ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Ajali za treni duniani. SGR, tumejitayarishakuelimisha matumizi ya makutano ?

    Tunategemea kuwa reli yetu inayojengwa , SGR, itakuwa ya kisasa na yenye spidi kali. Spidi zinazotazamiwa ni hadi 160km/hr. Hii ni spidi kali sana kwa mwendo wa ardhini. Kwa vile kutakuwa na makutano(Railway crossings) nyingi sana kati ya njia za treni hiyo na barabara, tumejitayarisha kivipi...
  2. Yeysk, Urusi: Ndegevita ya Urusi yaangukia ghorofa la makazi, wanne wafariki

    BREAKING NEWS: ndege ya jeshi la urusi imeanguka kwenye jengo la ghorofa huko Yeysk, urusi na kusababisha mlipuko mkubwa. Moto mkubwa uliosababishwa na kuanguka kwa ndege ya kivita ya urusi kwenye jengo la ghorofa huko magharibi ya urusi.kwa jinsi milipuko inavyojirudia inaonekana ndege hiyo...
  3. Kwanini ajali nyingi zinazotokea mataa Mbezi Beach huwa zinaua tu Vijana walioanza kufanikiwa kimaisha na kiutajiri?

    Karibia 85% ya Ajali mbaya zinazotokea hapo Mataa ya Mbezi Beach Jirani na Kanisa la KKKT huwa zinachukua tu Uhai ( Zinaua ) Vijana ambao Wameshaanza Kutusua ( Kutoka ) Kimaisha. Na kwanini zote ziwe ni eneo hilo hilo na hapo hapo Mataa upande wa Barabara ya Kuelekea Rainbow au pale kwa CDF...
  4. Same: Ajali yaua watu saba wa familia moja

    Watu saba wa Familia moja akiwemo Ofisa Uhamiaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), Sylvester Chambo na wanae wanne wamefariki dunia papohapo huku wengine wanane wakijeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na gari jingine Wilaya ya Same, Mkoani...
  5. Ndani ya miezi 8 ajali zimeua watu 1,038, Magari ya Serikali ni 11.5%

    Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Wilbroad Mutafungwa amesema ndani ya muda huo jumla ya ajali 1,177 zilitokea huku 135 zikiwa za magari ya Serikali ambayo ni sawa na 11.5% kwa mwaka 2022 Takwimu hizo pia zinaonesha mwaka 2021 ajali zote zilizotokea zilikuwa 1,698 kati ya hizo...
  6. Watoto wanne wa familia moja wafariki kwa ajali ya moto

    Watoto wanne wa familia moja, wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Tukio hilo limetokea majira ya saa 6:30 usiku wa kuamkia leo Jumamosi Septemba 24,2022 katika makazi ya watu yaliyopo ndani ya eneo la mgodi wa Mwadui, wilayani Kishapu mkoani Shinyanga...
  7. M

    Ajali zinaondoshwa kwa kusali kwa kukaa barabarani? Waafrika bhana!

    Viongozi wa dini mkoani Mbeya, kwa kushirikiana na serikali, wamefanya ibada maalum katika mteremko mkali wa Inyala, kuomba Mungu aepushe ajali ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara katika eneo hilo na kusababisha maafa. ITV === Acheni tu wazungu watudharau 24/7.
  8. Afariki kwa ajali ya gari akimfukuza mchepuko wa mume wake

    Kamanda Kikosi cha Usalama Barabarani cha Shirikisho (FRSC), huko Cross River, Maikano Hassan, amesema mwanamke huyo wa makamo alipata ajali hiyo na kupoteza maisha huko Calabar siku ya Jumapili baada ya kuwa katika ugomvi mzito na mwanamke aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wa mume wake. Alisema...
  9. Eneo hatari kwa ajali Mbeya latafutiwa ufumbuzi

    Siku moja baada ya kifo cha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Igunga, Fatma Omary na watu wengine wawili kwa ajali ya gari, tayari eneo la Inyala mkoani Mbeya sehemu hiyo imeanza kutafutiwa ufumbuzi. Leo Alhamis, Septemba 15, 2022, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC), Juma Homera amezindua barabara...
  10. TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

    Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia huku wengine wakijeruhiwa baada ya Lori kufeli breki na kugonga Magari madogo mawili, katika mteremko wa Inyala mkoani Mbeya. Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi. ITV ============================== Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga...
  11. D

    SoC02 Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazosababishwa na pikipiki (boda) kwa jiji la Dar es Salaam

    Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es Salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa...
  12. M

    SoC02 Tanzania bila ajali inawezekana

    Habari wanajamvi. Nimekaa na kutafakari ongezeko la àjali za baràbarani ambalo limeikumba nchi yetu. Ajali ambazo zinagharimu maisha ya watu, uharibifu wa Mali na miundombinu, huku zikiacha idadi kubwa ya walemavu, yatima, wajane na wategemezi. Ajali zinazorudisha nyuma maendeleo ya familia na...
  13. Ndani ya siku 30, Fuso zimehusika kwenye ajali tatu

    Nilikua natafakari hapa. Sijajua kama haya malori (Fuso) ndio yenye shida au Kuna tatizo lingine. Yaani ajali tatu ambazo zimeripotiwa kwa kipindi kisichozidi siku 3, Fuso zimehusika. Ya kwanza ni Ile ya Mkata iliyohusisha Fuso na Coaster iliyokua imebeba mashabiki wa Yanga. Ya pili...
  14. Mfululizo wa ajali bila hatua kuchukuliwa ulimng'oa waziri

    Ni Mwigulu alipotumbuliwa uwaziri wa mambo ya ndani. Namnukuu hayati JPM. "nimechoka kutoa salamu za rambirambi kwa sababu ya ajali kila siku, nimechoka, it's too much (kwa uchungu with a very serious tone). Mbaya zaidi ninayetoa ni mimi tu huku waziri akiwa anazurula bila kuchukua hatua...
  15. TANZIA Shinyanga: Ajali yaua 5 na kujeruhi 36

    Ajali zimekua nyingi msimu huu. Poleni wote .
  16. TANZIA Ajali yaua 5 na kujeruhi 36 Shinyanga

    Breaking News Watu watano wamepoteza maisha hapo hapo na wengine 36 wamejeruhiwa vibaya kwenye ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Najmunisa T 413 DAY kugongana uso kwa uso na Fuso T 123 DJH katika eneo la Ibadakuli Shinyanga. Mzee Kinana kama nakuona vile Chanzo: ITV ==== Update Watu...
  17. C

    Je, wajua mtembea kwa miguu anatakiwa atembee upande upi ili aweze kuepuka ajali?

    Tembea upande wa kulia wa barabara, ili uweze kuyaona vizuri na kupishana na magari yanayotoka unakoelekea na iwe pembeni sana iwezekanavyo. Upande utakaotembea itakusaidia wewe kuliona gari vizuri au vyombo vingine vya usafirikama vile pikipiki, bajaji na kuweza kukuepushia na madhara...
  18. Nini kifanyike kupunguza/kumaliza ajali barabarani?

    Hapa nakaribisha michango ya namna ya kupunguza/kumaliza ajali barabarani. Nategemea kupata mawazo mapya na yanayotekelezeka. Angalizo, faini kubwa haiwezi kuzuia ajali! 1. Kuhusu mwendo kasi hasa wa mabasi ya abiria, nafikiria kuangaliwe utaratibu wa kupunguza mabasi mengi ya njia moja...
  19. Marekani: Vanessa Bryant kulipwa zaidi ya Bilioni 37 na waliosambaza picha za ajali ya Mumewe

    Mahakama imeamuru Mjane wa Kobe Bryant kulipwa Tsh. 37,312,000,000 sawa na Dola za Marekani Milioni 16 baada ya kuthibitisha kuwa Maafisa wa Polisi na wa Zimamoto wa Kaunti ya Los Angeles walisambaza picha mbaya za ajali za nyota huyo wa NBA, na binti yake, pamoja na wahanga wengine katika...
  20. D

    Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam

    Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa kua na watu wengi shughuli nyingi za kimaendeleo, kibiashara na hufanyika nyakati zote usiku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…