ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Cute Wife

    Basi la Shabiby lilipata ajali jana Novemba 18, 2024 Tunduma

    Basi la Kampuni ya Shabiby inayofanya safari Sumbawanga-Dodoma ilipata ajali eneo la mizani ya Nkangamo Tunduma. Kwa inavyoonekana na ni kama lilianguka lenyewe. Nitaupxate kadri taarifa zitakavyopatikana Wakuu.
  2. sanalii

    Ajali ya Kariakoo imenifanya niwaze sana wanayopitia Wapalestina Gaza

    Imagine on daily basis, magorofa yanaangushwa tena intentionally at the same time hakuna maji hakuna umeme hakuna na chakula pia shida. So much suffering in this world.
  3. figganigga

    Dar: Waziri mkuu aongoza Wananchi kuaga miili ya waliofariki kwa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa kariakoo

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Dar es Salaam kuaga miili ya waliofariki kutokana na ajali ya kuporomoka kwa jengo la Ghorofa eneo la mtaa wa Congo na Mchikichi kata ya Agrey Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam lililoanguka tarehe 16 Novemba, 2023. Tukio la ibada...
  4. Waufukweni

    Dada alia kwa uchungu: Bado namtafuta Mama yangu, hajulikani alipo tangu ajali ya jengo Kariakoo'

    Irene Mallya anamtafuta Mama yake Happiness Mallya, mfanyabiashara wa Kariakoo mkoani Dar es Salaam, ambaye hajulikani alipo tangu ilipotokea ajali ya kuporomoka kwa jengo Jumamosi Novemba 16, 2024. Irene amezungumza na TBC Digital katika eneo hilo la ajali Kariakoo ambapo shughuli za uokoaji...
  5. M

    Je wahanga wa ajali ya kuangukiwa na ghorofa la kariakoo watalipwa fidia?

    Nimeona taarifa nyingi za pole ila sijasikia tamko lolote kuhusu fidia watakazolipwa wahanga wa ajali hiyo.
  6. Father of All

    Ajali ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo nani wa kulaumiwa baina ya wajenzi na serikali?

    Japo bado tunaombeleza, tunapaswa kuanza kutafuta suluhu ya mabalaa kama haya ambayo nimekuwa nikiyasikua huko kwa majirani zetu Kenya, India na hata Nigeria. Sasa yametufika. Kwanza, nani alaumiwe baina ya wenye nyumba na serikali? Pili, nini dawa ya tatizo hili? Je tutegemee mengine kama...
  7. Nandagala One

    Kujali Majanga ya ajali kama Kariakoo Rais Samia ajifunze toka Rwanda kwa Kagame 9/Mei/2011

    Wananajamii forum,heshima kwenu. Ajali ya Jengo Kariakoo kuanguka,kwa maoni yangu kulikuwa kuchelewa kufanya juhudi kwa haraka Serikali hasa JWTZ wakati wa majanga. Vifaa sahihi, watu sahihi kwa majanga walichelewa kuja, na kuanza kazi yao. Ambassador choir of Christ wa wa Rwanda walipata...
  8. jingalao

    Newton's First law of Motion inakataa kutumia mitambo kufukua kifusi Ajali ya Kariakoo

    Newton First law of Motion..... An object at rest remains at rest, and an object in motion remains in motion at constant speed and in a straight line unless acted on by an unbalanced force!! kwa kukufafanulia kwa muktadha wa kwa nini grader halitakiwi sasa.... #kitu chochote kilichotulia...
  9. TRA Tanzania

    Salamu za pole kwa ajali ya Jengo la Kariakoo

  10. Waufukweni

    Rais Samia atoa pole kwa waathirika Kariakoo. Aagiza kufanywa kila linalowezekana kufanikisha zoezi la uokoaji na tiba kwa majeruhi

    Rais Samia amesikitishwa na ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo, Mkoani wa Dar es Salaam iliyotokea asubuhi ya leo Novemba 16. Pia, Soma: Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16 "Nimesikitika kupokea taarifa ya ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika Kata...
  11. Superbug

    Malyawere wa morogoro amefariki kwa ajali yeye na mkewe.

