Maofisa nchini Colombia, wanasema watoto wanne waliotoweka tangu ndege kuanguka msituni, wamepatikana wakiwa hai zaidi ya wiki mbili baadaye.
Mama yao na watu wazima wengine, walifariki katika ajali hiyo. Shirika la Serikali la Ustawi wa Watoto (ICBF), lilisema limepata taarifa kutoka eneo hilo...