ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Naibu Waziri anapopata ajali then Viongozi wakuu wa Wizara na nchi Kwa ujumla wasitoe pole Kwa familia siyo afya. Kuna fumbo

    Viongozi wanapopata ajali tumezoea kuona viongozi wenzake kupitia akaunti zao binafsi za mitandao ya kijamii zikitoka pole Ila kwa huyu Naibu Waziri watu wamekaa kimya. Sidhani kama inaleta afya, inaonyesha kama ametengwa. Tujitahidi kuondoa double standard Kwa Sababu angekuwa anatoka...
  2. Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari

    Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana. UPDATE Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk...
  3. TAMISEMI: Gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri Dugange lilikuwa binafsi na siyo la Serikali

    TAARIFA iliyotolewa leo na Ofisi ya Rais - TAMISEMI imesema kuwa gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri wa ofisi hiyo lilikuwa ni gari binafsi na sio la Serikali kama ilivyotajwa na baadhi ya baadhi ya mitandao ya kijamii. Dk Dugange alipata ajali usiku wa Aprili 26, 2023 wakati...
  4. Dodoma: Makamu wa Rais, Mpango amtembelea Festo Dugange Hospitali ya Benjamin Mkapa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amemtembelea na kumjulia hali Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dk Festo Dugange ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya...
  5. S

    Usiri watanda ajali ya Naibu Waziri Tamisemi

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (Tamisemi), Dk Festo Dugange amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya gari Habari za uhakika ambazo Mwananchi limezipata, zinaeleza Dk Dugange alipata ajali hiyo usiku wa kuamkia Aprili...
  6. Uyui, Tabora: Msafara wa Viongozi wa CHADEMA, wapata ajali wakiwa wanaelekea Kigoma

    Msafara wa Viongozi uliokuwa ukielekea Kigoma kwaajili ya maandalizi ya uzinduzi wa Oparesheni mpya ya Chama umepata ajali saa nane usiku wa kuamkia leo Aprili 27, 2023. Ajali hiyo imetokea wilaya ya Uyui Tabora, Kata ya Kigwa, Waliopata ajali Yohana Kaunya Kaimu Katibu Mkuu Bavicha, Nuru...
  7. Majeruhi watano ajali ya bajaji na IST wafariki dunia

    Majeruhi watano kati ya sita wa ajali iliyohusisha bodaboda, bajaji na gari dogo aina ya IST wamefariki dunia leo wakati wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa. Majeruhi hao walipata ajali jana Aprili 25, 2023 katika eneo la TRM, Kihesa Kilolo, Manispaa ya Iringa...
  8. K

    Car4Sale IST for sale. Imepata ajali engine nzima

    Ist imepata ajali inauzwa Iko Goba , engine nzima inafaa Kwa repair au spare. Mawasiliano Piga 0711295716
  9. Mambo matatu yanayofikirisha ajali ya ndege iliyotokea Bukoba ya PrecisionAir

    Poleni kwa wapendwa wenu ndugu ,jamaa na marafiki na shirika la ndege precision air kwa ajali iliyotokea mkoa wa kagera. Wengi wetu sio wafuatiliaji sana mambo yanayo husu ndege ndio maana kuelewa mifumo yake si rahisi sababu ina watu wachache wenye taaluma na weledi mkubwa. Bado kuna mengi...
  10. Mbeya: Madereva watakiwa kubadilika ili kuepuka ajali za barabarani

    Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Beno Malisa, Aprili 20, 2023 amewataka madereva wa vyombo vya moto kubadilika kufuatana na hali ya kijiografia yam ilima, miteremko pamoja na hali ya hewa ya Mkoa wa Mbeya yenye mvua na ukungu kwa kuhakikisha wanafuata na kuzingatia sheria na alama za usalama barabarani...
  11. Makamu wa Rais Dkt. Mpango apiga marufuku Polisi kufunga Barabara kwenye Misafara

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na shughuli zao. Dr. Mpango amewaomba radhi Wananchi kwa usumbufu walioupata baada ya jana Barabara kufungwa...
  12. Tunisia: Meli mbili zapata ajali, Wahamiaji 27 hawajulikani walipo

