SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Oktoba 3, 2023 imekabidhi rasmi mashamba ya Lente, Loldebes na Amani yaliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha kutoka kwa Msajili wa Hazina na kwenda kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa ajili ya shughuli za uhifadhi na...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb), ameliagiza Jeshi la Polisi kutumia sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria au lengo la kuvuruga amani hapa nchini.
Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo alipotembelea na kukagua Kituo kidogo cha Polisi Bwanga...
Kila ifikapo Septemba 21 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Amani (IDP), siku iliyotengwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwaajili ya kuimarisha Maadili ya Amani ikiwemo kusitisha Mapigano yote Duniani kwa angalau Saa 24
Kila Mtu anakumbushwa kuchukua hatua kwa Kutambua...
Maendeleo makubwa ya kisekta yaliyoshamiri kila kona ya nchi, ni kwasababu ya Amani na Utulivu uliopo.
Mipaka iko salama chini ya vyombo imara vya ulinzi na usalama.
Uhuru wa maoni, habari, haki, demokrasia, upendo, usawa, utengamano, umoja na mshikamano miongoni mwa wa Tanzania ndio hasa...
Maendeleo ya Afrika yanakwamishwa na serikali zilizojaa ukandamizaji, taasisi zinazotumia rasilimali kwa faida ya wachache, na viongozi wanaoona siasa kama njia ya kujinufaisha.
Misingi ya jamii inayofanya kazi vizuri na kuwajumuisha watu wote katika nchi nyingi za Afrika mara nyingi haipewi...
Wasaalam wana jamvi.
Nakumbuka kipindi cha nyuma tulipokuwa primary tulikuwa tunaletewa kadi za chama cha kijani na tukilazimishwa wote kusaini kama wanachama wa hicho chama. Naona sasa hiyo kitu kama bado ipo vile maana kila wanachokiona mbele ni chao.
Hivi jamani inakuwaje mtu kupangiwa...
Katika miaka ya hivi karibuni hali ya usalama katika baadhi ya maeneo ya Afrika imekuwa na utatanishi, na utulivu uliokuwepo kwa miongo miwili au mitatu iliyopita, sasa unaonekana kuwa mashakani. Iwe ni mgogoro unaondelea nchini Sudan pamoja na ule wa jirani yake Sudan Kusini, au wimbi jipya la...
Ndugu wana JF wenzangu, kulingana na andiko hilo linalopatikana kwenye kitabu kitakatifu cha Biblia,
Napenda kuchukua fursa hii kumuomba radhi mtu yeyote ambaye nitakuwa nimemkwaza kwa namna moja ama nyingine.
Awe mwanasiasa, kwenye chama na Serikali wale niliowahi kufanya nao kazi au...
Kongamano la tatu la Amani na Usalama kati ya China na Afrika lenye kauli mbiu ya “Utekelezaji wa Mpango wa Usalama wa Kimataifa, Kuimarisha Mshikamano na Ushirikiano kati ya China na Afrika” linafanyika mjini Beijng, na kuhudhuriwa na zaidi ya wajumbe 100 wakiwemo viongozi wa majeshi ya nchi za...
Kongamano la tatu la Amani na Usalama la China na Afrika limefanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Hii ni hatua muhimu kwa China na nchi za Afrika kuhimiza kwa pamoja "Pendekezo la Usalama Duniani" la China, na pia ni ushahidi mwingine kwa China kuchangia amani na usalama barani Afrika...
Usalama ni jambo la msingi katika maisha yetu ya kila siku. Tunapojali usalama wetu na mali zetu, tunaweza kuishi bila wasiwasi na kujenga mazingira bora kwa familia zetu na biashara zetu. Hapo ndipo iSecure Technology inapokuja kama mshirika wako wa kuaminika katika kujenga mazingira salama...
Nimefuatilia mwitikio wa waumini wa kanisa la Lutheran hapa Tanzania (KKKT) baada ya Askofu Alex Malasusa kuchaguliwa kuwa askofu mkuu wa kanisa hilo hapa Tanzania. Hali imekuwa tofauti kidogo, kwa waumini kadhaa ambao nimefanikiwa kuwasikiliza ni kama vile hawajafurahia hilo au wamechukizwa...
ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.
Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ameelezea matumaini yake ya kupatikana kwa suluhu ya amani katika mgogoro wa Niger kufuatia mapinduzi ya Rais yaliyofanyika katika Taifa hilo la Afrika Magharibi.
DW Kiswahili imeripoti kuwa Papa amewaambia Waumini katika uwanja wa St Peters...
Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi...
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Kawambwa, amewasihi vijana wasikubali kutumika na baadhi ya watu wakiwemo wanasiasa au viongozi wa dini ambao wanakusudia kuharibu amani na utulivu uliopo nchini.
Sheikh Kawambwa alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza a...
Naweza kusema uongozi wa Rais Samia umefanikiwa pakubwa kujenga Imani Kwa wawekezaji kuwekeza Tanzania. Tanzania itakuwa kitovu Cha uwekezaji mkubwa miaka ya baadaye.
Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Rais Samia kwa kuendelea kusimamia na kuwezesha mazingira salama na tulivu ya...
Ndugu wajumbe,
Natumia nafasi hii kama raia mtiifu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwaandikieni nyinyi ikiwa ni sehemu ya wajibu wangu wa kiraia na wa kikatiba (1) Mosi kulinda amani ya nchi (2) Pili Kutoa maoni ya kuleta usitawi kwa nchi yangu (3) kutumia haki yangu ya kikatiba kutoa...
Imeelezwa kuwa amani na usalama ni maneno yenye dhana pana tofauti na watu wengi wanavyoelewa kuwa amani na usalama ni kuwa huru na migogoro inayotumia silaha.
Hayo yameelezwa Agosti 12, 2023 na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Jakaya Nrisho Kikwete wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.