Ripoti ya pili ya ajali ya Ndege ya Precision Air imetoka na kubainisha mambo nane yaliyochangia ndege hiyo kuanguka katika Ziwa Victoria, Bukoba, Mkoa wa Kagera.
Ndege hiyo ya Precision Air iliyotoka Dar es Salaam kwenda Bukoba ilitokea Novemba 6, 2022 ambapo ilikuwa na watu 43 kati yao, 39...