    Mzee maarufu morogoro kwa kutengeneza saa na mganga wa tiba asili malyawere almaarufu mtundula amefariki kwa ajali msamvu tanesco morogoro yeye na mkewe leo. Mungu amlaze pema mwamba yule.
  12. The Supreme Conqueror

    Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Msumbiji(SISE) Bernardo Lidimba afariki kwa ajali ya gari

    Kifo cha ghafla cha Bernardo Lidimba, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ya Msumbiji (SISE), katika ajali ya gari iliyotokea jana kimetikisa sekta ya kisiasa na kiusalama ya nchi. Tukio hili la kusikitisha limetokea wakati kuna maandamano makubwa yanayoendelea kufuatia matokeo ya...
  13. Abdul Said Naumanga

    TBT: Ajali ya moto Morogoro (2019), ni lipi la kujifunza?

    Kwenye tarehe 10 Agosti 2019, Tanzania ilikumbwa na tukio la kusikitisha na kutisha ambalo limebaki kuwa kumbukumbu mbaya kwa wengi. Ajali ya moto iliyotokea mjini Morogoro, karibu na eneo la Msamvu, ilihusisha lori la mafuta lililopinduka na kulipuka, na kupelekea vifo vya watu zaidi ya 100...
  14. Mshana Jr

    Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

    Na hii ndio taarifa yake Habari ya asubuhi wana familia. Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana. Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm...
  15. Waufukweni

    Basi la Klabu ya JKT Tanzania lapata ajali, Wachezaji 12 wapo chini ya Uangalizi

    Kikosi cha timu ya soka ya JKT Tanzania, kimepata ajali baada ya basi lililowabeba kuacha njia na kuanguka mtaroni majira ya saa 1:00 asubuhi leo na kusababisha maumivu kwa baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wengine. Basi hilo limepata ajali likiwa linatokea jijini Dodoma kucheza mechi ya NBC...
  16. T

    Kwa huu utitiri wa ajali Hayati Magufuli aliwahi kumtumbua Waziri

    Nakumbuka Magufuli aliwahi kupewa maneno magumu sana baada ya ajali kuongozana kwa wingi. Unaweza usione mantiki ya uamuzi ule lakini ukweli ni kwamba kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uongozi unaolegalega na ajali ambazo zinaondoa maisha ya watu kila siku. Inaniuma sana kusikia karibia kila...
  17. FRANCIS DA DON

    Ajali ya Canter namba T817 DGJ meter 75 toka mataa ya Tabata

    Ajali ya Canter namba T817 DGJ meter 75 toka mataa ya Tabata IMESAGIKA, wahusika wahini.
  18. Damaso

    Serikali ianzishe kitengo cha Road Marshals ili kupunguza ajali za barabarani

    Ajali za mabasi zimekuwa ni moja ya kilio kikubwa sana kwa wananchi na serikali kwa ujumla, taarifa kuhusu ajali za barabara ambazo zimepata kuwa ni sehemu ya kupoteza ndugu, rafiki na jamii zetu bado inaendelea kudhoofisha jamii. Ajali ya Mbeya ni moja ya ajali ambayo imeniumiza sana kiasi...
  19. ndege JOHN

    Nakutabiria week ijayo utapata hela ila kuwa makini sana

    kuna maono ninayo kuanzia weekend ya week hii na mpaka week zijazo uko uwezekano ukapata hela ambayo itatosha kabisa kuwa ni mtaji na ukatimiza mawazo yako. Lakini pia dunia iko katika kipindi cha ku shake hivyo kuna uwezekano wa ongezeko la majanga ya asili ama yasiyo ya asili...
  20. Mpenda vurugu

    Poleni sana wote mliopata majanga kwenye ajali ya mabasi ya Premier na Kapricon

    Imetokea mbeya asubuhi hii Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa jeshi la zimamoto na Uokoaji Musa Meshack Nyagali amesema kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kuwaokoa...
Back
Top Bottom