ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

    Taarifa zaidi badae, Kuna mtu yupo Kahama kanitaarifu kuwa Kuna ndege imeanguka, ambulance na fire zinakimbia eneo la tukio. --- UPDATES; Ndege aina ya Garet 5Q KTM ikiwa na abiria 42 imeanguka nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Kahama wakati ikijaribu kutua kwa dharura huku watu 10 wanasadikiwa...
  2. Abiria 20 wanusurika kifo ajali ya lori, Coaster

    Zaidi ya abiria 20 waliokuwa wakisafiri kwa basi dogo aina ya Coaster lililotokea Tunduma kwenda Mpemba katika Barabara ya Tunduma Mbeya wamenusurika kifo baada ya lori la mafuta kufeli breki na kuligonga basi hilo. Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo Dickson Kapungu amesema tukio hilo lilitokea...
  3. Ajali za barabarani ni matokeo ya nidhamu mbovu ya madereva

    Nianze kwa kutoa salaam na heri za mwaka mpya kwa jamii ya wanajamii forum wote. Baada ya Salaam nirejee kwenye mada husika, Kwa siku za hivi karibuni ajali za barabarani zimekuwa tatizo na kichwa cha mwendawazimu, tumepoteza ndugu, Jamaa na marafiki kwa sababu ya ajali ambazo pengine...
  4. B

    Ajali: Tuambiane ukweli dhahama hili lituepuke

    Ukweli ni mchungu lakini tufike mahali tuuseme hata kama unauma. Mengi yamesemwa kuhusu ajali miaka nenda rudi, lakini ajali ziko pale pale. Bahati mbaya mzizi wa tatizo umekuwa hausemwi kwa kujua au kutokujua. "Tatizo letu kuu kimsingi ni ujinga ndugu zangu." 1. Kulikoni dereva kuendesha...
  5. Ajali tano kubwa zaidi zilizowahi kutokea Tanzania

    Kila nikiangalia yanayoendelea Uturuki naogofywa na hii dunia japo yenyewe ni majanga ya asili, watu 16,000 mpaka sasa wamefariki. Nimejifunza pia duniani janga lililoondoka na watu wengi kwa muda mfupi ni mafuriko ya mto Yangtze yaliyoondoka na maisha ya watu milioni 3.7 huku tetemeko...
  6. Ajali Mbaya ya Lori la Taka na Fuso Bagamoyo Rd Eneo la Bunju B

    Wanabodi Nimepokea taarifa hii as breaking news: Ajali mbaya Bagamoyo Rd eneo la Bunju kati ya Fuso na lori la taka!. Kuna taarifa ya Maafa ambayo bado haijathibitishwa!. Wana JF wa karibu mlio kwenye maeneo hayo ya tunaomba update. Paskali Update Kwa mujibu wa hizo picha nilizo tumiwa kwa...
  7. Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

    Ni ajali mbaya sana imetokea hapa Kibaigwa Silwa, bado mchakato wa kubaini athari unaendelea. Nita-updates soon ngoja tuokee watu kwanza. Kama una ndugu yako alipanda basi hilo kutokea njia ya bukoba kwenda Dar USSR === Ajali imetokea Kijiji cha Silwa, Kata ya Pandambili,Tarafa ya Mlali...
  8. M

    Elimu ya Bure kwa Wasafirisha Maiti zinazogoma kwenda Kuzikwa Kwao ili zisikudhuru kwa Ajali mbaya barabarani

    1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali. 2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya...
  9. Ajali iliyoua watu 20 Tanga, yadaiwa wakati wa uhai wake, marehemu alisema akifa mwili wake usipelekwe Kilimanjaro

    Ndugu wa marehemu Athanas Mrema aliyekuwa akisafirishwa katika gari lililopata ajali na kuua watu 20 Korogwe mkoani Tanga, wamedai kuwa ndugu yao hakutaka kwenda kuzikwa Rombo mkoani Kilimanjaro. Inadaiwa kuwa Mrema alitengana na mkewe anayeishi Rombo kwa zaidi ya miaka 20 na aliomba akifariki...
  10. Mke wa marehemu Atanasi wa ajali ya Korogwe amenihuzunisha sana