    Inaaminika watu hao wanaweza kuwa wamepoteza maisha kutokana na ajali hizo ziliyotokea Pwani ya Tunisia wakati meli husika zikiwa njiani kuelekea Italia. Meli ya kwanza ilikuwa na watu 37 na ya pili ilikuwa na watu 36, baadhi wameokolewa na wengine hawajulikani walipo. Tangu Machi 2023 kuna...
  13. RPC Muliro: Wanaume mnaopigwa na Wake zenu acheni Kudanganya kuwa mmepata Ajali ili mpate PF3

    "Unamuona kabisa kuwa huyu Mwanaume hajaumia kwa Ajali bali kachezea mno Kichapo cha Mkewe Nyumbani na unataka kumsaidia halafu anakataa na kuzidi Kukudanganya. Wanaume mkipigwa na Wake zenu kuweni Huru kuja Polisi au kwenda katika Madawati ya Kijinsia na mtapata Msaada" amesema RPC Kamanda...
  14. Kipindi hiki cha sikukuu kimekua na ajali nyingi sana, Naomba tuwe makini barabarani.

    Naomba suala hili nilielekeze kwa wasafiri, wasafirishwa na wasimimizi wa miundombinu yoye ya usafiri, Ikiwezekana kupunguza hizi ajali dereva tax, bus, bodaboda wapimwe kiwango cha ulevi kama kitakua kimezidi kiwango basi wasiendelee na safari au kusitisha kabisa safari. Askari wamekua...
  15. B

    Chanzo zcha ajali za mabasi ya abiria ni abiria wenyewe

    Ajali za barabarani zinaepukika ukiachilia mbali matatizo ya kibinadamu. Kuna sababu nyingi sana zimekuwa zikitajwa, lakini mimi niseme mbali na sababu zote hizo zinazotajwa chanzo kikubwa ni abiria wenyewe. Sijui ni ukosefu wa elimu ya kwa Watanzania au kudharau au kuona muda wote Mungu yupo...
  16. Dar: Basi la Burudani kutoka Korogwe Tanga, lapata ajali Mbezi

    Watu kadhaa wanasadikiwa kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa, kufuatia ajali iliyotokea maeneo ya Mbezi Luguluni, ikihusisha Basi la kampuni ya Burudani, lililokuwa likitokeaa mkoani Tanga kuelekea Dar es Salaam, ambapo basi hilo linadaiwa kuwa lilikuwa kwenye mwendokasi, hivyo wakati...
  17. B

    Katika ajali Ile dereva alijua soon kifo kinatuvaa

    Tarehe 16 September 2016 nilisafiri na Basi la Newforce toka Dar to Songea, Safari ilikuwa nzuri sana toka tunaondoka Ubungo, nakumbuka nilikaa seat no A2, A1 alikaa rafiki yangu ambaye alikufa dakika chache baada ya ajali kutokea Basi hili halikuwa na tatizo lolote maana toka Dsm halikupoteza...
  18. Majeruhi ajali ya mwendokasi aruhusiwa kutoka hosptali

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema majeruhi pekee wa ajali ya basi la mwendokasi iliyotokea tarehe 22/2/2023 Jijini Dar es Salaam, Osam Milanzi ameruhusiwa kutoka Hospitali baada ya afya yake kuimarika. === Tunapenda kuuarifu umma kwamba majeruhi pekee wa ajali ya basi la...
  19. Marubani wa ndege ya shirika la Precision kumbe walikaidi ushauri wa waongoza ndege wakaishia kupata ajali?

    https://www.yahoo.com/news/tanzania-pilots-failed-heed-warnings-194627197.html
  20. Serikali kutaja chanzo cha ajali ya ndege Bukoba Novemba 11, 2023

    Serikali imesema bado inaendelea kuchunguza taarifa za awali za ajali ya ndege ya Precison iliyotokea mkoani Kagera Novemba 6 mwaka 2022 huku ikitangaza kwamba itatangaza chanzo cha ajali hiyo Novemba 11 mwaka huu baada ya kukamilisha na kuchakata taarifa zilizokusanywa. Akizungumza na wandishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…