ya ajali...
  6. Roving Journalist

    Ndugu wa aliyejeruhiwa na Mwendokasi Dar wajitokeza akiwemo mkewe

    Mtembea kwa miguu aliyegongwa na Basi la Abiria la "Mwendokasi" wiki iliyopita ambaye ndiye alikuwa Majeruhi pekee wa ajali hiyo aliyesalia katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), ametambulika ambapo jina lake ni Osam Milanzi, Mkazi wa Manzese Midizini. Meneja Uhusiano wa MOI, Patrick...
  7. Analogia Malenga

    Rais Samia: Nilidhani ningefika nao upande wa pili lakini ajali zinatokea

    Rais Samia amesema Waziri mmoja amedondoshwa kwa kuwa ni kawaida kwenye safari kuna ajali zinatokea. Amesema hayo katika hotuba yake baada ya kuwaapisha wateule wake aliowateua hivi karibuni. Rais amesema alitamani team yake ya awali amalize nayo hadi kufika ngwe ya pili (Muhula wa pili wa...
  8. Benjamin10

    Unadhani ni nini kimesababisha mpaka dereva wa semi trela kuchora?

    Tazama hii video mpaka mwisho!! Unadhani ni nini kimesababisha mpaka dereva wa semi trela kuchora 7?? Kama huyu dereva mwenye gari inayorecord video angekua na speed up to 100kmph nini kingetokea?
  9. Msanii

    Ajali ya mwendokasi tarehe 22/02/2023 tujiulize maswali haya...

    Majuzi imetokea ajali ya kutisha ya basi la Mwendokasi liliyokuwa inatokea Kivukoni. Miaka 3 iliyopita ilitokea ajali maeneo ya Utumishi jirani na kivukoni ambapo mtembea kwa miguu alikuwa anavuka kwenye zebra aligongwa na basi la mwendokasi na kufariki hapo hapo. Aliyefariki ni jirani yangu...
  10. BARD AI

    MOI: Mwanaume aliyegongwa na Basi la Mwendokasi yuko ICU

    Taasisi ya tiba ya mifupa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MOI) imesema Mwanaume aliyeonekana akigongwa na Basi la abiria “mwendokasi” Jijini Dar es salaam jana, amelazwa Hospitalini hapo kwenye chumba cha Uangalizi Maalum (ICU). Meneja wa Kitengo cha Uhusiano cha MOI Patrick Mvungi...
  11. BARD AI

    Mmoja kati ya walioiba vitu kwenye ajali iliyoua watu 17 Tanga ajinyonga

    Mtu mmoja kati ya watu 8 waliokamatwa, wakituhumiwa kuiba mali za waliofariki katika ajali iliyotokea Korogwe mkoani Tanga, ikihusisha gari la mizigo aina ya Fuso na gari la abiria aina ya Coaster, lililokuwa likisafirisha mwili kwa ajili ya maziko wilayani Rombo na kusababisha vifo vya watu 20...
  12. Black Butterfly

    Idara za Uokoaji zinalenga nini kutangaza Ajali za Uongo kwa kisingizio cha Mazoezi?

    Ndugu zangu, binfasi natambua na kuheshimu kabisa hili suala la kufanya Mazoezi ya Utayari kwa sababu lina manufaa lakini bado napata shida sababu za kutangaza matukio hayo kwenye Vyombo vya Habari tena kwa kutaja idadi ya waathirika, aina ya Chombo kilichopata ajali na eneo. Hivi hawa watu...
  13. BARD AI

    TAA: Hakuna ajali yoyote ya Ndege eneo la Ziwa Victoria

    Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) Mussa Mbura amesema hakuna ajali ya ndege leo kwenye Ziwa Victoria Jijini Mwanza bali kilichofanyika ni mazoezi ya utayari. Mussa Mbura amesema yafuatayo "Haya ni mazoezi ya kujiweka tayari ambayo tumeendelea kuyafanya, kama Mamlaka za Viwanja...
  14. C

    TAA: Hakuna ajali ya ndege ziwa Victoria, yasema ni zoezi la utayari

    Wadau na nyie mmeona. Kuna ndege imeanguka ziwa Victoria. === Ndege Ndogo ya Abiria imeanguka na kuzama Ziwa Victoria. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wamefika eneo la tukio na kutoa msaada kwa abiria walikuwamo kwenye ndege hiyo. ==== UPDATE Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA)...
  15. N'yadikwa

    Ajali ya Mwendokasi Dar es salaam kule Posta inatukumbusha umuhimu wa Kamera za Mitaani kwenye Majiji

    bila ile video fupi ya CCTV tusingejua kitu na ukubwa wa ajali. Ni wakaty sasa WIZARA YA MAMBO YA NDANI kwa kushirikiana na Wizara nyingine mkafikiria kuweka Kamera kwenye maeneo yote muhimu mijini ili zisaidie kunasa matukio hasa ya madereva wazembe. Tuna upungufu wa Trafiki Polisi lakini...
  16. Determinantor

    Mrejesho wa taarifa ya ajali iliyotokea Kisutu mnamo majira ya saa 05:45

    Naiweka hapa muone wenyewe... MREJESHO WA TAARIFA YA AJALI ILIYOTOKEA KISUTU MNAMO MAJIRA YA SAA 05:45 Mnamo majira ya saa 06:58 niliweza kufika Eneo la tukio nilikuta ajali imetokea gari ya mwendokasi yenye usajili wa Plate No: T 122 DGW, JINA: SHABANI NGAUGIA Ilipata ajali Eneo la Kisutu...
  17. Msanii

    Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

    Basi la Mwendokasi likiwa linatoka Kivukoni limeacha njia na kuparamia maduka na miundombinu mingine pembezoni mwa barabara ya Morogoro kwenye makutano ya Jamhuri St. Eneo hilo ni viambaza vya maduka, njia ya waenda kwa miguu na limekuwa linatumika na watu wasio na makazi kulala Ukiangalia...
  18. M

    Je, kuna sheria yoyote inayosema mtu aliyesababishiwa ajali asilipwe kama chombo chake hakina bima?

    Nina ndugu alipata ajali na kupata ulemavu wa kudumu na hiyo ajali alisababishiwa kwani dereva alihama upande wake na kumfata. Sasa chombo chake hakikuwa na bima na alienda kudai fidia yake kwani hicho chombo kilisababisha ajali kilikatiwa third party na yeye alienda kudai fidia ya kwake kwa...
  19. C

    Prof. Lipumba apata ajali, gari yake yapinduka na kuharibika

    BREAKING: PROF LIPUMBA APATA AJALI "Gari yake imepinduka na imeharibika vibaya..." Taarifa zaidi zitakujia hivi punde ======= Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amepata ajali eneo la Nangurukuru mkoani Lindi saa moja usiku jana Jumatano baada ya gari alilokuwa anasafiria kupinduka...
Back
Top Bottom