  11. Watu 14 wafariki katika ajali mbaya ya barabarani Kenya

    Watu 14 wamethibitishwa kufariki huku wengine kumi na watatu wakijeruhiwa katika ajali mbaya eneo la Kakwamunyen kando ya barabara ya Lodwar-Kakuma Jumamosi usiku . Kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation, waliofariki ni wanawake wanane watu wazima watatu wa kiume na watoto watatu wa kiume...
  12. Ajali iliyoua watu 17 Tanga imeondoka na Mume, Watoto 2 na Mjukuu

    Ni vilio na simanzi vimetawala nyumbani kwa familia iliyopoteza ndugu 14 wa familia moja kati ya 18 waliofariki kwa ajali ya gari mkoani Tanga jana Ijumaa usiku wa Februari 3, 2023. Katika ajali hiyo wamo mume na mke waliopeza maisha, mama na mwanaye na nyumba moja ambayo imepoteza watu wanne...
  13. T

    Taarifa ya ajali ya Tanga vifo 17 naiona Aljazeera, TV za bongo zinaonesha miziki tu

    Nimeikuta ALJAZEERA wanaionyesha muda wote kwenye kimstari kinachopita chini, scrolling ticker. Yani wameipa umuhimu. nikaenda kutafuta details kwenye TV za bongo, zote zinaonyesha vipindi vya miziki... Ndio aina ya media ambayo inaruhusiwa. Serikali kwa makusudi inalea taifa la watu wasio...
  14. Tanga, Korogwe: Ajali yaua 17 na kujeruhi 12

    Picha za Ajali Ndugu waandishi wa Habari na Ndugu wananchi wa Mkoa Wa Tanga na Tanzania kwa ujumla Nimepokea kwa masikitiko makubwa tukio la Ajali Mbaya iliyotokea usiku wa leo. Ajali hiyo imehusisha Magari mawili na kusababisha Vifo vya watu 17 na Majeruhi 12 Pamoja na Uharibifu mkubwa wa...
  15. Polisi: Baadhi ya madereva wa magari ya Serikali huwa ni chanzo cha ajali

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro, SSP Zauda Mohamed amesema baadhi ya madereva hao wamekuwa hawazingatii sheria, Kanuni na taratibu. Ameyasema hayo wakati akitoa elimu kwa madereva wa magari ya Serikali Mkoani Morogoro ambapo amewataka wale wanaoendesha viongizi wakubwa...
  16. Tanzania ya ajali za barabarani

    Kuna mtu aliweka mada ya Rish Sunak kupigwa fine na jeshi la polisi huko kwao kwa kutokufunga mkanda. Bongo hawa ma-celebrity wetu wana chat live sio na mtu mmoja bali mashabiki wao huku wanaendesha magari na clip zinatambaa mitandaoni, polisi wala hawana habari. Kwanini kila siku kusiwe na...
  17. Ukraine: Ajali ya helikopta yaua 15 akiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani Denys Monastyrsky

    Ukraine’s interior minister killed in helicopter crash =============== Update: Swahili version Uongozi wa wizara ya mambo ya ndani ya Ukraine wafariki katika ajali ya helikopta CHANZO CHA PICHA,GETTY/UKRAINE MFA Maelezo ya picha, Waziri wa Mambo ya Ndani Denys Monastyrsky na naibu waziri...
  18. Senegal: Ajali nyingine ya Basi yaua watu 19, ni ya pili ndani ya Januari

    Watu 19 wamefariki na 24 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea leo Januari 16, 2023, Rais Macky Sall amesema, ajali hiyo ya pili ni kubwa na kuwataka Madereva kuwa makini Barabarani. Kwa mujibu wa taarifa ya Rais kuptitia Twitter, ajali hiyo ilitokea kati ya miji ya kaskazini ya...
  19. Ajali yaua watu wanne wa familia moja Morogoro

    Watu wanne wamefariki dunia kufuatia ajali ya lori na gari dogo aina ya Toyota Spacio katika eneo la Kwambe Dumila wilayani Kilosa mkoani Morogoro na kusababisha barabara kufungwa kwa saa kadhaa. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa simu leo Januari 14 Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Majid Mwanga...
  20. Ajali ya gari Bagamoyo

    Wakuu leo kumetokea ajali mbaya sana Bagamoyo. Mwenye taarifa za uhakika kuhusu ajari hii atujuze. === Coaster inayofanya safari zake kutoka Bagamoyo kwenda Morogoro, imepata ajali kwa kugongana na Canter katika kijiji cha Kiwangwa wilayani Bagamoyo asubuhi ya January 8, 2023. Watu watano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…