Shirika la Reli Tanzania TRC linautaarifu umma kuwa treni ya abiria namba Y14 ikiwa na kichwa cha treni namba 9002, mabehewa 12 ya abiria, behewa moja la vifurushi (parcel) na behewa moja la breki imepata ajali kati ya Stesheni ya Kazuramimba na Uvinza mkoani Kigoma majira ya Saa 7.30 usiku...
Nimeona kwenye vyombo vya habari nchini Rais akitoa rambirambi kwa familia ambazo zimepoteza ndugu zao kwa ajali za gari ya daladala na ajali ya watoto waliozama kwenye bwawa na kufariki. Ametoa kwa kila familia kiasicha Tsh.5,000,000.
Hii ni nia nzuri na yenye kuoneaha upendo na kuwajali...
Nilipata ajali ya gari Morocco bodaboda walikimbia kuja waliivamia wakaniibia kila kitu, pamoja jeki, tairi la gari, hela na kila kitu.
Juzi tu kuna mtu amepata ajali akagongwa na alikuwa na mshahara akiupeleka nyumbani kwa mkewe. Watu walimkuta na boxer tu hela wamebeba. Kila mahali kwenye...
Sijafanya utafiti rasmi, sina takwimu sahihi lakini , Tangu mwaka huu uanze Kuna ajali nyingi sana ila ndodo ndogo, kiasi Cha kuleta hofu kwa upande wangu.
Kwa experience yangu barabarani ya kufanya biashara ya gari na kutumia barabara ,huu mwaka Pana kama ajali sana , na sielewi shida ni...
Mabaki ya Ndege ya Voepass baada ya ajali
Ndege ya Voepass kabla ya ajali
Video iliorushwa na TV GloboNews umeonyesha eneo kubwa likiwa kwenye moto na moshi ukionekana kupanda kutoka kwenye kitu kinachoonekana kuwa fuselaji ya ndege.
Video kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha ndege...
Mmiliki wa mabasi ya Sauli, Solomon Sauli Mwalabila amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Miwaleni, Mlandizi mkoani Pwani majira ya saa kumi na mbili na nusu alfajiri.
Katika ajali hio ambayo tunaambiwa alikuwepo mtoto mdogo lakini amechubuka kidogo sana . MASWALI YA KUJIULIZA...
Katika kuhakikisha ulinzi na Elimu vinatolewa Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Wanamaji nchini kimeendelea kuyafikia makundi mbalimbali yawatumiaji wa vyombo vya majini ambapo leo kimetoa elimu ya ukatili wa kijinsia na mbinu za namna bora za kujiokoa pindi inapotokea ajali katika vyombo...
Kama kuna usafiri unaotumiwa na watu wa hali ya kawaida na chini kwa wingi ni pikipiki, tunazoziita bodaboda.
Huduma hii ni rahisi, haraka na unafika uendako kwa kasi sana ukilinganisha na usafiri binafsi au hata mabasi ya Mwendokasi(DART).
Lakini sekta hii haina uratibu wa aina yoyote nchini...
Wakuu, naomba kuuliza ni lini hapa Tanzania mmeshuhudia Ajali ya gari either ya kugongana uso kwa uso or Gari kugonga sehemu kama Mti au daraja na Dereva na abiria wakaokolewa na hizi Airbags kwenye magari yetu?
Binafsi naona hizi Airbags hazina msaada wowote kwa magari yetu haya Second hand...
Mamlaka za Jiji kwa kushirikiana na Kitengo cha Usalama Barabarani (Polisi) waangalie kwa jicho la tatu namna Bodaboda wanavyotumia vibaya kipande cha Mwendokasi eneo la Msimbazi la Kariakoo, Dar es Salaam.
Bodaboda wamekuwa kero kubwa na kusababisha ajali za mara kwa mara kwenye njia hiyo...
Mkuu wa police Tanzania,hawa askari wako wa kituo cha police Dumila,Morogoro weredi wa kazi umekuwa jiwe kwao.
Kwanza Dumila ni sehemu ambayo askari wake rushwa imetawala sana,dumila ni mji wenye wizi usio na mfano,bangi inavutwa hadharani tu. Achilia mbali matukio hayo,sehemu ya njia tatu...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutafuta mwarobaini utakaopelekea kupunguza matumizi ya pombe aina ya (sungura) zisizo na vipimo kwa baadhi ya madereva wa pikipiki...
Toka ajali iliyosababisha vifo vya Katibu Tawala - RAS wa mkoa wa Kilimanjaro na Dereva wake tumeshuhudia ubaguzi mkubwa unaoganywa na serikali kwenye misiba hii. Tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia serikali nzima ikiomboleza na kutumia nguvu kubwa kushughulika na Kifo cha RAS ikimpamba kwa...
Unaacha Kufanya Kazi kwa bidii huku ukimshirikisha Mwenyezi Mungu Wewe unachowaza ni Kumroga fulani ili Afe Ajalini ili uchukue nafasi yake. Na ninachofurahi Warogaji wengi wa Wenzao ili Wafe ( hasa Ajalini ) ikitokea kweli waliowalenga Wamekufa huko Ajalini baadae wala hawazipati hizo Nafasi...
Ajali ni tukio la dharura linayotokea au kupata mtu bila kutalajia na ambalo linaweza kusababisha majeruhi na wakati mwingine watu kupoteza maisha(vifo).Ajali ya barabarani ni tukio la dharura ambalo linampata mtu bila yeye mwenyewe kutalajia barabarani na wakati mwingine kusababisha majeruhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.